Search results

  1. M

    Nimeshindwa Ubunge Wa EAC, Sasa Kujipanga Upya!

    Kama kungekuwa na kombe la 'mpondaji hodari' basi mchuano ungekuwa mkali sana maana hili jamvi kuna watu wamekalia kuponda tu wenzao. Yaani wao ni ponda ponda mwanzo mwisho.
  2. M

    She Makes Me Cry

    Sasa huyo real man atamchukuaje tu huyo mwanamke pasipo huyo mwanamke naye kutaka? Au mwanamke hana usemi? Yeye akitakwa tu anachukuliwa? Kama si hivyo kwa nini mwanamke asiseme "hapana, sitaki. sitaki kwa sababu nina wangu tayari. nenda katafute mwingine na tafadhali achana na mimi"? Au ni...
  3. M

    ningekuwa bwana harusi ningekimbia

    Hao wadada wawili kwenye hizo picha ni public figures na hizo picha zipo kwenye blogs kadhaa. Hata Dida mwenyewe aliziweka baadhi ya hizo picha kwenye blog yake. Sasa kama walikuwa hawataki watu wazitolee maoni wasingeziweka kwenye blogs. Pindi unapoweka picha zako kwenye mitandao ya kijamii...
  4. M

    ningekuwa bwana harusi ningekimbia

    Dida wa G ni celebrity kama mlikuwa hamjui. Ni host wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani, Times FM. Katika genre ya taarab hakunaga host kama Dida. Blog yake hii hapa Tovuti ya Times hii hapa Their statuses as public figures make both of them fair game.
  5. M

    She Makes Me Cry

    After I started reading I thought it was an ode to your lady. But it appears as if you have a problem. If indeed it is a problem then what you have is a good problem - two lovebirds who are smitten with each other. It doesn't get any better than that.
  6. M

    Nimeshindwa Ubunge Wa EAC, Sasa Kujipanga Upya!

    Kaka hujachoka tu kuangua hicho kicheko?
  7. M

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    I too think he has a shot at winning Lusinde's seat. But we'll see.
  8. M

    Romance

    What up Boss hog?
  9. M

    Nimeshindwa Ubunge Wa EAC, Sasa Kujipanga Upya!

    It's not the end of the world and there is nothing to be ashamed of. All the best and see you in May.
  10. M

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Mimi sio Le Mutuz. Mimi ni rafiki yake. As a person and as a friend, I like him very much and I'm not gonna get on the internet and start trashing him. No way Jose. I'm loyal to a fault.
  11. M

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Mimi tokea 2010 alipo-stand up kwa yule jamaa aliyemtusi nilimpenda. She's no pushover. Sasa kuna watu walim-trash kweli kweli kwa kitendo kile. Kwangu alikuwa ni shujaa. Go Shyrose go.
  12. M

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Haya bana...I'm just not gonna dump on my friend for coming up short.
  13. M

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Umesahau jinsi marehemu Regia alivyokuwa anapondwa na watu humu? Yaani we acha tu. Nimejifunza funzo zuri sana kwenye hii mitandao ya kijamii hususan hii ambayo watu hutumia majina bandia.
  14. M

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    JF inavunja sana moyo aisee.
  15. M

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Hahahahaaaa William angeshinda leo kuna watu msingelala. But he'll bounce back. Shyrose 2010 hakufika mbali lakini angalia leo....huyo anayeya zake EA
  16. M

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Kilichomwangusha ni tajiriba tu kwa sababu kama unavyosema, public speaking si mchezo kama hujazoea. Mtu unaweza uka-lose train of thought halafu ukaishia kuonekana si "kichwa" wakati hata si hivyo.
  17. M

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Bila William huu mchakato usingekuwa na excitement kama iliyokuwepo leo. Kuna watu lazima wagongeshe cheers huko waliko. JF bana...full of negativity and hate.
Back
Top Bottom