Search results

  1. M

    Msimamo wangu

    Kila mtu anajua kuweka masharti, kumbuka yasipoendana sasa ndio patachimbika mbaya.
  2. M

    Hotuba ya Rais Kikwete: Leo tarehe 25 Aprili, 2014

    Mkuu hata mie najua atakimbia tu, wanasema Tanganyika haipo kila mwaka tunaambia December 9 ya nini sasa.
  3. M

    Hotuba ya Rais Kikwete: Leo tarehe 25 Aprili, 2014

    Hivi December 9 ya kila mwaka huwa tunakumbuka nini kweli?
  4. M

    Mwigulu ashauri Rais atengue uteuzi wa wajumbe waliosusia vikao vya Bunge

    Sasa huyo Nchema analalamika nini baada ya kushkru malengo ya kupata pesa ya kuhudumia wajawazito anaomba mwongozo usio na kichwa. Mi namshauri kesho aombe mwongozo tena au atoe hoja ya kwamba, Kwakuwa wapinzani wa hoja kwao wametoka na hawapo tena bungeni na kwakuwa kujadili mawazo yale...
  5. M

    Jinsi Tundu Lissu Alivyojikaanga Kwa "Mafuta ya Taaluma Yake!!"

    Mkuu ninachoona hata wewe unakubali kuwa Lisu kaweka facts na ndio ukweli, kuliko kukimbilia kumsakama Lisu unaonnaje ukaishauri serikali yako ikatumia muda huu kurekebisha vyote hivyo. kwani hata tukisema Lisu aondoke bungeni chadema waondoke hukuleti uhalali wa jambo, na dawa sio kukimbia...
  6. M

    Hongera samweli sitta japo kwa uamuzi wako wa leo

    Mkuu jumatatu itakuwa zamu ya shirika la giza Tanzania. na mvua hizi visingizio kibao.
  7. M

    Hongera samweli sitta japo kwa uamuzi wako wa leo

    Nchi hii ndugu yangu acha tu, mtashangaa kesho TANESCO wanakata umeme mida hiyo harafu unarudi badae kisa wananchi wengi wasisikie ufafanuzi wa Lisu.
  8. M

    Nani mtani jembe.....................

    Kwahiyo kumbe mawazo yangu ya kuwa Yanga ndio walevi yanaweza sio sahihi, kwani kwa data hizo inaonesha Yanga wapo mbali sana lakini kiasi kwamba inakuwa ngumu kusema mashabiki wa Yanga wanaweza kuwa wengi mara tatu ya simba. Hasira na mwenyekiti ndo zinasababisha timu isipate mpunga wa ukweli?
  9. M

    Nani mtani jembe.....................

    TBL kupitia bia yao ya KILIMANJARO imeleta hili shindano, mil 100 zimetengwa kushindaniwa na Simba na Yanga, kushiriki nunua bia hiyo angalia kizibo tuma sms yenye jina la timu na namba zilizopo kwenye kizibo. kwa matokeo ya karibuni Yanga anaongoza, swari langu hapo je Yanga ndo walevi kuliko...
  10. M

    Kinana amekiri kwamba ccm ni wezi

    sasa anataka tuendelee kuwapa awamu nyingine waendelee kutuibia, au anataka kimalizia vilivyopo ndo waachie madaraka. maccm bhana..
  11. M

    Mizengo Pinda: Mshahara wangu kama Waziri Mkuu hauzidi Shilingi milioni sita (6)

    Mi hapa sijaelewa anasema hiyo milioni 6 ndo take home yake wakati huo ana mikopo ya bank, kwahiyo hayo mabenk yakikata rudisho la mkopo ndo inabaki 6 duuh', kama.sijaelewa vibaya ngependa tujue na makato yake inawezekana hata alizosema Zito zikawa ndogo.
  12. M

    ikifikia hali hii....!! naomba niseme niko tayari kuihama nchi hii!!

    We kwani huoni hata leo, sema hawaweki tu hizo deductions kwenye percentage. Pamoja na mkwara wa TCCRA kuwa bei za simu ztashuka. jaribu kupiga simu mtandao huo huo bila kujiunga na hizi huduma zao za jirushe, cheka na kabaang uone makato yake ndo utajua nini kinakatwa hapo.
  13. M

    Muswada wa kuzuia Maandamano nchini waja...

    Hivi ninani kweli alililia kwenda kupokea maandamano ya waandishi wa habari yasiyomhusu naweza kuwa nimesahau labda. Halafu leo aje mwingine ayazuie. Sijui itakuwaje yangu macho.
  14. M

    Huyu dada yangu nimeshindwa kumwelewa kabisaa.

    Mkuu inaonekana ukoo wenu binamu rukusa kumgegeda mpaka aunt anawaambia hivyo? We mwambie ukweli kama humtaki, kwanza nimlokole mueleze dhambi ya kuzini ilivyombaya, na anatafte mme aolewe tena wanaume wapo kibao hawezi kukosa.
  15. M

    Wenye Waume/Wapenzi Muwe Makini..

    Mi sijaelewa mleta mada analalamika nini? Mnawasema wanaume wawe ngangali wakienda huko wakati huo nyie wenyewe wadada mmekaa kiwizi wizi, yaani unakanya huku ndani mwanamke mwenzio anamtega huyo mwanamke. Mi nadhani mngeanza wenyewe kupunguza hiyo mitego kwani tayari mwaijua ingekuwa vizuri...
  16. M

    Kumbe Sheria Inaweza Ikatugwa Baada ya Adhabu Kutolewa

    Jamani mi naomba kuelimishwa hivi sheria inatungwa kumhukumu aliyehukumiwa tayari au kuhalalisha hukumu. Na kama kuna Kanuni hiyo nataraji kuona hukumu nyingi zilizo nje ya kanuni then zitapitishwa na spika wetu.
  17. M

    Tigo Acheni Wizi, Mnakata Shs45 kila siku Unreasonably

    Mi kwenye simu yangu ya tigo sisumbuki kuweka salio nanunua Extreme kwenye tigo pesa ikiisha nanunua tena. Salio linabaki lile lile shs 0.22, wakome nalo kama wanaweza kukata.
  18. M

    Matapeli mtandaoni! Soma hapa na ww usije ukaingia mkenge...

    Mkuu mi nimewahi kukutana na issue kama hiyo 2010, nikawa interested sana. Mpaka nkatumiwa baadhi ya document. Mwisho kabisa niliombwa pesa na huyo wakili wake fake kuaandaa document zingine kama dolar 1500 hivi ndo tukatofautiana nikawa namzungusha tu mpaka akachoka mwenyewe na hakunitumia tena...
  19. M

    TANESCO kunani Kigamboni?

    Wadau najua ndani ya hili jukwaa nawezakupatiwa jibu ya hii hoja. Ni siku ya tatu sasa sehemu sehemu za Kigamboni hakuna umeme, mwenyewe taarifa jaman anijuze.
  20. M

    Tanzania daima mmechemsha

    Huyu anasema watekaji wa Kibanda walitoka Mombasa? Hivi mbona watanzania hatuna uzalendo kwanini usipeleke tarifa hizo polisi usaidie upelelezi?
Back
Top Bottom