Search results

  1. U

    Kwa wana Hanang' iliyoongozwa na Mh Sumaye na sasa Mh Mary Nagu

    Vibaraka tu hao, hakuna cha utaifa, mbona Sumaye kajilimbikizia mali kama alikuwa anajali utaifa, Wanafiki tu hao, wanajifanya kujipendekeza kwa maraisi wao lakini hakuna kitu majimboni mwao
  2. U

    Having sex on the first date

    This is logical, mwanamke akitoa day one basi hakuna mwanaume anayeweza kukutafuta tena. Lakini akikataa kataa basi mwanaume atajitahidi kwa kila namna ili mradi mpaka afanikiwe. Atakupigia simu hata saa 6 usiku muda ambao kuna kuwa na gharama ndogo ya kuongea. anaweza kuongea na wewe hata saa...
  3. U

    Kwa wana Hanang' iliyoongozwa na Mh Sumaye na sasa Mh Mary Nagu

    Hilo jimbo linachukuliwa na Rose Kamili ambaye hivi sasa ni mbunge wa viti maalum wa CDM katika wilaya hiyo. Kikubwa walichofanya hayo magamba ni kuweka barabara ya lami ambayo inaunganisha Singida na Minjingu. Lakini hakuna kitu kingine chochote, kila kitu ni shida. Hilo Jimbo tayari ni mali ya CDM
  4. U

    Nini kimempata Nassari?

    Bunge linaanza rasmi kesho tarehe 10/4/2012 mpaka 21/4/2012, hivyo kesho siku ya kwanza wataapishwa wabunge wawili wa CDM
  5. U

    Najitolea kuwa wakili wa Lulu

    Kazi unayo ndugu yangu
Back
Top Bottom