Search results

  1. Tanzania Mpya

    DOKEZO Kwanini Tiketi Mtandao haitumiki?

    App ya tiketi mtandao ilizinduliwa ili kumsaidia abiria kuchagua basi, kuchagua siti na kulipa nauli moja kwa moja mtandaoni yeye mwenyewe bila kusumbuka kupiga simu au kwenda kwa makampuni ya mabasi. Lakini App hii au mfumo huu haufanyi kazi, na ni muda mrefu hakuna marekebisho wala maboresho...
  2. Tanzania Mpya

    Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

    KUMBUKA Ni kawaida kwa mtoto akili ikianza kukua anaanza kujiuliza mambo mengi na kufikia conclusion kulingana na uwezo ambao akili yake imefikia! Lakini haimaanishi kwamba yupo sahihi au hayupo sahihi, au alichokigundua ndio Ukweli Sasa au la. Na kwa kuwa kweli haibadiliki, akili ya mtoto...
  3. Tanzania Mpya

    Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

    Maswali unayojiuliza huulizwa na kila mtu anapoanza kuwa na akili ya kujua jema na baya. Lakini unapotaka kuendelea kutafakari juu ya Mungu ni vema ukazingatia maandiko yafuatayo ya Biblia: Andiko la kwanza: Kumbu. 29:29 "Mambo ya siri ni ya BWANA, Mungu wetu; lakini mambo yaliyofunuliwa ni...
  4. Tanzania Mpya

    Hivi wanawake wa hivi wamekosaga nini kwenye ndoa zao?

    Inaonekana wewe bado unakula na kulala kwa mama, hujui maisha, kichwani ni zero.
  5. Tanzania Mpya

    Hivi wanawake wa hivi wamekosaga nini kwenye ndoa zao?

    Una shida kichwani. Usipojitambua mapema na kugeuka basi maisha yako ni mafupi sana.
  6. Tanzania Mpya

    Nimepata mshtuko mkubwa Ubungo Bus Terminal leo alfajiri!

    Ninaamini kwamba chama cha kutetea haki za abiria kimekusikia.
  7. Tanzania Mpya

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kazi kweli kweli!!!
  8. Tanzania Mpya

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  9. Tanzania Mpya

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) yatahadharisha ujio wa ukame, njaa

    Mkuu, naona mapumziko ya X-Mass na Mwaka Mpya yamekufanya ukasahau matukio ya mwaka 2016. Mimi nakumbuka hawa jamaa ktk taarifa yao mapema tu mwaka jana kabla ya kuanza kwa mvua za vuli walisema mvua za mwaka huu zitakuwa chache na wale jamaa wa maafa baadae nao walitoa taarifa kwa umma kuhusu...
  10. Tanzania Mpya

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    Kweli kabisa Mkuu! Na taarifa za habari za CTN mara nyingi alikuwa anatangaza huyu Ephrahim Kibonde. Enzi hizo alikuwa kijana mdogo hata kwa umbo![emoji3]
  11. Tanzania Mpya

    Gwajima aagiza helkopta 2 kutoka Japani

    Tatizo lako ni helicopter za Gwajima au Mwakasege au sadaka? Point yako ya kwanza ndio ilikuwa habari lakini haya mengine uliyoyaongezea hapo unaonekana una chuki za kidini. Hueleweki!
  12. Tanzania Mpya

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    CTN walikuwa na movie fulani za kizamani sana, zilikuwa zinaitwa TNT Classic Movies. Nilikuwa napoteza muda sana kuziangalia hizi. [emoji3][emoji3][emoji3]
  13. Tanzania Mpya

    Dereva huyu wa gari la mwendokasi aonywe!

    Safi sana Mkuu! Asante kwa kuelimisha.
  14. Tanzania Mpya

    Dereva huyu wa gari la mwendokasi aonywe!

    Swali zuri Mkuu. Binafsi sijui.
  15. Tanzania Mpya

    Dereva huyu wa gari la mwendokasi aonywe!

    Hana sababu ya kushindana utadhani anawahi kugombania abiria ili afikishe mahesabu ya jioni. Any way, una haki ya kuwa na mtazamo wako tofauti.
  16. Tanzania Mpya

    Dereva huyu wa gari la mwendokasi aonywe!

    Ha ha haaa! Inawezekana!
  17. Tanzania Mpya

    Dereva huyu wa gari la mwendokasi aonywe!

    Nilipanda basi la Mwendo Kasi kutoka Kariakoo kwenda Ubungo asubuhi hii kwenye saa 2 na robo hivi. Nimemshangaa Dereva wa basi namba T144DGW anavyoendesha kwa speed kubwa na kutoacha nafasi ya kutosha kati yake na mwenzake aliye mbele yake! Anafanya michezo kama dereva wa daladala, anamfuata...
  18. Tanzania Mpya

    Ushauri kwa Paul Makonda

    Safi sana Mkuu. Tunapaswa kuurudisha huu. Sijui ulipotelea wapi? Viongozi wetu walione hili. Nadhani sasa ni wakati mwafaka.
  19. Tanzania Mpya

    Ushauri kwa Paul Makonda

    Penye nia pana njia Mkuu. Wenzetu wameweza, ni maamuzi tu.
Back
Top Bottom