Search results

  1. viccah

    Natafuta kazi (secretary, receptionist, customer care) hapa Dar es salaam.

    wapendwa natafuta kazi hapa Dar nina Diploma ya secretarial. Asanteni...
  2. viccah

    Secretary urgently needed

    wapi?? Kama Arusha please nipe email yako nikutumie my CV
  3. viccah

    Natafuta kazi ya Secretary, Receptionist au Customer Care (Arusha)

    Wanajamii tusaidiane jamani natafuta kazi ya Secretary, Receptionist au Customer care mkoani Arusha. Nina diploma ya secretarial na certificate ya Computer . Mawasiliano :0712804233 au 0688904233
  4. viccah

    Arusha mbona nafasi za kazi hazitangazwi humu???

    Mbona mie sipati jamani????
  5. viccah

    Arusha mbona nafasi za kazi hazitangazwi humu???

    Jamani wakuu kwakweli nimechoka kukaa nyumbani msaada tafadhali mbona huku Arusha nafasi za kazi hazitangazwi??? Tafadhali tusaidiane.
  6. viccah

    Nafasi ya Kazi - Office Receptionist

    Where?? Dar or??
  7. viccah

    Kuweni makini na nafasi zinazotangazwa na ZOOM, kuna utapeli

    Zoom.Tanzania sasa hivi kuna matapeli wanaotangaza nafasi za kazi na kuhitaji hela kwanza ili akusaidie kupata hiyo kazi.... Ndio ajira ngumu sasa hivi lakini tusifanyiane hivyo...!!Hao matapeli walaaniwe...
  8. viccah

    Natafuta kazi ya Secretary, Receptionist au Customer Care (Arusha)

    Ndio ninapoishi huku wana-jamii forum
  9. viccah

    Natafuta kazi ya Secretary, Receptionist au Customer Care (Arusha)

    Tafadhalini wana-jamii forum natafuta kazi hizo hapo juu kwa Title location iwe Arusha .. Tusaidiane jamani hali ngumu kukaa nyumbani bila kazi. 0712804233, 0688904233 or veronicajr00@yahoo.com ...Tusaidiane wana-jamii forum. Asanteni...
  10. viccah

    Natafuta kazi ya Secretary, Receptionist au Customer Care (Arusha)

    Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 27 ni mkazi wa Arusha natafuta kazi ya Secretary, Reptionist au Customer care nina Certificate ya Computer Applications na nimesoma mpaka kidato cha sita tafadhali tusaidiane. Mawasiliano 0712804233 au 0688904233 mail veronicajr00@yahoo.com
  11. viccah

    Natafuta Kazi - Arusha

    Natafuta Kazi -Arusha Mimi ni mgeni katika jukwaa hili, naombeni msaada wenu nipo Arusha na nina tafuta kazi hata kwa mtu binafsi nitafanya si lazima serikalini.Professional yangu ni Receptionist, Secretary and Customer Care Service. Nitashukuru sana, Email yangu ni...
  12. viccah

    Natafuta Kazi -Arusha

    I op so Mauntana... Thanks!
  13. viccah

    Natafuta Kazi -Arusha

    Nina Diploma in Secretarial
  14. viccah

    Natafuta Kazi -Arusha

    Mimi ni mgeni katika jukwaa hili, naombeni msaada wenu nipo Arusha na nina tafuta kazi hata kwa mtu binafsi nitafanya si lazima serikalini.Professional yangu ni Receptionist, Secretary and Customer Care Service. Nitashukuru sana, Email yangu ni veronicajr00@yahoo.com. Ahsanteni.
Back
Top Bottom