Search results

  1. Mfamaji

    E-VAT FILLING SYSTEM UNA CHANGAMOTO KUBWA!!!!

    Yaani hata website yao haifunguki siku zikikaribia za ku file returns
  2. Mfamaji

    E-Filing System TRA una matatizo

    Hata siku 10 kabla, haisaidii. MM hadi nimechoka, ststem gani ambayo kila utakachogusa inakutaka ulog in tena na tena na tena yaani urojo mtupu
  3. Mfamaji

    Wamarekani Wanawezaje kumtoa RAIS aliyeko madarakani kwa Ballot Paper? Yaani Rais ana CIA, FBI, Polisi na Jeshi lakini Rais anakaa Term 1

    Dandanyika sio shit hole bali wanaojififanya wadanganyika sana kuliko wengine ndio big shit hole
  4. Mfamaji

    Rais Magufuli aonesha uwezo mkubwa kwenye janga la Corona duniani

    Anayemwona mwingine ana uwezo ni kwa sababu hana uwezo ..sifuri..hata wa kufikiri. Ni upepo mtupu.
  5. Mfamaji

    Wakati Masheikh wa uamsho wakiozea Jela, Mchungaji Mwamposa ambaye ana tuhuma ya kuua watu 20 yuko nje

    Ugaidi si ndio huo wa kuua watu au kuna mwingine unaply kwa Mashehe pekee?
  6. Mfamaji

    Uswahilini sana ni pabaya na pananuka sijui mnawezaje kuishi

    Halafu utawasikia "CCM NI ILE ILE NAMBARI WANIII?" Ndio wakazi wa huko. Hajui tofauti ya uvundo na manukato. Amkeni mkaone wenzenu wanaoishi vijijini hapo MOSHI. Uru, kibosho, Machame, Marangu , Rombo etc utafikri ndio low density ya Dar.
  7. Mfamaji

    Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    Hivi kama alikosa uenyekiti wa kanda si angesubiri wa Taifa upite ndio aamue kwamba CDM haina demokrasia au la? Kama kwa miaka aliyokaa cdm hakuweza kupanga safu hata ya kanda, basi huyu ni yule yule mr Ziro wa MH Mkapa aka fundi mchundo. A loose point kwenye mikakati yake, amekurupukaaa...
  8. Mfamaji

    Tanzania ni nchi huru haipaswi kuingiliwa na UK na Marekani

    Kitu kimoja ambacho ni dhahiri kwa asilimia 65 ya Watanzania ni kutofikiri na kutojua mambo mengi sababu ya uvivu na ujinga. Na wanasiasa wengi hawasomi international issues hivyo ni vivuyo full. Wanaongea vitu kijinga jinga tu badala ya kuwa sensitive kujua kifuatacho ni disastrous kwa taifa...
  9. Mfamaji

    Wale Graduate mlioweza kujiajiri mlitumia mbinu (njia) kuweza kujiajiri?

    Kweli kabisa. Huwezi kujiajiri ghafla tu. Nakumbuka mtaji wangu ulianzia Kariakoo. Likizo nilikuwa siendi nyumbani, naingia kariakoo enzi hizo wakipanga viatu vya plastiki na raba za kichina za konfu barazani. Nikawa nafanya udalali hasa kwa wazungu na wachina. Wenye viatu hawajui umombo...
  10. Mfamaji

    Magufuli ni jina maarufu sana ,ushahidi huu hapa

    Si ukamlambe kbs? unatuambia ili nini.Haya ni maarufu so what? au ndio usemi literate wako unavyodai.
  11. Mfamaji

    VODACOM: Sheria za nchi zinatulazimisha kukubaliana na matakwa ya TCRA

    Voda ni wapuuzi kabisa. Tumewaspoti toka day 1 kumbe malipo yao ndo haya. Waende kwa hao wa chama lao. nyambaf. Kesho ni siku rasmi ya mgomo.
  12. Mfamaji

    Tetesi: Prof Kitila Mkumbo ndiye hitaji la Wana Iramba kwa sasa

    TZ imejaa mambulula wengine wajiita maprofesa
  13. Mfamaji

    Kwa kweli wakati mwingine maisha ni ufala sana

    Soma kitabu cha Mhubiri. Kinatoa ufafanuzi zaidi
  14. Mfamaji

    Lissu anena haya: Hitler na udikteta wake alitawala miaka 15, Magufuli hatatawala milele

    No doubt. Tz semi literate ni zaidi ya 65% ya population. Wanasiasa wamo tele kama akina Msukukma
  15. Mfamaji

    Sababu ya mambo kubaki 'Kama kawaida' pamoja na teua/tengua, maelekezo, maelezo na 'mikwara' ya Rais Magufuli

    Ingekuwa Marekani tayari walishamtaka apimwe akili(sanity) kama Trump
  16. Mfamaji

    Palamagamba Kabudi, Unaivuruga Nchi....!

    Tanzania tuna asilimia 65 ya watu ambao ni semi literate, sishangai na wewe kuimba Kikalamakabudi, wazungu ,wazungu .. non sense.
Back
Top Bottom