Search results

  1. P

    TBC1 kuandaa kipindi maalumu na kutoa tamko kali dhidi ya CHADEMA

    Kama watarusha Tbc hakuna atakae shangaa! wala kuwazingatia labda magamba makuukuu na wafuasiuwao! ushauri wa bure, waache ni kuwapotezea muda watanzania. Hilo halitawasaidia ng'oooo.
  2. P

    CUF kuzindua kampeni ya Dira ya Mabadiliko katika biwanja vya Jangwani Leo

    Nasubiri kusikia hoja zitakazo jengwa na namna zitakavyowasilishwa na viongozi hao wa CUF. Ndipo ntakapoweza kutathimini kama kweli wamedhamiria au wanaiga kama baadhi ya wadau wanavyo dai, au wanaajenda ya kukisaidia chama tawala.
  3. P

    Hivi mshahara wa askari polisi kwa kima cha chini ni sh ngapi kwa mwezi?

    Basic salary ni 270,000 na posho 100,000. Hawana maana ndo maana kuua kwao ni kawaida, afu wote walioingia upolice wanastrec za kufail shule
Back
Top Bottom