Search results

  1. S

    COMPETITION!!! Win 2 weeks PD-Proxy Premium Account from me!

    2mekupata mkuu,alafu mkuu mie napenda sana mambo kama haya na ndo nataka nisomee ICT hapa COICT vp waweza nipa ushauri gani juu ya hili na je wewe umesomea k2 gan mpaka kuwa hv?. Pleaz tel me,napenda sana mambo ya Technology zaid .ASANTE SANA MKUU.
  2. S

    Kiwanja kinauzwa

    Mh!huko kwenyewe maji ya shda sana.
  3. S

    Na hili je?. . . . .!!!!

    Hamna kuna wengne wameshazoea kufanya hvyo tangia zaman 2 ,kwahyo inakuwa vgumu sana kuacha tabia hii.
  4. S

    Diamond ni noma

    Co sehemu ya kuandka upuuz wako hapa,
  5. S

    Naogopa sana msichana mwenye majini.

    hata mie ndo nataka nifanye hvyo,sema ndo hvyo naogopa kumwambia twende ukaombewe.
  6. S

    Naogopa sana msichana mwenye majini.

    teh teh teh teh itakuwa anamajin mengi kwa hali hyo ha ha ha 2takmbiana aiseee,afu nishawah kuambiwa kuwa huyu bnt ana majini 12 sa cjajua niukwel au uongo.
  7. S

    Nini unaogopa sana katika Maisha????

    Kuachwa na mpenz ninayempenda kwa dhati.
  8. S

    Naogopa sana msichana mwenye majini.

    Jaman nawaogopa sana wasichana wenye majini,ila sasa nina demu wangu mwenye majini sa cjui itakuweje na wakat namuogopa ila najkaza ksabun kutokana na yeye kunipenda kwa dhati.
  9. S

    Wanaume waanza kujiuza

    Nyie mwa shangaa v2 vdogo hvyo wakat mwanaume ukiwa fit katka majamboz lazma mijimama yenye mihela ikuchukue na ukiirizisha lazma kila cku akupe mpunga wa maana hapo una win kmaisha aisee kwa vle mabwana zao hawawarizsh kabisa datz why wanafanya hv.
Back
Top Bottom