Search results

  1. M

    Utata uraia Kinana umeibuliwa tena na ushindi wa Lema

    We ni mmbea.. Mimba abebe mwingine uwashwe wewe... Mxixixixuuuuu Shwain
  2. M

    Mnyika, mbona huonekani jimboni?

    Na Bado.. Mtamsubiri sana muuza sura kutafuta umaarufu.. Si ndio hulka ya viongozi wa cdm wengi.. Porojo tuu, kazi hakuna... Poleni Sana.. Sisi watu wa Arusha tumeshakistukia kile kimeo chetu sasa we are fighting to do something for our city and not the other way round.. CDM full usanii
  3. M

    Wana jamvi namleta kwenu kamanda Esther Wasira; naomba tumpe ushirikiano

    Huu ushamba! Hiyo Blackberry ndio mpya nini? Haya asante. Tumeshajua unayo..
  4. M

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Zitto Kabwe!!
  5. M

    Zitto ajieleza mbele ya Sekretariat ya CHADEMA kwa masaa 3, kukutana na vyombo vya habari

    Jamani.. It is so very unfortunate for this guy.. His star as a politician was already sparkling and the road to presidency was spotless! I hope he proves his innocence! All the best Zk..
  6. M

    Zitto ajieleza mbele ya Sekretariat ya CHADEMA kwa masaa 3, kukutana na vyombo vya habari

    Jamani.. It is so very unfortunate for this guy.. His star was already sparkling and the road to presidency was spotless! I hope he proves his innocence! All the best Zk..
  7. M

    The return of CCM

    Tanzanians should understand that, All change is not growth, as all movement is not forward.. Unfortunately, they are blinded by the M4C thingy not to see this..
  8. M

    CHADEMA yawa gumzo Marekani, vua gamba vaa gwanda!!

    Sijaona Bado... Wauza sura tu!! Kwani nani asiyewajua watz kwa kuutafuta umaarufu kwa bei yeyote??? Sasa kwa sababu Chadema is currently trending ndio kila mtu anatafuta pa kutokea... Haya Dada kaongeza pato kwa kutengeneza overall hizo... All the best. I hope u guys won't be surprised in 2015...
  9. M

    Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

    Mimi hapa
  10. M

    Operation za chadema hazina mashiko

    Sasa nimeamini hiki ni chama cha wahuni, wavuta bangi, shule ndogooo, wavimba macho, wanywa viroba... Takataka kabisa.. Nyie watia vidole ndio tuwape nchi?? Never!!!! Not even in ur wildest dreams!!!!
  11. M

    Kwa haya CHADEMA mnakosea

    We kachambe!!! Mtu mzima ovyooooo
  12. M

    Kwa haya CHADEMA mnakosea

    CHADEMA Siasa maji 'taka'
  13. M

    Mkutano wa CHADEMA kurushwa Live na ITV siku ya Jumamosi, Jangwani

    Ninanufaika sana na nilishanufaika nao sana.. Wewe hapo ulipo unatype bila uwoga wowote kwa sababu ya mfumo huu huu, sasa CDM wakishika hii nchi ndio utaTEST vizuri uone fujo zao...
  14. M

    Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni

    Tatizo la CDM hawana common interest!! Kila mtu yuko pale kwa dhumuni lake binafsi... Halafu maskini wananchi wakadanganyika na wamevunwa haswaaa
  15. M

    Mkutano wa CHADEMA kurushwa Live na ITV siku ya Jumamosi, Jangwani

    Hawana Jipya CDM.... Niache shughuli zangu za muhimu nawaangalia wao, wananisaidia nini.. Poor u. Fooled by these politicians.. Laiti mngeyajua maisha wanayoishi hao viongozi wa Chadema.. Haya potezeweni muda hiyo j'mosi
  16. M

    Hii hapa CV ya John Shibuda Mbunge Maswa magharibi(chadema)

    Nna hakika hata la saba hujamaliza na wewe..
  17. M

    Urais CHADEMA it's like a death sentence!

    Huu ni ukweli ambao wengi wenu humu hamtaki kuusikia!!! Umesema sawa kabisa. Chadema pale kila mtu ana personal interest yake.. Soon utaona kila mtu anachukua chake akalale.. Chadema njaa tupu!!! Na tupo hapa mtasikia tu mpasuko wa chama cha demokrasia na maendeleo kwaajili ya vijimambo vyao...
  18. M

    Yako wapi Maamuzi ya Kikao cha CHADEMA?

    Akili yako haina kili kabisa!! Hahaha mnaugopa ukweli kuwa CDM wameingia choo cha kike eeh??? Na bado mwaka huu
Back
Top Bottom