Search results

  1. S

    Massage Parlours/madanguro

    Kibunango ngunga ni nini?
  2. S

    Mariam Wangwe na Jukwaa la Wahariri

    Jamani jamani msipuuze ya huyo mama. Huenda pia chacha kachukuliwa msukule na akina Wilbrod....Hivi hamjui kuwa huyo Wilbrod kabla ya kuwa mbunge na kiongozi wa kiroho alikuwa ni mcheza mazingaombwe!!Ni bingwa sana wa masuala ya akina kalumanzila!!!!
  3. S

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Wewe Ngonalugali ndiyo unataka kusema nini sasa? Kwenye huo mfano wako nani Samuel? Nani Kikwete? Mbona utabiri wako haueleweki?
  4. S

    Kichaa kumsomea Mashitaka ni WEHU wa Hakimu

    Kichaa ni Profesa Mwakyusa ambae kaunda tume lakini kuchukua hatua ya kumpeleka kichaa mahakamani. Ama kweli viroja. Inanikumbusha enzi za mzee Nyerere akiwa Rias alienda kutmbelea hospitali ya vichaa mirembe. Kwa ukichaa wa wenyeji wa uongozi wa mirembe wakaamua kumsalimisha mwenye ugonjwa wa...
  5. S

    Mnyika, Balille, Rostam Aziz na kisa cha sms!

    Dogo Mnyika anatumiwa na akina Slaa na Mbowe kama buffer zone ya kukinga bullets zote zinazoelekezwa kwao. Dogo angalia hao wazee wasikuue kisiasa. Usifikiri wanakupenda wanaogopa nyota yako isizidi yao. Chunga sana. Slaa is sly and shrewd. He has his ambaitions. Huyo anajua hila za kivatican...
  6. S

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Aisee BongoTZ ambae kashikilia suala la mapanga kuwepo au kutokuwepo ni Zito Kabwe. Yaani safari hii wanaogopa na wameona kifo cha Chacha Wangwe kimewaharibia kisiasa. Angalia hata Dr Slaa hasikiki ilhali alikuwa huko na alionekana kwenye TV amejaa hofu na woga wa kucharazwa mapnga na...
  7. S

    Captain George Mazula wa Air Tanzania afariki dunia

    Tunawapa pole wafiwa. Ushauri wangu is to take this matter spiritually. Life is eternal and eternity begins now when we are in our mortal bodies. Cheer up George's spirit has just moved into another realm but he is alive. I knew George tangu 1969 when he joined form 5 in tambaza then known as...
  8. S

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Nasikia Tarime hawataki kuwaona Dr Slaa na Rais Mbowe wahudhurie mazishi ya marehemu Wangwe. Ni kweli?
  9. S

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    CCM? ni chama cha wakulima na wafanya kazi. CHADEMA cha wachaga na wafanyabiashara. CUF? Chama cha wafanya fujo na wasioamini muungano na serikali zake. NCCR chama cha viongozi ambao ni qualified political and social pathologists waliobobea kufanya postmortem ya matukio mbalimbali ndani ya...
  10. S

    Tetesi: Ndege mbili zapotea Kilwa

    I suspect it is part of disaster exercise. I am only guessing. The coincidence is just it
  11. S

    Mizengwe ya Kupindishwa

    Dr Slaa? Rais? Huyu ni padre mstaafu ambaye anatumia philosophy na canon law aliofundishwa seminari kuhadaa umma. Poleni sana hamumjui huyu mtu. Ana kipaji cha ulaghai na ujanja ujanja. Itafitini historia yake ya zamani. Hafai hafai hafai
  12. S

    So Your Coming To Africa For Worldcup 2010

    Hee 2010 si ndiyo mwaka wetu wa uchaguzi. Itabidi tunaopiga kura wabunge watarajiwa watupe treat kutupeleka kuona mechi hizo lasivyo kura hawapati!!!!!
  13. S

    The road towards 2010 Elections

    Slaa for the Presidewncy? My foot what a silly joke!!Hivi nyie mnajua vizuri huyo mtu alieshindwa kuweka kiapo cha kanisa katoliki? Ndiye aje kuapa kuwatumikia Watanzania? Huyo ni fisadi mkubwa. Kwenye kesi ya jimbop la Karatu imedhihirika hivi karibuni yeye na chama chake waliiba kura. Hafai...
  14. S

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    RO mnajuaje kama hamuelezi tajiri yake? Wewe unataka ufahamishwe kila kitu wanachokifanya? Haiwezekani. But I can assure you ukiacha Mungu na malaika wake next ni taasisi ya RO ni silent heroes. Miiko ya kazi inakataza wao kuelezea mafanikio yao. Suala la kukamata si la RO. Muulize IGP na Hosea...
  15. S

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Kwa taarifa yenu huyo mtendaji mkuu wa Mfuko huo Dr Lorri asijifanye hajui kitu. Mbona yeye mwenyewe inasemekana ana political ambitions na hutumia sana fedha za mfuko huo kujijenga kisiasa huko Karatu ambako ndiko anakotoka. Atueleze kwa nini amekuwa mara nyingi anatafuta ujumbe wa NEC wa CCM...
  16. S

    Uchafu mitaani Dar: Nani alaumiwe?

    Nionavyo mimi wa kulaumu ni Madiwani na Halmashauri yao pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri hizo ambao ndiyo watendaji wakuu. Kwa mkoa wa DSM Mkuu wa Mkoa na Madc wa wilaya zote tatu wamekuwa wanasema na kukemea lakini wapi. Hizi Halmashauri zina kiburi sana kwa sababu wanalelewa na TAMISEMI...
  17. S

    Taarifa: waandamana kupinga ujio waBUSH

    Hayo ni maandamano yaliyoandaliwa na Ponda yule illiterate mwanaharakati wa kiislamu na self appointed defender of Islam. Hana maana hata kidogo. Hivi unategemea nini yeye kaenda shule ambapo anaandika kutoka kulia kwenda kushoto wakati serikali inaandika kutoka kushoto kwenda kulia. Lazima they...
  18. S

    Nini kifanyike dhidi ya Jiitu Patel?

    Yes f....ck him the mot..er fu....er. Jizi na fisadi kubwa. Hawezi kuwa na huruma huyu, hana mkw wala watoto..........
  19. S

    Usalama wa Taifa: Mpo likizo?

    FISADIST sawa sawa wapashe hao wanaa ambao wanafikiri TISS ni usalama wa Taifa. Wanoko wakubwa hao
  20. S

    Mhariri wa Mwanahalisi akatwa mapanga

    Mm sishangai. Maana wameongoza kuwashambulia wakubwa. Sasa mnafikiri hao majambazi wametumwa na kuna motive za kisiasa katika mashambulizi hayo. Wakati wanawashambulia hawakusema chochote? Jamani Tz ndiyo twaelekea nchi jirani? Hiyo sio dawa. Unafikiri mbele ya kamati ya bunge ya Mwakyembe juu...
Back
Top Bottom