Search results

  1. N

    Bungeni: Mjadala mkali waendelea!

    Ujue kuwa NNJI HII INAJENGWA NA WENYE MOYO NAKULIWA NA WENYE MENO. Maneno yanani hayo wana jamii au amekosea avuliwe gamba?.
  2. N

    mnazikumbuka nyimbo kali za Extra Musica?

    Kama unapenda kweli muzik wa congo enzi '90 mpaka '99 hapa umefika nitafute.walianza na kitu fred nelson ktk albam yao RECONCILIATIO Chini ya uongozi wa GAY GAY Ambaye ndie mtunzi wa wimbo huo.kisha wakatoka na comfimation kukiwa wimbo kama kende,denide,angela na zingine nyingi.hapa walisuguana...
  3. N

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Nakupa bigup kwa mada yako,mi nakumbuka KAJOI,NGORIKA,FIRMS NA LANG'ATA BUS Namengine nitakukumbusha siku nyingine.
  4. N

    Maigizo ya Lulu na Kanumba Ijumaa

    Na wewe igiza hakuna kufa tuangalie HUTAKUFA!
  5. N

    Hodi hodi wanajamiiii

    Asalam aleykum wote,naomba usajili na ukarim jukwaani,nipokeeni jamani.
  6. N

    Lulu na kanumba

    Unajua walianza mahusiano ya kimapenzi kabla ya miaka 18!
  7. N

    Maigizo ya Lulu na Kanumba Ijumaa

    Kesi yakimapenzi inawahusu wapenzi 2 kama kanumba angekuwepo.
Back
Top Bottom