ni kweli njia iliyopo kila mwajiliwa alipe kodi kwa kutumia tin number yake kusudi viwango vinavyozidi watu warudishiwe pesa yao kwani hilo ni jasho lao.
Ni vizuri sana wote mkafahamiana hasa wanaoelekea kufunga ndoa.Husipomfahamu vizuri mwenzio hasa backgroundi yake UTAJUTA HAKIKA UTAJUTA.Mfano kweny ukoo wao kuna magonjwa ya kurithi km kichaa, uchawi, wizi,matahaila,magonjwa ya kudumuk.m Genatic Deseases. hakika usipoyachunguza yote likikupata...
Vitambulisho vya Taifa viharakishwe nchi nzima na ndo vitumike kupigia kura 2015 kwani serikali iliyopo madarakani inatumia mwanya huo kuwabana wapiga kura warudi walikojiandikisha.
Ningemteua DR. Wilbroad Slaa. kwa sababu
1.Amezoeleka sana huko vijijini kama mgombea wa urais Chadema ambako ndo wapiga kura wanajitokeza.
2.Busara zake kwa kiti cha urais zinafaa.
3.Amejaribu mara moja tumeona jinsi Chadema ilivyopata wafuasi wengi na # ya wabunge ilivyoongezeka.
4.Sasa hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.