Search results

  1. T

    GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

    Hivi unajua lakin kama chuki na kinyongo vinaleta kansa?
  2. T

    AlikibaVEVO vs Diamond YouTube

    Halaf kwa taarifa tu fupi hata vevo pia mtu anaweza kununua views. Hebu acha fitna zisizo na mpango
  3. T

    EATV na EA radio wamjia juu Diamond , kisa kusema hategemei redio na Tv pekee

    Hata ningekua mshamba kutoka Kivule. Fact ni kwamba Mengi anamjua Diamond Platnumz NOW. Coz we are speaking of the Present. Either alitafuta event planners or organizers doesn't matter. Kitu pekee cha msingi unachoweza niambia nikakuelewa ni kwamba hawezi kuwa na beef na Diamond over a silly...
  4. T

    EATV na EA radio wamjia juu Diamond , kisa kusema hategemei redio na Tv pekee

    Mzee Mengi anamjua sana Diamond Platnumz. That is why alimualika actually alimlipa kwenda kufanya performance kwenye birthday ya mke wake kipenz bibie Klynn mwaka 2014. Habari za WCB anazo.
  5. T

    Alikiba kutua Dar Jumanne hii, kula dinner na wadau muhimu

    Nyie watu kuweni serious acheni mchezo. Alivyokua ana perform kwenye zile pubs that can't even accommodate 100 people ndo ilikua tour yenyewe ya South? Tuzo kwa kufika 5M views YouTube? Duh halaf akija apokelewe? Kwa lipi kubwa hadi wananchi wapoteze nauli kwenda airport kumsubiri? Wonders shall...
  6. T

    Diamond platnumz aweka record mpya Afrika

    Kariakoo nahisi na dodoma
  7. T

    Bifu la Lulu na Mange

    Warumi weeeeee Tumwagie bwana ubuyu wote
  8. T

    Dr Levy: Ali Kiba ni dozi ya kutwa mara tatu

    Mwisho wa siku kiba atakula sauti yake na Diamond atakula pesa zake. Kuna tatizo kwani?
  9. T

    Diamond jitathmini upya! ‘kokoro’ imekuvua nguo mshkaji wangu

    We nae kwendraaaaaaaaa Kina 50cent, Dr Dre, justin beiber, trey songz n.k daily wanatoa videos zenye kukosa maadili na bado one of their biggest fans ni wanawake, itakua diamond na hiyo kokoro.? Muacheni Simba
  10. T

    Ruby! sifa zimemponza

    Jamaniii warumi upo nyonyo?
  11. T

    Why kokoro imewah 1mil view kuliko Muziki ya darasa

    Mbali yaan Mbugani au.?
  12. T

    Chibu Junior kakosa kick ya kutokea

    We nawe acha umbea. Na kama umeamua kuwa mmbea kuwa na kumbukumbu Kipindi Tiffa anazaliwa wala hakukua na kiki kwanza taifa zima lilikua busy na uchaguzi. Hakuonyeshwa zaidi ya kufunguliwa akaunti insta na familia nzima ilikua kimya zari alikua akileta mbwembwe hizo za kufanya mazoezi pale...
  13. T

    Huyu ndo msanii bora wa Tanzania mwaka 2016

    Hahah team sauti
  14. T

    Huu ni ujumbe kwa Wasanii wote wa mziki, Diamond hafai kuweni naye makini

    Yaan natamani ningekua nakuona ulivyokua unaandika huu uzi. Anyway hata wakina Dully, Prof J, TID enzi hizo walikua wakipewa shutuma za kuwa na maringo pindi underground wanapotaka collabo. So what you saying is nothing new. Sisi tutampenda tu Diamond hata mseme kanunua na followers Instagram...
  15. T

    Diamond Platinumz kuzindua marashi yake ya Chibu

    Ina maana hata kina beyonce, Rihanna, Diddy, Jay Z, Niki minaj, Mariah Carey, Britney Spears, Lady gaga, Katy Perty nakadhalika hao kwenye muziki wanapiga kelele na kulazimisha fani miaka yote hii.? Maana wote hao nilowataja wana brand kubwa za perfume zinazofanya vizuri duniani ukiachana na...
  16. T

    Diamond Platinumz kuzindua marashi yake ya Chibu

    Hizi busara ungezituma kwenye ile email yake: diamondplatnumz@gmail.com Ukituma hapa hata wewe unapata dhambi maana huruhusiwi kumhukumu binadamu mwenzio na kama unataka kumuelimisha kwenye kheri unamfata mwenyewe bila kumuaibisha mbele za watu.
  17. T

    Diamond Platinumz kuzindua marashi yake ya Chibu

    Na Taifa kwa ujumla
  18. T

    Alikiba atoa tamko , awataka mashabiki waache kumtukana Wizkid aseme yeye ni shabiki wa Wizkid

    Kaka naomba uchukue ile Fanta mpya ya bariiiiid nakuja kulipa. Umesema kile nilichokua nakiwaza. Tuweke mambo ya uteam pembeni.. Halaf tuchukue mfano huu, Diamond kakosa tuzo mbili kwenye MTV mama awards na huyu kaka alifanya vizuri sana mwaka jana vizuri mnooo halipingiki na MTV wanajua maana...
Back
Top Bottom