Search results

  1. N

    Masterbation kwa maji moto

    Nilikuwa na rafiki yangu ambaye ni mwanaume naaliwahi kukaa nchi za nje mda mrefu bila mkewe na nilipojaribu kumdadisi mkewe kuw mumewe unawezaezaje kukaa mda mrefu akanitonya kuwa anafanya masterbation kwa maji ya moto. Sasa jana nimefanikiwa kuoga kwneye nyumba ambayo bomba linatoa maji ya...
  2. N

    Mtihani wa mchujo Utumishi

    Jamani kila siku najiuliza kuhusu mtihani wa mchujo wa utumishi, unakuwa na mhundo gani? maana watu ni wengi na wanasiku moja ya kusaisha na kuwainterview waliopasi. Kama kuna mdau amewahi kufanya tafadhali nitoe ushamba
  3. N

    Natafuta kazi nina masters ya water Engineering

    mimi nina masters ya water engineering pia, nina 2 year kwenye game lakutafuta kibarua. ikishindikna anzia ERB wakuregiste kam aengineer
  4. N

    Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

    Kweli Willie akili yako inaweza kufanfanishwa na ya sisimizi.. kama hapa ndio upeo wa fikra zako zinapoweza kuchanganua mambo
  5. N

    JK Kwa uteuzi huu tuonee huruma - Ulega Hamis Abdallah DC mpya Kilwa

    Nyie mnamshangaa huyo.. mie nilibaki mdomo wazi pale ambapo best wangu kipenzi Bibi Mwanahamisi Omari Kitogo mwazo wa mwezi huu alichaghuliwa kuwa mshauri wa Raisi kuhusu mambo ya jamii. Hata sikuamini macho yangu nikawa namwamboa huenda majina yamefanana maana yeye ni mkadriaji majengo katika...
  6. N

    IKWIRIRI KWACHAFUKA-Niliandika.

    kuna ndugu zangu wanaishi ikwirir,i kuna mda kulikuwa na tetesi kuwa mashamba yao wamegaiwa wawekezaji wakikorea.. walipo enda Wilayani kweli wakataarifiwa kuwa wilaya Imetenga zaidi ya Eka 3000 kwa ajili ya mwekezaji mkorea na wao wenyewe wakiwa ndani ya hilo eneo bila kupewa taarifa...
  7. N

    Call waiting........

    wewe huyo ndugu gani ambaye ni lazima muongee uaku wa manane... /usiku watu wanaongea na wapenzi wao.. kama ndio umewazoesha ndugu zako hivyo waache!!! alafu hizo form zina ulazima gani hadi muziongelee usiku.. Wanaume mnamambo
  8. N

    Kuitwa kwenye usaili-tume ya ajira

    makubwa kumbe kuna kufanya writen interview!!! Vijana hawa wanambo!! Siku moja nimewaoma walikuja kwetu kuongea na mkurugenzi wa assess watu wangapi wanaitajika..ni vijana wenzetu naamini wanachapa sana kazi... na hawana upendeleo... Japo kwa maswala kama kuwa na trancript pekee inabidi wawe...
  9. N

    Kuitwa kwenye usaili-tume ya ajira

    Binafsi nasikitika sana, kuna mambo mengi hapa Tanzania yanayokatisha vijana Tamaa Mfano Vijana waliomaliza Uclas ukiwa under UDSM then wakaamia ARDHI University mpaka leo kesi yao iko mahakamani na kwa hivyo hawapewi vyeti vyao, na kama unacheti Chako cha undergraduate tangu miaka ya 2007...
  10. N

    Baada ya kuondolewa Uwaziri, Ngeleja akamuombe Msamaha mlinzi wa benki aliye mfukuzisha kazi

    Ngeleja anamatatizo na watu wengi maana hata kaka yake mkubwa aliemsomesha hawaelewani kwa sababu wanamuomba msaada
  11. N

    Ndoa na watoto wa ndugu ni mtihani

    Thank Petcash umeongea vitu vya maana sana. nimepata postive thinking ambayo sikuwahi kuiwaza
  12. N

    Ndoa na watoto wa ndugu ni mtihani

    Mama Mzee yeye anakisingizio eti yeye akusoma... na kwa sasa anaona umuhimu wa elimu hivyo Mzee kukaa kwa baba yake mdogo kutamsaidia kupata elimu.... Lkn the point ni kwamba ni too late sana kumnyoosha mzee aingie kwenye mfumo wa kiuanafunzi na kumuondoa ujinga ukizingatia Mzee ameshajua hela...
  13. N

    Ndoa na watoto wa ndugu ni mtihani

    At some point mtu unafikiria .. I would like to help lkn there is no way of helping na kama mama mtu ameshindwa kwa nini mimi ndio huo mzigo uniangukie
  14. N

    Ndoa na watoto wa ndugu ni mtihani

    Umezaa watoto wako wawili ukiamini wanatosha kwa maisha ya sasa. Mmeo kwa sasa ndio mkubwa kwao na pia wanakaka yao ambaye alikuwa ni mkubwa kwake akafariki na kuacha mototo mmoja wa kuime jina MZEE, mama MZEE aliondoka na mwanae baada ya mmewake kufariki. Mama MZEE baada ya kufiwa na mme...
  15. N

    Majibu ya Kigwangalla: Kwa Nini Sikusaini Hoja ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (MB)!

    ni bora usingejibu kabisa, kuliko kuja kuandika haa mapunda yanayotoa picha ya jinsi akili yako ilivyo finyu na umetawaliwa na uCCM badala ya Taifa. Mapunda ya hivi uwe unaishia kumweleza mkweo na sio jamii NONE SENSE MAN
  16. N

    Unam-treat FAIRLY house girl wako?

    Huyu hana tofauti na ndungu yangu mie, anadai house girl wake anamkumbusha maisha aliyoishi kwao..lkn for hard working ameweza kuyaepuka .. kwa hiyo housegirl wake ni mzembe kuishi maisha hayo..na hawezi kumheshimu
  17. N

    Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

    Sas mzungu wa nne si ndio mnapishanisha kabisa miguuu yenu ina-interlock
  18. N

    Using Mobile Health Technology to Build a Population-Based Cancer Registry in Tanzania

    Jamani wana jamii, Nimetokea kuona kupitia kwa marafiki zangu wa uganda., wanaoshiriki kwenye grand challenges za Canada. walinitaarifu niwapigie kura kwenye aplication zao.. baada ya kuangalia nikaona application hii ya Tanzania nikaipenda sana... Nadhani idea ni nzuri na very creative.. Grand...
  19. N

    Kwa wana Hanang' iliyoongozwa na Mh Sumaye na sasa Mh Mary Nagu

    Mie naona wanasiasa wakonge wa ccm hawapendi maendeleo ya elimu kwenye majmbo yao, kwa maana watu wakielimika ni challange kwao, huenda wasiwakubali.
  20. N

    Matokeo ya lulu kidato cha nne haya hapa

    Mdau tunaweza kupata na wema sepetu.. maana na yeye ni wale wale viingireza vingi vya kuchomekea . ni vyema na yeye tumjue kabisa maana na yeye alikoswa koswa kuwa ndio lulu
Back
Top Bottom