Search results

  1. Judi wa Kishua

    Kinachomkuta Harmonize kurudiana na Kajala si kipya katika ulimwengu wa mapenzi

    Huyu nae amekuwa kama mr bean muziki umemshinda anaamua atumie jina la kajala azungumziwe. Anamuiga Kanye West anavyofanya kwa Kim.
  2. Judi wa Kishua

    Kama kweli CCM mpo kwaajili ya wananchi, Tunaomba 2025 msituletee Rais Samia

    Mama hapendwi mitaani mpaka namuonea huruma.
  3. Judi wa Kishua

    CHADEMA yawatakia Waislam wote Heri ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan

    Mbowe ndani ya baragashia na kanzu kapendeza sana. Ila sidhani kama Askofu Shoo na Bagonza watapenda hii.
  4. Judi wa Kishua

    Ndugu zangu wa Kanda ya ziwa Rais ni Mama Samia tujue hilo

    Kanda ya ziwa mama bado hawajakubali kama ni Rais, pamoja na kujiita Hangaya Chief wa kisukuma lakini bado hawajampenda. 2025 ataendelea kuwa Rais kwa kutumia dola lakini hawezi kufeel ile legitimacy. Hakubariki kwa kweli.
  5. Judi wa Kishua

    CCM mbona wana hofu sana na uchaguzi wa 2025?

    Mama bado mtaani hajaeleweka na hakuna dalili hizo leo wala kesho. Pia uko mtaani kuna Magufuli effects. Kuna kundi kubwa mpaka sasa halina mwenyewe, kila upande haujui namna ya kuliteka hili kundi na ndio linaweza kuamua chaguzi nyingi zijazo. Hili kundi ni tishio kwa CCM na upinzani maana...
  6. Judi wa Kishua

    Yaliyojiri Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. Kinana apita kwa kura zote 1,875 zilizopigwa

    CCM ina kila sababu na sifa za kutawala kwa muda mrefu hii nchi, mapungufu yao tutayavumilia. Ila awa wabaguzi wa wazi wazi tena kwenye ukabila na udini hawatufai hata kidogo. Uchaga na ulutheri wa Chadema ni bendera nyekundu kwa wenye akili timamu.
  7. Judi wa Kishua

    Yaliyojiri Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. Kinana apita kwa kura zote 1,875 zilizopigwa

    CCM ni kweli itatawala sana ilo halina ubishi haitoki leo wala kesho. Upinzani wenyewe ni mashabiki wa mambo ya CCM unategemea nini? Chadema kumejaa uchaga walimchukia sana Magufuli mpaka wamekuwa kama wehu wamekosa direction na sasa hivi wameanzisha mashambulizi kwa wasukuma kila siku...
  8. Judi wa Kishua

    Dodoma: Rais Samia awaapishwa viongozi wateule leo Oktoba 11, 2021

    Wanamchonganisha mama na wasukuma
  9. Judi wa Kishua

    Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

    Mama plz usianzishe vita na wasukuma wale watu wametubeba sana CCM 2015 na 2020. Kama ukumpenda mtangulizi wako usichukie na jamii yako yote. Lile kundi likisimama na wapinzani tutapata shida.
  10. Judi wa Kishua

    CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    Wananchi wanasimama na anaepigania maslahi yako. Chadema ongeleeni maswala yanayowagusa wananchi kama mama ntilie. Nyinyi kila siku ni Mbowe Mbowe Mbowe
  11. Judi wa Kishua

    Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

    Kidume hakipo ila watu kawaachia maumivu makali hawataa wapate recovery...ni kulialia mpaka wanakufa nao 😄😄😄
  12. Judi wa Kishua

    Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

    Ndio maanake... Tanzania ni kubwa kuliko hicho kizee kipuuzi kinacholialia.
  13. Judi wa Kishua

    Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

    Magu alikuwa sahihi kabisa huyu mzee mara agombane na bunge mara achokonoe mambo ya ikulu...sasa naona maumivu ya kupigwa benchi hayajapona. Hii ni nchi ukitaka uwa outshine wenye mamlaka lazima upigwe na kitu kizito.
  14. Judi wa Kishua

    Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

    Jiwe alikuwa jiwe kweli kweli...si unaona Prof bado analia machozi ya damu haja-move on 😄😄😄
  15. Judi wa Kishua

    Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

    Analazimisha kuonekana ni mtu msomi anaejielewa ana misimamo. Bahati mbaya alikutana na Chuma. Nilichokuwa nampendea yule baba JPM ukijifanya wewe ni wa muhimu sana kwenye hii nchi yeye anakuonesha namna ulivyo takataka tu na nchi inaweza kwenda mbele bila wewe hahahah. Profesa uliondolewa na...
  16. Judi wa Kishua

    Siku hayati Magufuli aliposimama imara kutetea wamachinga, mbele ya Samia

    Rudi shule utoe umbumbumbu...kwani machinga si wanalipia vitambulisho
Back
Top Bottom