Ni wakati wa kumuenzi jabali wa sera za ujamaa na kujitegemea na aliyekua mstali wa mbele kupambana na mafisadi wa jana(mafisadi wa sasa) wakati wa chama kushika hatamu! wazee wa magamba! Ebu tujaribu basi kujifunza kupitia kwa huyu jamaa! che wa bongo! salamu zangu kwa wazee wa nguvu ya umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.