Search results

  1. gfsonwin

    Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

    Mambo wee mzee. Uko poa? Nakumiss sana mwl
  2. gfsonwin

    Naomba kufahamishwa

    Wanajamvi habari za j2! Ninaomba kujuzwa, hivi inawezekana Kwa wenzetu walioko nje ya nchi yaan wanaoishi ughaibuni mtu akafariki ndg zake huku Tz wasijue? Najua wapo ambao tunawaombeaga michango ya kusafirishwa lakini je wapo ambao hatuambiwagi kabisa habari zao? Kama wapo miili ama maiti zao...
  3. gfsonwin

    Mungu wa madhabahu ya Mwamposa

    Mmh aisee hii familia basi inachanganya. Haya ww unasema mwele mchepuko wa baba. Mwingine katujibu kuwa alikuwa mchepuko wa kaka wa Mange. Lakini haya ya kushare mama nayo yaliandikwa humu humu. Basi tuseme tuu undugu wao wanaujua wenyewe
  4. gfsonwin

    Kwanini huyu dada anapenda kutuchafua wanaume wa hapa mjini kwenye mtandao wake?

    Kwan Grace Kimambi ni mama ama ni dada was Mange?
  5. gfsonwin

    Kwanini huyu dada anapenda kutuchafua wanaume wa hapa mjini kwenye mtandao wake?

    Dunia Ina mambo. Mwele sio dada wa kuzaliwa (Kwa upande wa mama) na Mange? Manake mama Mange aliwahi kuzaa mtoto na Malecela? Lkn mwele akawa na uhusiano na kaka wa kambo?
  6. gfsonwin

    Kwanini huyu dada anapenda kutuchafua wanaume wa hapa mjini kwenye mtandao wake?

    Mwenzangu ukisema maisha yako Yana complication try to read about Manges life. Yaan yeye na Mwele ni. Mtu na dada mara wakashare dyudyu mara wakaanza kuleana huku wana share mama.
  7. gfsonwin

    Mungu wa madhabahu ya Mwamposa

    Hayana umuhimu kwasasa. Hili tulisha jadili 2013 huko. Enzi mwendazake alipokuwa anatoka na Kim Mgaya
  8. gfsonwin

    Mungu wa madhabahu ya Mwamposa

    Vic Mwele ba Mange ni mtu na dada. Ila waliwahigi kushare dyudyu na huo.uzi.uko humu ndani. Ingawa mama alizaa mwele kama mchepuko tuu. Mama ndio akaolewa na kimambi na kuzaa kina Mange
  9. gfsonwin

    Mungu wa madhabahu ya Mwamposa

    Mange na mwele malecela wanashare mama. Mama yake Mange alizaa na Malecela ndio hao akina Mwele Kisha akapigwa chini. Mama akaenda kuolewa Kwa Kimambi akazaa akina Mange. Mange kumuita mwele mama ni sawa kwasabb Mwele kamlea ingawa huko zamani (marehem hasemwagi) waliwahigi kushare dyudyu...
  10. gfsonwin

    Hasira zinaniharibia mahusiano

    We ndg upo? Long time sana
  11. gfsonwin

    Natamani urudi hata kwa dakika tano mke wangu

    Afu Haya mambo ya kuwa deep kwenye virus vy mzaha siyo mazuri. Siku mkifikwa tutaassume ni mzaha mzaha
  12. gfsonwin

    Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga (CCM) augua uchizi

    Huu uzi mkali Sana. Ngoja nisiteme nyongo nikawaudhi watu
  13. gfsonwin

    Leo nimeaibika sana, roho inauma

    Perhaps this is the! Best answer that he can get here. Am curious to know was the girl ready for the game? Ama was thinking of it ndani ya suruali afu akapona mnara haunasi akaaamua awe mpole kujipushia fedheha? Lkn je hana skills nyingine zaidi? Like hajui hata matumizi ya nyenzo mbadala...
  14. gfsonwin

    Siungi mkono Serikali kuwatafutia maeneo wamachinga. Hawa ni wahalifu walipaswa kuchukuliwa hatua

    Ni kweli umejenga hoja yako vyema. Lakini hebu rujiulize swali moja kubwa Kati ya machinga, na wale waliovamia hifadhi kujenga ama kufuga ama kulima kundi gani ni kubwa zaidi? Tuanze hapo Kwan za
  15. gfsonwin

    Happy birthday in advance Bufa

    Hbd to him. Lkn bila picha hainogi
Back
Top Bottom