Search results

  1. C

    Mambo gani umewahi kumuomba Mungu na akakujibu papo hapo?

    . Just wait for the divine time
  2. C

    Siku Mzungu alipotudaka akidhani tunauza mazao ya kutoka shambani kwake

    Write your reply...Mbona na wewe msiri sana kama Beberu unayemsema hapa. Au mnalima Bangi???????
  3. C

    Naomba ushauri jinsi ya utiaji wa mbolea katika mche

    Mkuu hapo shida ni hiyo mbolea ya urea ni rahisi mno kuchoma mimea hususani mbogamboga na matunda hua naiogopa sana hio mbolea.
  4. C

    Naomba ushauri jinsi ya utiaji wa mbolea katika mche

    Furthermore Jaribu kuchunguza ndani ya udongo huenda kunawadudu wanatabia ya kufyonza majimaji kwenye mizizi ya Mmea was tikiti.....Hii nimeexperience hasa ikiwa shamba linaunyevunyevu mwingi ndo wadudu hupendelea sana
  5. C

    Naomba ushauri jinsi ya utiaji wa mbolea katika mche

    Kwani Umetumia mbolea gani? Shida sio size ya mmea.Binafsi hua naweka mbolea mara3 kutoka mche hadi kuvuna: Awamu1:Mmea(mche)unakuwa unaweka jani la kati(DAP,NPK-yaramila winner) Awamu2:Mmea unajiandaa kuweka maua(CAN/CAN+DAP mix) Awamu3:Mmea umeweka matunda(CAN/mixer) Kipimo cha mbolea na...
  6. C

    Nahitaji mwanaume wa kuanzisha nae familia

    Njoooo pm mama
  7. C

    Nauza Quartz

    Jamani nauza madini ya quartz white and black Quartz tuwasiliabe via; lupi.muchson@gmail.com
  8. C

    Kazi jamani kazi...

    Nina kamradi kaufugaji wa kuku wa kienyeji zipo kama 1,000 so naweza kukuajiri kama mhudumiaji but yupo na mwenzako.
  9. C

    Cheti cha form four

    33points only yaani pata bendera zako tano na akina dada wawili bac
  10. C

    Natafuta mume wa kunioa tafadhali

    tatzo wengi wenu hampo sereous
  11. C

    Ajira mpya za Walimu 2014/2015

    tuthibitishie mkuu mana njaa tupu hapa
  12. C

    Chumba cha kupanga ubungo -kona

    mjomba kwa masharti hayo bora uende mbezi mwisho
  13. C

    Nnauza tikiti maji za jumla na kununua kutoka popote zilipo tanzania

    Weka namba ya simu MJOMBA!!!! tutawasiliana vp kirahisi pasipo number ya simu?????????
  14. C

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    OOh!!! Mkuu hilo tu? Mi nipo huku Iringa. Kuhusu shamba la miti ya mbao hususani pine naweza kukusaidia kwa kukuunganisha na kikundi kimoja kinacho jihusisha na uhamasishaji wa upandaji miti hasa mipaine: Yaani wao watakutafutia shamba, watapanda, na kukumilikisha chinni ya serikali ya kijiji...
Back
Top Bottom