Search results

  1. F

    Mnyika (CHADEMA) azungumia kesi inayomkabili

    Hivi wewe unafikiria kweli? Mtu hana dola halafu akuzidi kura mara mbili yako kweli still bado unasema ikitokea maamuzi ndivyo sivyo Mnyika atakuwa hajaonewa? Jamani tusiandike humu JF kama WENDAWAZIMU ILIMRADI UMEANDIKA , Hebu kuwa mstaarabu.
  2. F

    CHADEMA iwe makini na Mbatia pamoja na Zitto

    Your are not serious! ZITO ni tatizo, Huu ndio mtihani mgumu kuliko yote tulionao CDM. Watanzania wengi wanamkubali bila kumuelewa dhamira yake kisiasa ni ipi? Hivyo kuwaaminisha kwamba ZITO ni tatizo hapo ndio inakuwa shida, but i believe one day a true ZITO tutamjua wote na huo ndio utakuwa...
  3. F

    CHADEMA iwe makini na Mbatia pamoja na Zitto

    ZITO NI BOMU, SIKU LIKILIPUKA WATU NDIO MTAAMINI! Huyu mtu ni mjanja sana, ana maneno mazuri na anaelewa watanzania wanapenda nini ili wadanganywe kirahisi. Zito CCM imekupatia nini? Unajua adhma yako ya kuivuruga CDM ikishindikana mpaka 2015 ndio utakuwa mwisho wako kisiasa.
  4. F

    CHADEMA iwe makini na Mbatia pamoja na Zitto

    Wana JF hebu tuwe positive thinker! kweli kwa mtu mwenye akili timamu unahitaji mfano gani ili ujue kama zito ni BOMU ambalo CDM tunalo kitandani na kuna siku litaripuka? Labda kwa wale msiomjua zito kwa uchache kumbukeni kipindi cha uchaguzi 2010 alivyokuwa anawasiliana na USALAMA WA TAIFA ili...
  5. F

    Je, Zitto kaiangusha serikali ya JK?

    Hakuna mtu maarufu zaidi ya chama chake! chama kibovu lazima viongozi wake na watu wake wawe wabovu-ubadhilifu wa mawaziri wa JK ni ishara tosha kwamba CCM imechoka kuongoza na haina jipya. Kama ilivyo kwa zito juhudi anazofanya ni juhudi za chadema.......CHADEMA KUIANGUSHA SERIKALI YA KIKWETE...
  6. F

    Kesi ya kamanda Lema Arusha

    Naamini CHADEMA wako makini zaidi ya ccm wanavyofikiria, hivyo kama James Milya katumwa atakimbilia NCCR muda si mrefu kabla hajaumbuka. niachoamini mimi dogo kasoma alama za nyakati, UkWELI si Milya pekee nusu ya wabunge wa CCM wanatamani kuhamia CDM tatizo watatokaje ili hali hawajiamini na...
  7. F

    Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

    Hakiyamungu Magamba sasa yanaanza kuwakamata baadhi ya wana CDM, hizo zote ni kauli za uchonganishi, naamini wameunganisha kauli za zito na za mtei wakaconclude kwamba km zito alisema hivi baadhi kwa maana nyingine anatuambia mzee mtei kafilisika kimawazo, Magamba wakumbuke leo cdm ina wabunge...
  8. F

    CCM Ina-Capitalize msiba wa Kanumba for Political gain?

    Jamani Couds Tv someni alama za nyakati, siku ccm ikidondoka ndio utakuwa mwisho wa TV yenu. kuweni makini sana msiwaige TBC-elewa kuwa CDM wakishika nchi TBC bado itakuwa na nguvu, kitakachofanyika ni kubadilisha uongozi. Muhimu hata wasipochukua nchi CDM wakawa na wabunge wengi kuliko wa...
Back
Top Bottom