Search results

  1. A

    CHADEMA wakata tamaa Urais, sasa kujiimarisha kwenye ubunge

    True Hatatoboa Hao WanaSACCOS Wanachowaza Ni Ukanjanja Tu
  2. A

    Obama becomes first US President to support gay marriage

    Hilo cyo jambo la ajabu kwa wazungu hawa majamaa daima hufanya hufanya yale ambayo yapo against na MUNGU xo tusiwashangae bado yatazuka mengi makubwa wamewashinda hata watu wa NABII LUTU kwani wao hakuoana bali hawa sasa wameamu kuoana hamuoni kuwa sasa ibilisi ame Improve???
  3. A

    Mkapa apanda kizimbani Kisutu

    Dawa yao hawa majamaa ni katiba mpya na chadema kukamata usukuni kama vipara havijatoa jasho thn hivi huyu mr clean ana watoto wangapi???? Unajua huyu m2 simwelewi in deep!
  4. A

    Mwakyembe kuwa waziri pigo kwa Lowassa

    Ni viongozi wachache sana wenye moyo na ujasiri kama wa MR Mwakyembe
  5. A

    Kwa kigezo hiki january makamba ameshachemsha..........

    Wa2 hawapeani uwaziri kwa CV bali kwa kulindana ukianza kuchambua maovu ya kila waziri hakuna aliye salama labda wawili au watatu kama watazidi siasa za kitapeli kulindana, na chukua chako mapema ndo zilizotufikisha hapa tulipo YAA RABI TUNUSURU bora tuwe kama libya, tunis, egypt syria kuliko...
  6. A

    List ya Waliomwagwa Uwaziri+Unaibu

    nionavyo mm tatizo ni katiba mbovu hata kama wakiletwa watu toka wapi au wakibadilishwa vipi ugonjwa ni ule ule rais ana majukumu mengi san
  7. A

    Jibu maswali haya kabla hamjamhukumu Maige kwa twiga

    Unajua nchi hii wa2 wanaishi ile style ya kutoana kafara au funika kombe mwanaharamu apite kama kweli wapo serious na hii issue na 2cjewadhania vibaya wahusika wote wafikishwe mahakamani la cvyo it wll be the fabricated drama na 2kijua ni hivyo watarajie kimbunga 2015
  8. A

    Ridhiwani Kikwete anatajwa kumununulia gari Lulu

    Wee mary acha ushwain kama unamtaka r1 mtokezee kama vipi cyo kumponda kwa ku2mia imani za w2 wengine shwayn!
  9. A

    Ridhiwani Kikwete anatajwa kumununulia gari Lulu

    wee shwain acha kujoke iman za watu! Kama huna la kupost be cul!
  10. A

    MDAHALO WA IJUMAA: Waziri Mkuu akiachwa na wengine kubadilishwa itaridhisha?

    Nionavyo hata wa kibadilishwa madudu ni yale yale tu hawa majamaa wameshatuzoea wa tz kwamba tukipiga sana kelele wanafanya change kwa baadhi ya mawaziri thn tunanyamaza kimya kinachofanyika ni shehe yule yule kanzu ndo tofauti suluhu ni katiba mpya au chadema kushika nchi kabla hatujauzwa...
  11. A

    MDAHALO WA IJUMAA: Waziri Mkuu akiachwa na wengine kubadilishwa itaridhisha?

    duh! Nionavyo hawa watendaji wanaopewa nafasi hizi ni kama hawana meno ya kung'ata (sport dog) ama wapo kama vile geresha lakini mambo yote ni kwa rais tht why kama utakumbuka siku waziri mkuu alipokuwa anatoa majibu kuhusu madudu ya aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini alisema...
Back
Top Bottom