Search results

  1. K

    Deus Kibamba: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Mkuu wa 2020 unaweza kushirikisha wapiga kura wachache kuliko chaguzi zote

    Umesema kweli mkuu maana kwetu hata wapinzani wakigombea hawana hata mhuri wa tawi maana hayafunguliwi tunasubiri ruhusa ya shughuli za siasa zitakapofunguliwa
  2. K

    Serikali ya awamu ya tano na mfano wa Mtihani wa NECTA

    Missile nation n noma kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    Suala la vitambulisho vya wamachinga liangaliwe kwa jicho la tatu. Labda wasaidizi wa Rais hawajamuelewa

    Siku sensa ya kutambua wakulima ikianza ili muuze mazao kama ilivyoagizwa mmmm. Maana hapa kwetu Morogoro mashamba yote ya wafanyakazi, walimu, askari, wahadhiri sasa sijui kama mkipeleka mazao mtalipwa maana mtaonekana kila kona. Kazi hizi za ujasilimali na vitambulisho we acha. Sent using...
  4. K

    Kuhusu kualikwa kwa walimu ikulu wazungumze na Rais juu ya changamoto zinazowakabili

    Walimu tulishindwa hata kutoa mawazo kwenye tume ya Tukamazina aliyounda Kikwete kuomba nyongeza ya mshahara zaidi kuomba maafisa wao watolewe kazini Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    Dodoma: Polisi wanatumia gari lenye namba T 623 CYZ kufanya uhalifu

    Br Kivumishi imewaua watoto wa wenzako hizo picha tu namba za gari hata kama walifanya siku moja wameisha kazi hawana. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    Askofu Stephen Munga: Shetani ameongeza bajeti yake ya 2019/2020 kwa kitengo cha ukiukwaji wa haki za binadamu, ukandamizaji, uonevu na maangamizi

    Ni mawazo ya kusigana wakati tunaambiwa tunaona matumaini 2019 dini inatuongoza kinyume basi tuombe maana pia tumepewa karama ya kusahau Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    Daraja la Mfugale halijatatua tatizo

    Mmmmm yamekuwa hayo tena
  8. K

    Waziri Ummy agusia juu ya uchangiaji wa bima ya afya NHIF.

    Kwa wa mjini ni tofauti na Mikoani huku kwetu hosp ya wilaya unatibiwa na ACO nyie huko mjini ni MD hadi Bingwa so hata ziko limited sana
  9. K

    Ujumbe kwa watanzania wanaotarajia kupiga kura mwaka 2020 panapo majaliwa

    Utabiri tu kutakuwa na uchaguzi halali kabisa ila wapinzani hawatashiriki na vyama kama ADP, TLP nk vitasindikiza mpambano huo na CCM Itapata majimbo yote. Refer Zenj wa marudio
  10. K

    Kwanini wananchi hawafuatilii ipasavyo vikao vya Bunge la Bajeti vinavyoendelea Bungeni Dodoma?

    Yale yale yaTanesco kuwaambia Tangazo la kukatika umeme tumelitoa kwenye redio na TV wakati zimezimika.
  11. K

    Kitambi ni ugonjwa wa akili

    Kitambi vs akili Kitambi vs afya Sawa na mazoezi + lishe
  12. K

    Abood Bus Services ondoeni kero kwa abiria wenu

    Nimeipenda hii ya uongozi kupokea maoni ili kubaresha huduma kwa kweli mie nawapenda sana Abood Bus
  13. K

    Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

    Moja kidole kina pete nyingine kidole hakina mwili wa mkono mmoja canula tofauti
  14. K

    Pendekezo kwa Wizara ya Elimu: Walimu wafanyishwe mitihani wachujwe na shule za kata zipunguzwe

    Sera za nchi hazikubaliani na kupunguza bali kuongeza shule sekondari kila mtaa na kila kijiji na hivyo walimu nao waongezwe ila kwa sasa Tanzania tumeichoka elimu sana tutapkea kila aina ya maoni.
  15. K

    Uhuru Kenyatta hana mfano Afrika kwa demokrasia

    *Maisha ya ajabu sana, Raila kajiapisha kuwa Raisi wa Kenya halafu anarudi nyumbani badala ya kwenda Ikulu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
  16. K

    DAR: Mkuu wa Mkoa atengua agizo la Polisi kuhusu kutoa 'tinted'

    Mie polisi washantia hasara maana nilitii bila shuruti kuanzia jana du. Hongera RC Sent using Jamii Forums mobile app
  17. K

    MFANO HALISI: Road Licence inavyoikosesha serikali mapato

    Bonge la wazo ila nina hofu kubwa kama watakubali wanamapato
  18. K

    Jukwaa la Wahariri wampiga BAN Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye Media zote nchini

    Kuandika habari zake kupo palepale ila kuripoti matukio anayo/aliyo /atakayofanya ndio itakuwa issue kwa baadhi vyombo vya habari.
Back
Top Bottom