Search results

  1. Michael Meela

    FBI kuhusika katika kuchuja viongozi watakaompokea Obama

    Huyo kiongozi wa uwanja wa ndege anavyoelezea kwa mbwembwe,mwenyewe anaona ujiiko kumbe anashabikia udhalilishaji wa taifa la Tanzania.we mtu anakuja nyumbani kwako anakuambia pumzika,mi nitakuwa incharge wa kila kitu"including mkeo"
  2. Michael Meela

    Siasa za majitaka za CHADEMA Mbeya na hofu ya kushindwa uchaguzi

    hicho ulichoandika hapo ndio mipasho yenyewe
  3. Michael Meela

    Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA, Mbeya

    mheshimiwa supika naomba muongozo,kuhusu hii dozi ya CDM wanayoigawa huku nje ya bunge bila kufuata kanuni tukufu za bunge lako:peace::peace::peace:
  4. Michael Meela

    Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?

    Unataka kutuambia na Tip Tipu naye alikuwa mzungu?????acha kujifanya umesoma peke yako humu jf
  5. Michael Meela

    Kabla hujashiriki kuvunja sheria ifikirie familia yako kwanza, kuandamana bila kibali utaishia jela

    Bwana mdogo inaonesha hata mkeo akivamiwa na wa**kaji usiku wa manane,hautahangaika kuoambana kumwokoa ila utasubiri kupambazuke ukachukue RB polisi.wakati huo mkeo keshawaridhisha wale mabwana.Woga wako utakuwahisha kaburini mapema. Note;Toka hapo kuumbwa kwa ulimwengu,Mwanaume hapaswi kuwa...
  6. Michael Meela

    Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

    hahaaahahaa!Akili ndogo inapojitutumua kujaribu kuitawala AKILI KUBWA,matokeo yake ndo haya.by Mchungaji Msigwa Peter.
  7. Michael Meela

    Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

    ahaaa!kumbe huyu ndiye mliyemtuma akamrekodi lwakatare,then ninyi gambaz mkaja kumalizia kuweka kale katechnolojia ka "bad lip" !uzuri mmoja itv,star tv,chanel ten,tbccm daily huwa wanarusha tamthilia ambazo waigizaji wanakuwa wanazungumza lugha yao,lakini sisi tunawekewa kiingereza.i mean...
  8. Michael Meela

    Pendekezo: Hii ndiyo Timu ya CHADEMA itakayokivusha chama Salama!

    naunga hoja asilimia100.ukitaka kujua huo ndio ukweli utaona magamba watakavyokupinga,maana hiyo kombinenga hata siku moja hawatopenda kuiona coz inaimply kifo cha nyinyiem.
  9. Michael Meela

    USHINDI wa Obama ni fundisho kwa wapinzani nchini Tanzania

    Mheshimiwa usitake kufananisha CCM na Democratic,ulimuona obama alivyokuwa anasiriki vizuri na kwa ushupavu kwenye midahalo.mbona ninyi 2010 mlikimbia midahalo.na kumbuka hawa democratic walikuwa wapinzani kabla ya 2008.tunawasubiri2015.vilaza+
  10. Michael Meela

    Tundu Lissu: Rais atengue uteuzi wa majaji haraka iwezekanavyo!

    Acha ukilaza wewe,kwani hukusoma hoja alizozitoa alipoambiwa adhibitishe kwamba majaji hawana sifa!na kama utetezi wake ni utumbo mbona hajachukuliwa hatua stahiki na vyombo husika likiwemo BUNGE.na sasa amerudia kusema tena yaleyale.kwa maana hiyo wewe ndiye unaye tuwekea utumbo hapo JF
  11. Michael Meela

    Esther Bulaya VS Esther Wassira

    E.wasira zaidi.huyo bulaya hamna kitu,yeye aendelee kuandaa mashindano ya vikombe vya mbuzi hulo bunda(strategy za kizamani za kuteka watu ili wakuchague)E.Wassira 2015 anaenda kuchukua jimbo kiulani tu.wenyewe jumapili mliona mauwezo yake pale Nkuruma Hall
  12. Michael Meela

    Hellow Great Thinkers!

    It's my pleasure to join with u GT's
Back
Top Bottom