ishengoma usipoteze mda wako kuongea na akina kishazi ambao hawajui chochote. mtoto hakui kwa siku moja. huyu anayesema yawezekana hata pale penyewe hapajui. hatusemi tu kwa sababu sisi ni products za hapo, ila nisingeumia kama ningekuwa nimepita hapo. huo ni wivu tu tena wa hajabu sana.
ila...
This Is The Time Now Tanzania Inaingia Kwenye Rennaissance Ambayo Ulaya Waliingia Mwaka1600
Sumu Unaweza Kwenda Nayo Kama Utapata First Aid Kwanza Kama Kupewa Maziwa, Kutumia Mkojo Ili Utapika Maana Haya Huwa Yanatuliza Makali.
Mfano Mzuri Ni Magufuli Alipopewa Sumu Na Baadaye Kukimbizwa...
tunaangalia sheria ya ndoa inavyosema. mtoto wa miaka 15 ni mtoto kwa maana kwamba ukiLALA NAYE UTAKUWA UMEBAKA AWE AMEKUBALI AU LA. hii inatolewa na SOSPA=sheria za mabadiliko ya kujamiana.
ila katika kufunga ndoa sheria inatoa mwanya kidogo kuwa unaweza kufunga ndoa ilimradi tu wazazi wake...
nilipotea gafla na data ila sasa nimerudi; ninatanguliza heshima mbele,
mtaalamu huyo ni yahya Hamad, ana masters mbili, na sasa hivi anachukua PHD pale udsm. masters ya kwanza ni hiyo ya arbitration ambayo kachukulia cambridge, na masters ya pili ni ya jurisprudence.
yeye ni mzanzibar, ila...
unajua kila linapotokea jambo, lazima binadamu wa kawaida ajiulize. hiyo ndiyo falsafa ya binadamu. na mara zote binadamu anayetumia rasilimali yake atafanya hivyo. ninaona ni muhimu kuuliza na kujenga hoja kwanini wakati huu na sio jana. kwa nini iwe haraka na huku kuna kalenda yao ya kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.