Search results

  1. LENGIO

    A - Town Gangsters walioitikisa Arusha kwa matukio ya uhalifu

    Chusa huyu mchimbaji kuna mwingine alikuwa makaburi ya baniani.
  2. LENGIO

    Polisi wa Arusha wampuuza Rais Samia, wakamata wateja baa na kuwapiga

    Hawa jamaa ni Bora ukutane na vibaka kuliko wao ukitana nao wanakusachi wanachukulia hela Wanakupeleka hadi police njee wanakuachia bila kujali wamekukamatia wapi wanakutoa ngarenaro wanakuja kukuachia centre.
  3. LENGIO

    Kampuni ya Mzinga ondoeni walanguzi

    Sehemu zote Mzinga wanaouza milipuko ni raia.Kama wanafanya hivyo na niya taasisi ya umma sio poa kwanza wanachelewasha mapato kutokana na milipuko kuchelewa kwisha ili waagize mingine huo ni uhujumu uchumi.Jamaa namshauri aende Nitro au kwa Yese.
  4. LENGIO

    Mkuu wa Wilaya Arusha tuondolee hawa Wezi

    Nikweli Uizii na vibaka haukuwepo tangu sungusungu imeanza imekuwa shida.Nahili genge enzi za Nkya akiwa mwenyekiti ndio lilisababisha Ccm kuchukiwa wanaiba wao wanakamata vijana wanaotoka Mirerani na hela zao, wanawasingizia wezi ili wahongwe.
  5. LENGIO

    Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania: Uwezekano wa kupata Corona Dar ni mkubwa

    Ndio uwaamini sasa kama kwao wanakufa sanaa ndio ujue wanauzoefu kuliko sisi wamejaribu lila njia imekuwa ngumu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. LENGIO

    RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

    JWTZ wapo juu kuanzia nyota moja wanapewa na Raisi police vyeo vyao wanapeana wenyewe.Anaeteuliwa na raisi ni IGP tuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. LENGIO

    Mtoto wa Amina Chifupa afunguka kuhusu mali alizoacha marehemu Mama yake

    Umemshauri vizuri sanaa siasa awaachie walemavu wa akili wanaowaza hela za bure.
  8. LENGIO

    Hongera Jerry Muro umeweza kilichowashinda watangulizi wako

    Nilijua niyeye kwakuwa alivyoingia tu Arumeru alisema atahakikisha hilo dampo halitakuwepo.
  9. LENGIO

    Hongera Jerry Muro umeweza kilichowashinda watangulizi wako

    Mimi sio muro wala sijawahi mkubaligi ila kwa hili la dampo nampongeza, katika kitu ambacho naona ataacha kumbukumbu ya maana Arumeru ni hi kero ya Dampo.
  10. LENGIO

    Hongera Jerry Muro umeweza kilichowashinda watangulizi wako

    Haitapendeza kupita bila kumpongeza mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro,kwa kupambana na kuhakikisha Dampo la maji ya chai linafukiwa,leo nikuwa natokea moshi nimeona greda linafukia dampo hilo ambalo ni kero kwa abiria na watali wanaopita barabara ya Moshi arusha.Hakuna mkuu wa wilaya na Mkoa...
  11. LENGIO

    Abdallah Kitwara aliyemtorosha Rashidi Malima aliyekuwa mkurugenzi wa Pride anayetafutwa na TAKUKURU yuko Marekani

    Huyu abdallah hana makosa alikuwa anatuma vifaa kutoka America kupitia kwa mjomba wake Rashid malima ambae alimfanya mkurugenzi wa kampuni.Kumbe alikuwa halipi kodi wala kulipa wafanyakazi matokeo yake kumbe ndio haya,Tatizo lingine nikuajiri watoto wanyumbani ambao ndio wanao muuza sasa.Magreda...
  12. LENGIO

    Muwe Mnaangalia Watu wa Kuwaalika, tukomeza zero haiongelewi tena

    Kwenye jamii zetu za kiafrika watu kama pierre hawakosekani iwe kwenye arusi,msibani huwakosi kazi yao Kuchekesha na maulevi yao na hawana Shari na mtu hata chato wapo hata muheshimiwa asipowaona kwenye jambo lake hana raha. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. LENGIO

    Muwe Mnaangalia Watu wa Kuwaalika, tukomeza zero haiongelewi tena

    Kuna watu wanamkosi ukiwashirikisha jambo lako lazima litaaribika tuu.bashite na baba yake hawanaga hekima wanajiona wao zaidi ya malaika utawala huu ukipita sijui bashite atakuwa mgeni wa nani?wanapenda wasifiwe wao tuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. LENGIO

    Ile sikendo ya kutapeli nyumba ya mjane mama Ana kahangi imedhihirika baada kuitwa kwa mkuu wa mkoa

    Huyu bajuta hatari sana ogopa mtu ana tatoo hadi kwenye macho Sent using Jamii Forums mobile app
  15. LENGIO

    Maroo Advocaat na Pastor waendelea kumtishia mjane

    Maroo angeachana nahawa mapastor matapeli jina lake kubwa kuliko hicho kiwanja sq metres 600. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. LENGIO

    Wakili maarufu Arusha ashirikiana na Mchungaji kumtapeli mjane

    Duu kutoka kuwa wakili wa Tanesco na Tanzanite one, hadi kupora wajane ipo shida, kweli hela zimekuwa ngumu. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. LENGIO

    Wakili maarufu Arusha ashirikiana na Mchungaji kumtapeli mjane

    Huyu anasifika kwa kutapeli wajane, kama yeye hata kufa zile kesi alizokuwa anapewa na shemeji yake mkapa hakunaga tena kajaki utapeli. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. LENGIO

    Mkenya afikishwa mahakamani kwa kufanya kazi bila kibali.

    Wao wanawezeshwa na matajiri wakwao Kenya ni vibaraka wamafisadi wa Kenya hela sio zao. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom