Search results

  1. Simchezo

    Fatma Karume: Hatuna Haki ya Kulalamika Uzawa wa Dr Hussein Mwinyi kwa sababu amezaliwa Zanzibar

    Hayati Mwinyi alizaliwa mwaka 1925 huko Mkuranga.
  2. Simchezo

    Makonda: Siasa imemlipa Mbowe kajenga kasri

    Nimesikia sana hili jambo, Lina ukweli?
  3. Simchezo

    Polisi aliyekodi majambazi kumuua mumewe akamatwa, hawara ni miongoni mwa wahusika

    Raia kumuoa Polisi ni kujitafutia stress bure, acha wenyewe waoane!
  4. Simchezo

    Zanzibar Kuachana na Magumashi ya TANESCO.Yaingia Mkataba Kuzalisha Umeme Wake Yenyewe

    Mapanga boi nayo yanabadili uelekeo kulingana na uelekeo wa upepo.
  5. Simchezo

    Hamas hawajamuua Joshua hizo ni propaganda za Israel

    Yaani Israel azushe propaganda kisa Tanzania? Kama aliua mateka raia wake na wakakiri sembuse Tz? Let's be serious!!
  6. Simchezo

    First Gentleman anaitwaje kwa Kiswahili?

    Rais akiwa mwanamke, mume wake Waingereza wanamwita " First Gentleman" Kwa lugha yetu ya Kiswahili anaitwaje?
  7. Simchezo

    Dan Friedkin mmiliki wa AS Roma anamiliki ardhi kubwa Tanzania, mamlaka zimchunguze

    Nani kakwambia kwenye mradi huu Wananchi wataamishwa? kichwani una ubongo au kamasi?
  8. Simchezo

    Dan Friedkin mmiliki wa AS Roma anamiliki ardhi kubwa Tanzania, mamlaka zimchunguze

    Mimi nafikiri atkuwa ni mwekezaji tu kama alivyo yule wa Grumeti game reserve. Kuwekeza kwenye tourism sector ina afya kwa nchi ili mradi asivunje sheria.
  9. Simchezo

    Tubadilishe mnyama wa Taifa asiwe Twiga

    Ukisha ona mbali?
  10. Simchezo

    Tubadilishe mnyama wa Taifa asiwe Twiga

    Korongo au Crowned Crane ni ndege mzuri sana....moja wapo ya ndege Waziri sana Africa, ana rangi zaidi ya 5.
  11. Simchezo

    Tubadilishe mnyama wa Taifa asiwe Twiga

    Simba mangu ni Caracal!!! sio Lion.
  12. Simchezo

    Tubadilishe mnyama wa Taifa asiwe Twiga

    Nimepitia sifa zake, kuna mahali wameandika ni fearless creature!! atatufaa..
  13. Simchezo

    Tubadilishe mnyama wa Taifa asiwe Twiga

    Tabia zake Mkuu...
  14. Simchezo

    Tubadilishe mnyama wa Taifa asiwe Twiga

    Taifa kuchagua mnyama fulani kama Nembo ya Taifa kuna madhara yake! Taifa hilo litabeba kwa kiasi fulani tabia za huyo mnyama/ndege. Tanzania mnyama wetu ni Twiga, nimefuatilia baadhi ya tabia zake, nikaogopa! Hizi ni baadhi ya sifa/tabia zake; 1. Ni mpole kupita kiasi. 2. Atoi sauti...
  15. Simchezo

    Bashe kaonyesha njia kwenye kilimo kwa kuweka vitalu vya kilimo na kuwapatia vijana, wizara ya ujenzi, nishati, na wengine wafuate.

    Watanzania wanapenda sana kulaumu sijui wamelogwa na nani, mradi ndio umeanza watu wanaanza kuleta much know...Waziri Bashe ni hazina kwa Taifa!! time will tell...
  16. Simchezo

    Rais Samia anunua ng'ombe mmoja kwa 2.3Miliion

    Wapo aina ya ng'ombe wanazidi hiyo bei....Fanya utafiti kwanza!!!
  17. Simchezo

    ATCL iendeshwe na viongozi wazungu...

    Sioni dalili yoyote ya ATCL kujiendesha kwa kwa faida na kushindana na makampuni mengine ukiwa itaendeshwa na Watz, Asilinia kubwa ya Waafrika hasa Wabongo wana weakness ya asili hata aende shule vipi! ndio maana shirika ili linaleta hasara kila mwaka. Napendekeza lifanyiwe overhaul na uongozi...
  18. Simchezo

    Makamu wa Rais wa Marekani akiomba kutembelea Makao Makuu ya CHADEMA sijui itakuwaje

    Ni sababu zipi za msingi zinafanya CDM wasijenge ofisi yenye hadhi??, Ni ni aibu sana kwa chama kikuu Cha upinzani kupanga kwenye kanyumba kama Ako....wajenge jengo lao zuri sio lazima liwe gorofa.
  19. Simchezo

    ATCL yaibana Airbus ndege zake kutokruka, yaifikisha AFRAA

    Ndege iliyopo kwenye picha ni ya Boeing na sio Airbus....
Back
Top Bottom