Search results

  1. S

    Dalili za magonjwa ya nyemelezi

    Good analysis Doctor!
  2. S

    Mechi ya taifa stars: TBC 1 television ya taifa wataonyesha?

    Mechi itaoneshwa live ZBC 2 kwa mujibu wa azam tv facebook page
  3. S

    Hela ya kujikimu kwa waliofanya transfer

    kwa kawaida ufanyapo transfer ya chuo ujue bum huchelewa kwa miez mi3 ya awali na huwa wanakuambia kabisa otherwise wale wenye shortcut zao maana cku hiz penye uzia penyeza rupia mkuu
  4. S

    Access bank

    wataanza kazi rasmi february! ila wataenda atachment branches mapema january then wataenda 3 wks training baada ya hapo ndo waanze kazi rasmi
  5. S

    Cyber theft: Accounts za NBC zimekuwa hacked na kukombwa pesa zote zinaonyesha shs 0

    nani kasema ? source please! kilichotokea ni kwamba asubuh ya leo makao makuu palitokea shoti ya umeme hivyo ikawalazim wafanyakazi wote kutoka nje kwa muda mrefu pale makao makuu. kuna wa2 wakaandika threads kwamba kuna tatzoo
  6. S

    Je Mbunge wako anajua Kusoma na Kuandika?! Njoo nae hapa sasa...

    mm wangu suma uwiiii hajawahi kuongea kabisa hadi nadhan watu hawamfaham!
  7. S

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    mama huyo aliyechangia yawezekan yy au mume wake alipata mgao
  8. S

    Hatua za kupata mkopo kwa kutumia nyumba

    kama una kitu chochote kinachokuingizia kipato kwa muda flani(regular cash flow) unaweza pata mkopo kwa urahisi sana!
  9. S

    Interview Benki ya Posta

    always mambo ya kumbiwa changanya na yako!
  10. S

    Ubabaishaji wa makampuni ya uwakala

    erxana kaka kwani utapeli umekuwa mwingi hadi inakera kwani wakikosa cha kutangaza wanaamua kuunda nafasi za kazi ili tu waonekane wanatangaza sana nafac za kazi loooooh! zoom tz nadhani manajisoma hapa upuuzi muufanyao tumeugundua na oneni aibu basi
  11. S

    ACT-Tanzania: Hakuna viongozi waliosimamishwa uongozi wala kukaripiwa

    jamani tangazo la mwaka 2012 linahusikaje leoooo toweni
  12. S

    Interview Benki ya Posta

    wamekutumia kwa email au simu maana namm niliomba hiyo post
  13. S

    Line ya Airtel money iko sokoni

    nitafte kama upo dar 0758127558
  14. S

    Ushuhuda wa Mjumbe wa Bunge la Katiba

    njaaa hiyo mlishindwa kuiacha 300000 kwa siku 1 subilin muoneshwe jinsi wazanzibar msivyojitambua
  15. S

    Huyu ndiye Mwigulu Nchemba

    mmepewa pesa ili mumpigie debe huyo mpuuzi mwenzenu nn? eti nchema nchemba haaaaa! hafai kabisa na kama amewahonga ili mumsaidie mwambieni ukweli kwamba hakubaliki hata kidogo
  16. S

    Ninauza king'muzi bei chee

    tayari nshauza jamani
  17. S

    Huu ndio uwozo wa TCU

    ndo tanzania yetu ilivyo! hata wasio na sifa wanapewa majukumu wasiyo weza kisa mjuaaaanooo
  18. S

    Dk. Slaa amlipua Rais Kikwete kwa kujigeuza Ofisa Manunuzi

    ww kweli punguani mheshimu m2 aliyekuzidi umri
Back
Top Bottom