Search results

  1. Fortilo

    Aibu: Waajiriwa wanaojiweza ni wengi kuliko wafanyabiashara. Maeneo ya kishua kuna waajiriwa wengi kuzidi wafanyabiashara

    Hii ni nchi ya Kijamaa. You either become the cartel, mix politics and business or perish. Multinationals karibu zote ninazozijua zimechomoa biashara zao Tanzania, sio kwa bahati mbaya.. Hizo laana wanaweza beba wahindi na waarabu wakidhan wanawatawala watu weusi. Mtu mweusi akitaka kutoboa...
  2. Fortilo

    JamiiForums Usiku wa manane

    Ebhna, embu wachia wageni walale
  3. Fortilo

    JamiiForums Usiku wa manane

    Ulale mrembo...
  4. Fortilo

    JamiiForums Usiku wa manane

    Owner wa huu uzi hajawah onekana since June 2020..., not concerning ?
  5. Fortilo

    Mke wangu ameenda hedhi kwa siku tisa. Je, ni shida?

    Tulia na mke wako nenda hospital, social media hazina msaada wowote zaidi ya kukutana na mambo ya kukupotezea muda.
  6. Fortilo

    Mke wangu ameenda hedhi kwa siku tisa. Je, ni shida?

    Hivi kwanini watu kama nyie mnaruhusiwa kuow seriously.. Shabby and stupid.. Sasa anatoka dam ni issue ya kuleta public... Kwenye life yako ulishawahi sikia kitu kinaitwa infections and hormonal imbalances au unakaa kama ngedere kusubiria updates za Simba na Yanga...
  7. Fortilo

    Tusipoangalia kanda ya ziwa itatuletea tyranny of the majority

    uzuri wana mchango mdogo sana kwenye uchumi wa nchi...😂
  8. Fortilo

    DP World imebuma, EU kujenga Transafrika Corridor kuunganisha Kongo na Zambia with Lobito Angola Harbor!

    Tofaut ya umbali ni kidogo mnoo. Tuombe efficiency ya DP iwazid Lobitho... Perhaps!
  9. Fortilo

    Je, Aga Khan Sea View, ni kwa wahindi, wabunge, mawaziri na viongozi wa juu wa Serikali tu?

    Sasa hapo baguz upo wap ndugu. Ni kwamba unatumia bima yenye pesa kidogo... Tusubur DP waje
  10. Fortilo

    Dar: Mke wa Bilionea Msuya akutwa na Kesi ya Kujibu mauaji ya wifi yake

    Naweza kujibu kipande cha pili, Kesi za kula njama mara nyingi ni ngumu sana kwa state attorneys kuzithibitisha pasi na kuacha Shaka, sasa mmoja huwa anachomolewa aeleze ukweli. Na ndicho kinachotokea kwa Getrude. Muda si mrefu huyo mama anakula kitanzi...
  11. Fortilo

    Dar: Mke wa Bilionea Msuya akutwa na Kesi ya Kujibu mauaji ya wifi yake

    Na huyu atakaekula kifungo cha kunyongwa hadi kufa amerithi nini? Watu wanaotoa roho za watu ni hatari sana kuish na raia wengine
  12. Fortilo

    DOKEZO Ocean Road Cancer Institute acheni ukatili, tumelipia dawa halafu tunaambiwa eti kiwanda kinachotoa dawa kimesitisha kuzalisha

    Hii Habari ingekuwa kamili kama ungeweka na majina ya Dawa. Anti cancer drugs ni kipengele sana mkuu.
  13. Fortilo

    Karma: Aliyemsukumiza kijana barabarani, leo mwanae amekatwa mguu baada ya ajali ya bodaboda

    Karma kitu gan na wewe, watanzania na Iman za kijinga jinga. Kwani huyo mtoto anahusikaje? Kwanini huyo mzee aisumie yeye... Life is a game of chance.... yeyote anaweza pata lolote.. Waamini wa nchi hii huwa wanatafuta excuse ya ku justify Imani potofu. Karma would have sound better if at...
  14. Fortilo

    DOKEZO Rais Samia, Watumishi Wastaafu wa Jeshi tunaomba utusaidie kupata stahiki zetu, tunateseka

    Wajiwekeze vip na wanadai haki yao.. Kwamba kutumikia taifa sio kujiwekeza? Sasa mtu kafanya kazi miaka 30 anaambiwa alikuwa kibarua, wewe inakuingia akilini? Unadhani Mwanajeshi wa kawaida anaweza jiwekeza kwenye nini cha kumpa fedha uzeeni? Embu jaribu ku feel hiyo gap.
  15. Fortilo

    Nina mashaka huyu mwanaume hana uwezo wa kunipa mimba

    Tulia, wacha makeke. Sikuiz technologia imekuwa mno, hayo mambo mnazungumza then mnaenda hospital, zipo dawa kwa maelfu ya tatizo kama hilo. Kumbuka ulitiwa mimba ukaachwa kwa kutaka mambo kwa pupa. Nenda taratibu.
  16. Fortilo

    Ukombozi dhidi ya CCM utapatikana na wanaharakati sio na wanasiasa

    Kuna mambo ukiwa mkubwa utajua ulikua bado unawaza kitoto. Siasa sio kuongea kila kitu au kufanya kila kitu, dunia haipo hivyo.. Nyerere na ujanja wake wote alithubutu hili likamgharim na nchi kidogo imshinde. Harakati za panya kuzungunguka bila malengo nazo hazisaidii kitu. Sasa hao unaona...
  17. Fortilo

    TANZIA Mchumi Mkongwe wa Elimu Profesa Teddy Maliyamkono, amefariki dunia

    Another Yes Man intellectual kicked off the bucket. Sasa alikuwa anaogopa nini kusema ukwel, kulamba kote viatu na kufa kupo pale pale. A waste of resource intellectual.
  18. Fortilo

    Wadau waulizia alipo Mwana CCM Thadei Ole Mushi

    Hii ndio gharama ya Opposition kutetea vijana wa CCM. They will always disappoint. Angeandika bila kuweka neno " uzushi" na kusema "taarifa hizi si za kweli" angepungukiwa nini.
  19. Fortilo

    Kufuatia urafiki uliotukuka wa Nyerere na Yasser Arafat. Je, Tanzania hatuwezi kuwahifadhi Wapalestina wanaofurushwa Gaza?

    Safi lakini Hamas ipo Funded na Iran na some big Arab countries ukiacha Egypt kutokana na uhusiano wao na Muslim brotherhood. Kwamba ni kwa namna gani Wapalestina walijua kuwa imeundwa na Jews na Bado wakaipigia majority vote mwaka 2006. Kwamba Israel inaikalia Palestine Kimabavu na lengo...
  20. Fortilo

    Kufuatia urafiki uliotukuka wa Nyerere na Yasser Arafat. Je, Tanzania hatuwezi kuwahifadhi Wapalestina wanaofurushwa Gaza?

    Very informative. Lakini hii ni baada ya Ottoman Empire kuangushwa na Brits na WW11 ndio akapewa Israel hiyo kipande ya Ardhi? One of the most controversial topic.... Israel kwa sasa anafanya uhalifu wa kivita. na Palestine haina uongozi wa kueleweka... Hamasi inangangana toka 2006.
Back
Top Bottom