Search results

  1. L

    Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

    Mimi sijaelewa ile milioni 50 kila kijiji alimaanisha nini
  2. L

    Kiprotokali IGP anampigia saluti DC?

    Kwa mujibu wa pgo cheo cha insp.kushuka chini ndio humpigia salute rc na dc zaidi ya hapo ni kujipendekeza tu. Isipokuwa waziri ambaye hupigiwa mpaka na ssp cheo cha kuanzia ukurugenzi msaidizi(ACP) hawapigagi salute hovyo hovyo kama wafanyavyo
  3. L

    Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

    Wewe uliesoma, sheria ya ushahidi inakutaka uthibitishe hicho unacho kisema kabla ya mboye kukanusha
  4. L

    Milioni 50 kila kijiji, laptop kila mwalimu na elimu ya bure kipimo cha kwanza kwa Magufuli

    Kabla ya kuandika chochote ngoja nikausikilize ule wimbo wa prof.jay ndiyo mzee alafu ntarudi
  5. L

    Labda Mimi siwaelewi TFDA

    Udhibiti wa chakula na dawa hapa ndo mahali pake,usalama wa walaji upo mikononi mwao na viwanda vingi vidogo vimefungiwa kwa sababu ndogondogo za kiusalama kwa mlaji kama viwanda vya alizeti shinyanga na kwingineko viwanda vingi inchini vimelazimisha kuweka Maelezo kwa mlaji katika bidhaa nyingi...
  6. L

    Sijui kama nitapiga Kura

    kumbuka ni zamu yako 2015
  7. L

    NACTE imevishusha hadhi Vyuo 16 nchini na Vitatu vimefutiwa usajili

    kitu eatv bwana hawa jamaa ni wabunifu sana.
  8. L

    Kujiandikisha ni 'tisa', 'kumi' yaja!

    Je! umesubiri muda mrefu kwenye foleni kusubiri kujiandikisha. Je ulilazimika kuamka mapema alfajiri au kulala kituoni ili ujiandikishe. Je mashine za BVR,zinaharibika kila mara ukiwa kwenye foleni,je muda wa wiki maja haukutosha kujiandikisha kwenye kata yako, Je ulitoa rushwa kujiandikisha...
  9. L

    Serikali kuagiza Toyota GX V8 zipatazo 171

    TOYOTA IST unashinda gari
  10. L

    Edward Lowassa special thread

    kesho mh. lowasa atakuwa MAFINGA (w) MUFINDI kusaka wathamini katika safari yake hii ya matumaini, leo watu wanajiandikisha kwa malipo ya tsh. 50000,kwa aliye na kadi ya ccm ili kuhudhuria mkutano wake utakao fanyika uwanja wa wambi siku ya kesho, boda boda 100 zinaandaliwa kwa tsh 70000 kila...
  11. L

    Viongozi walioenguliwa CHADEMA Geita watimkia CCM

    nape,wassira,sitta,mwakyembe na wengine wengi
  12. L

    OCD Ajigamba Kumkamata Salum Mwalimu

    Anaitwa ssp mwanyasi ni ocd wilaya ya mufindi anastaafu mwakani kwenye mwezi wa pili anatafuta kupandishwa cheo ili pensheni iongezeke kidogo,lakini walimwachia baada ya mahojiano kwani sheria inasema jua likitoweka ndio usiku na sio saa kumi na mbili
  13. L

    Kutoka Uwanja wa Namfua-Singida: Lazaro Nyalandu atangaza nia ya Kugombea Urais wa Tanzania

    aniache mimi tembo wamemshinda huko anataka kuongoza watu cheeee!
  14. L

    Mwenye ushahidi wa dhahiri juu ya ufisadi wa Lowassa aweke hapa hadharani! Tuache porojo!

    kwanini alijiuzulu uwaziri mkuu kama hana chembe ya shaka?, alituambia tatizo ni uwaziri mkuu na sasa tatizo ni u rais kama hili jambo dogo tu alishindwa kuliweka wazi pale Arusha kama alivyo ahidi, nina hakika hakuta kuwa na ukweli,uwazi na uhakika kwenye serikali yake
  15. L

    Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

    Operation shahada mkononi
  16. L

    Mwigamba kumvaa Mnyika Ubungo

    nasikia na arusha mjini alipaogopa
  17. L

    Amepoteza kitambulisho cha BVR, afanyeje?

    Rafiki yangu Raheli ni mkazi wa Njombe. Alijiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura mwezi mmoja uliopita, kwa bahati mbaya jana amekipoteza na hajui cha kufanya ili apate kingine, sasa anaomba ushauri. Nini cha kufanya?
  18. L

    Oparesheni shahada mkononi

    tunakumbuka chaguzi nyingi zilizo pita watu wengi hawakupiga kura sababu hawakujiangikisha ili hili lisijirudie chadema wamekuja na OPERATION SHAHADA MKONONI.
Back
Top Bottom