Search results

  1. Malaika wa Kifo

    Wachaga nini siri ya mafanikio yenu?

    Kwa kiasi chake Ila mimi binafsi naishi nafanya kazi na wachaga jamaa huwaambii kitu kwenye pesa Ila naukubali utaratibu wao, "Ukioa mwanamke wa kichaga ikifika mwisho wa mwaka ule msimu wa sikukuu si huwa wanarudi kwao....mwanamke akienda kwao lazima ataulizwa mwaka huu mmefanikiwa kwenye...
  2. Malaika wa Kifo

    Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

    Umeongea ukweli, hii ilishawahi kunitokea Mimi huwa sio muongeaji wa mambo yanayotokea ndani ila mwanamke alikuwa na tabia ya kuwapigia simu wajomba zake na kunisema vibaya kwa majirani ili mimi nionekane mbaya, nikarudisha kwao Siku mjomba wake namueleza mambo yote yaliyotokea, akaniambia...
  3. Malaika wa Kifo

    Polisi yafafanua madai ya kuwa Sheikh Abdulrazack Mohamed ambaye hajulikani alipo kwamba alikamatwa na Polisi

    Hapana mkuu, hauhalalishi, ila hauruhusu kuwa mnyonge unapodhurumiwa haki yako Unashinikiza udai haki yako, ndo maana nchi zinazoongozwa kiislamu matukio ya kigaidi hayaishi sababu kuu ikiwa wanaodhulumiwa hupigania haki yao kwa jasho na damu Hata mimi siku nikiamua kudai haki yangu kwa...
  4. Malaika wa Kifo

    Dunia iliishia 1999

    Badala ya kumlaumu mngemuuliza kazaliwa mwaka gani Ukute kazaliwa 2007 hapo anakuja kutupiga fix watu wazima humu
  5. Malaika wa Kifo

    Wengi wanaotaka wake zao wasifanye kazi wana upeo mdogo wa kufikiri halafu ni wabinafsi

    Wanawake wa sasa bila kuwa na mfumo dume hutoboi Wapo wa kuishi nao hivyo unavyotaka wewe ila sio hawa wa Haki Sawa
  6. Malaika wa Kifo

    Wengi wanaotaka wake zao wasifanye kazi wana upeo mdogo wa kufikiri halafu ni wabinafsi

    Hilo ni jukumu la wazazi wake Kwani nisingeoa dada yao wangesomeshwa na nani?
  7. Malaika wa Kifo

    Wengi wanaotaka wake zao wasifanye kazi wana upeo mdogo wa kufikiri halafu ni wabinafsi

    Na hiki nilishamwambia mke wangu na naendelea kumwambia Akae akijua siku nikijua ananisaliti ni Talaka
  8. Malaika wa Kifo

    Wengi wanaotaka wake zao wasifanye kazi wana upeo mdogo wa kufikiri halafu ni wabinafsi

    Tukiwapandisha cheo beki tatu wananuna Mi akiniambia nitafute dada wa kazi natafuta anayenivutia vutia ili waifu ajishtukie
  9. Malaika wa Kifo

    Wengi wanaotaka wake zao wasifanye kazi wana upeo mdogo wa kufikiri halafu ni wabinafsi

    Mkuu mimi mke wangu nilimruhusu afanye kazi ila saa kumi na mbili jioni awe home kunipikia (maana anajua kabisa chakula cha jioni anatakiwa apike yeye na sio dada wa kazi) Siku akaniletea pigo zake kuniambia Boss alimsubirisha Nikamuuliza, "Huyo Boss wako anakulipa sh ngapi kwa mwezi?"...
  10. Malaika wa Kifo

    Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Ungemkosoa kwa kuweka zinavyofanyika ingekuwa vizuri zaidi
  11. Malaika wa Kifo

    Polisi yafafanua madai ya kuwa Sheikh Abdulrazack Mohamed ambaye hajulikani alipo kwamba alikamatwa na Polisi

    Hata mimi nilikuwa nasema hivyo hivyo Ila nilipoishi nao ndo nikajua kwamba Waislamu sio magaidi na Ugaidi ni haramu katika Uislamu Gaidi anaweza kuwa mtu yeyote yule hata asiye na Dini anaweza kuwa Gaidi Hakuna Dini/Imani inayohalalisha ugaidi
  12. Malaika wa Kifo

    We mbaba unaacha ngapi ya mezani?

    15k-20k(ya dharula) Unga wa sembe, mchele, ngano, viazi mviringo, viazi rishe, nyanya, carrots, Hoho, mafuta ya kula, gas, ndimu, tangawizi, vitunguu swaumu, vitunguu maji Vyote vipo
  13. Malaika wa Kifo

    Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    Anabeba vizuri sana, mimi 2007 nilikuwa na 45KG ila GYM Bench nilikuwa napush 80KG na hapo nilikuwa na 21yrs
  14. Malaika wa Kifo

    Mnaosema Gharama za Kujenga Uwanja wa Samia Suluhu Hassan Stadium-Arusha ni Kubwa ,Angalieni Gharama za Viwanja Kwenye Nchi Zingine za Afrika Hapa.

    Hivi mimi na wewe nani haelewi? Umeniuliza kuhusu kuomba tenda ya ujenzi Nami nimekujibu hiyo sio fani yangu Fani yangu ni kuitumikia ID yangu Vipi nije?
  15. Malaika wa Kifo

    Wapenzi wa Movies: Nani mkali kati ya Samuel Jackson na Denzel Washington?

    Huyo mwenye upara hapo anacheza muvi kali sana
  16. Malaika wa Kifo

    Askari mstaafu Polisi Saba Sita baada ya kuchimba kaburi sasa anunua jeneza

    Hii kazi sitamruhusu mwanangu afanye Bora nimrithishe kazi yangu lakini sio Askari Polisi
Back
Top Bottom