Search results

  1. M

    Ipi Dhana Bora?: CHADEMA wanatumia-BOTTOM UP APPROACH,CCM - TOP DOWN APPROACH

    Mtoa mada anaelekea yupo mwaka wa kwanza au wa pili chuoni. Kama ameshamaliza chuo basi alidumaa kimasomo alipofika mwaka wa pili. Unaposema "top down na bottom up" unatumia vigezo gani ku-conclude kama ccm wanatumia Td na cdm Bu. Manejimenti ya shughuli za chama (CCM) inapoanzia kwa mabalozi...
  2. M

    TRA demands 3bn/- in taxes from FastJet

    Hebu iondoeni Fastjet muone hasira zetu. Hii ni vita ya kibiashara na waziri wa fedha anatakiwa kujiuliza kama kiti kinamtosha. Ni wazi na haina chenga hii ni hujuma kwa Fastjet na pigo kwa walalahoi. Sijawahi kuichukia serikali lakini kwa hili imani yangu inatetereka na nasubiri uonevu utokee.
  3. M

    Mkono mwingine wa Mwigulu Nchemba ndani ya CHADEMA huu hapa!

    Mtu ukimkuta hotelini tena sehemu ya wazi unasema kajificha! Mwigulu Nchemba si mtu wa kumkimbia Dr. Padri Slaa. Haingii akilini. Akimbie kwa lipi?
  4. M

    Aibu kubwa NEC-CCM Kupokea Sisimizi: Mdee

    Leo Halima Mdee anaipangia CCm cha kufanya! Asome vizuri katiba ya ccm na ajielekeze kwenye majukumu ya H/shauri kuu. Atakuwa amepata majibu. Pia anatakiwa kufahamu tofauti ya kikao cha NEC na mjumbe wa NEC. Unapokutana na kusalimiana na mjumbe wa NEC hujasalimiana na kikao cha NEC. Hivyo...
  5. M

    UVCCM Singida wakerwa na Shonza na Mwampamba

    Hayo si maneno ya UVCCM Singida. Propaganda za cdm. Hiyo ndio siasa, unamtumia mtu aliyekuwa ndani yao kutoa siri na madudu yanayofanywa ndani ya cdm. Hiyo ndio mikakati ya kisiasa. Nani angejua kama Dr. Padri Slaa amejikopesha milioni 140 za walipa kodi wa Tanzania kwa shughuli zake binafsi...
  6. M

    Ubadhilifu wa Dr. Slaa siku moja kabla sijafukuzwa CHADEMA

    Mwampamba hongera sana, wachangiaji wote wa cdm wameshindwa kuvunja hoja yako. Wanatukana, wanachanganya mada, wamechanganyikiwa. Eti kuhoji ufisadi hadi uwe ndani ya cdm! Swala hapa je, fedha za ruzuku ya chama zinaruhusiwa kujikopesha? Mambo ya mwampamba kachuja kisiasa sio jibu. Ufisadi ni...
  7. M

    Dr. Slaa amuige Mnyika kujibu tuhuma za Mtela Mwampamba dhidi yake

    Halafu kwanini mnashusha hadhi ya katibu mkuu wa chadema, jina ni jina ili mradi linamtambulisha. Lakini ningependa aitwe "Padri Dr. wilbroad Slaa" kwanini cheo chake cha upadri hakitajwi, mnamkosea heshima.
  8. M

    Waraka wa UAMSHO unaochochea machafuko Zanzibar

    Waraka, waraka, waraka. Mimi nadhani tujadili pia ule waraka wa kanisa kuelekea uchaguzi wa mwaka 2010. Nadhani hapo ndipo filimbi ilipigwa na sasa tuko hapa, hao maaskofu wetu waliangalia mbali kabla hawajatoa waraka huo? Sidhani kama kutakuwa na udini kama kanisa litaacha kujizatiti katika...
  9. M

    Mhe. Mnyika live ITV katika 'Malumbano ya hoja'

    Haitofautiani na kale kakipima joto ka ITV na Redio one ni upotezaji wa muda tu. Maswali elekezi tupu. Mfano kipima joto kinauliza " Kukithiri kwa uchafu katika soko la---je, haihatarishi afya ya walaji'? Sasa hilo swali kweli au kwa sababu lina alama ya kuuliza. Sasa likiwa swali la kisiasa na...
  10. M

    Propaganda hii ni chafu haina tija kwa taifa

    Namuunga mkono mtoa mada. Padri kuawa si lazima awe kauawa na mwislamu. Huo ni upotoshaji mkubwa sana na vyombo vya habari bila kujua madhara yake inaandika habari za uchochezi zaidi kwa kuhusisha kifo cha padri na udini. Hata maaskofu na wanachi wengine wanakosea wanapotoa kauli juu ya kifo cha...
  11. M

    Mhe. Mnyika live ITV katika 'Malumbano ya hoja'

    Kitu kingine ambacho sijakipenda na sio mdahalo huu tu hata mingine ni biasness ya ITV. Mfano jana, waendeshaji walipokuwa wanatoa nafasi kwa meza kuu mara nyingi Mnyika aliwekwa kuwa mzungumzaji wa mwisho ili iwe iwe faida kwake kuzima hoja za wengine. Hata waendesha kipindi wanaonesha ushabiki...
  12. M

    Mhe. Mnyika live ITV katika 'Malumbano ya hoja'

    Kwenye malumbano cdm kama kawaida yao waliingia na majibu. Licha ya mjumbe kutoka bunge kuwaeleza kuwa Mhe.Kashilila alikuwa anatoa mawazo ya wabunge wengine na hadi sasa hakuna mpango wa aina yoyote wa kuzuia matangazo live-bado cdm walikuwa wanajichanganya kwa kung'ang'ania kana kwamba tayari...
  13. M

    Nape amtaka Mnyika kujitokeza mbele ya Wananchi kuweka wazi Kiwango cha Elimu yake

    DAUDI, Wewe unafikiri uprofesa unapigiwa kura au kusema sana bungeni. Kwa hiyo kipande cha chupa kinachong'aa sana ni bora kuliko almasi! Cdm bure kabisa, mifano ya kijiweni haina mashiko.
  14. M

    Nape amtaka Mnyika kujitokeza mbele ya Wananchi kuweka wazi Kiwango cha Elimu yake

    Hivi mtu kuombwa kuweka wazi kiwango chako cha elimu ni kosa? Kwangu mimi jibu lingekuwa fupi sana. " Form six au Chuo kikuu" full stop. Wachangiaji wengi wako nje ya mada na madai ya Nape yameonekana wazi kuwachefua. Hoja ndogo imewapiga vibaya mno. Nigekuwa kwenye chumba cha mtihani, saa...
  15. M

    CHADEMA, uislam na waislam!

    Nakubaliana na wewe kabisa. Lakini kosa lingine kubwa lililofanyika ni ule waraka wa kanisa kuelekea uchaguzi wa 2010 na hata pale kanisa jijini Arusha lilipojiingiza kutomtambua meya wa Arusha ilijipambanua wazi kuwa kanisa linaiunga mkono chadema na hilo huwezi kulikanusha. Hivyo, CCM...
  16. M

    Kikwete's Regime Exposed: Activists report to US Congressional Committees... For Your Eyes Only

    A well cooked document! Right from the first paragraph, the whole document depicts political propaganda. Do not create fear to the people.
  17. M

    Kwa watu wa mkoa wa Mara

    Mm sio mwana Mara ila nawashauri kitu kimoja, msikubali kuwa Chagga_body guards. Sifa za kijinga zimewatawala.
  18. M

    Ushauri kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman A. Mbowe

    Cdm wanafurahisha kweli, CCM kitambo vazi la kombati ni sehemu ya vazi lao ndio maana hata mgambo ndio vazi lao rasmi. Wakati wa vita vya uganda, CCM namba moja marehemu mwl. Nyerere alilivaa wakati mwingi wa vita. Mtoa mada anaelekea kujua hilo ila wale fata mkumbo-wavivu wa kuchimba mambo...
  19. M

    CCM inamilikiwa na nani?

    Uzuri wa CCM ambao vyama vingine vinatamani kuwa nao ni: Haina mwenyewe unayeweza kum-point kuwa huyu ndie ccm. Chadema, CUF kuna watu_wao ndio chama_chama ndio wao. Mfano CUF ni ya wapemba na cdm ni ya wachaga. Inahitaji akili ndogo tu kukubaliana na hilo. CCM haina mshiko wa udini. Chadema...
  20. M

    CCM inamilikiwa na nani?

    Sio Ndesa tu, na Mtei aliyempa mbowe mke na chama.
Back
Top Bottom