Search results

  1. M

    For JamiiForums Mobile users

    Jamani kwa anae nunua accesories za pc aina ya toshiba powered satelite antafute via mudimonttana@gmail.com
  2. M

    African Satellite World and Sat Gear

    Wadau nauza harddisk ya laptop aina ya toshiba powered by satelite pamoja na spare zingine za hio mashine kwa atakaekua anahitaji anitafute via mudimonttana@gmail.com
  3. M

    Elections 2015 Askofu Mwingira: "Rais wa awamu ya tano siyo katoliki wala uislam"

    Jamani kwa wale wakazi wa arusha nauza harddisk ya laptop aina ya toshiba powerd by satelite kwa ane hitaj antafute via mudimonttana@gmail·com asanteni
  4. M

    Mbowe aandika maandishi ya Uchochezi kwenye Gari lake, serikali mnafuga ugonjwa

    Sijaona uchezi hapo ,maneno hayo ni ya kuwapa watu ujasiri.
  5. M

    Mashtaka ya ugaidi Tabora yafutiliwa mbali, Henry Kilewo na wenzake 4 huru kwa tuhuma hizo

    Kosa la mwigulu ni kukubali kuendeshwa kwa rimoti ya mwenyekiti wa ccm. Kijana unatakiwa ushtuke sasa usipoangalia zigo lote la jk utalibeba wewe.
  6. M

    Mbunge nassari asota polisi kwa madai ya kumpiga kada wa ccm

    Chezea policcm weye ,chezea mamvi weye wote hao wanafikiri kwa kutumia ma------.
  7. M

    Rais Kikwete: Kuwa Makini Hii Issue Itakuangusha

    Dawa ni kuwaondoa magamba madarakani ifikapo 2015. Ndani ya magamba hakuna mwenye ujasiri wa kupambana na maovu yanayo endelea hapa TZ .
  8. M

    Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

    Unasema Tz inaweza kuongozwa na wauza madawa wakati tayari tunaongozwa nao.
  9. M

    KIAPO CHA KUMKATAA LOWASA KAMA RASI 215 soma

    Mkuu ungeandika kiapo cha kuikataa ccm ungeeleweka zaidi , kwasababu wote walioko huko ni sawa tu .
  10. M

    Mwenyekiti wa tume ya rasimu ya katiba avutana na wajumbe wa mabaraza ya katiba Singida

    Mwenyekiti hayo lazima yawakute mlisha taadharishwa kuhusu hayo mabaraza ya katiba jinsi yalivyo chakachuliwa lakini mkajifanya vichwa ngumu.
  11. M

    Mwigulu Nchemba atoa pongezi kwa spidi ya CHADEMA

    Jama haya maredio ya sikuhizi nayo yamekosa watu wa kuhojiana nao mpaka yana karibisha masavimbi . Hili jamaa halina haya wala soni, lili kuwa linajigamba kwamba lazima Arusha lita chukua kata zote sasa mbona limeangukia pua? Na wale wapambe wake wako wapi?.
  12. M

    Vurugu Mtwara, Polisi wapambana na wananchi na kunyang'anya mbao za kujengea shule

    Ama kweli mwizi akikosa cha kuiba huwa anajiibia mwenyewe . Na nyie policcm ikosiku mtaanza kujilipua wenyewe.
  13. M

    Mbowe: Polisi tukutane Mahakamani ila siwapi Ushahidi

    Tanzania ni nchi ya ajabu sana, wezi wanavunja mpaka kituo cha polisi . Mijitu inashupalia siasa utafikiri ndio kazi yao .
  14. M

    Mpiga debe wa Kampeni za Ubunge wa Mbowe Ajitoa Rasmi CHADEMA na Kurudi CCM

    Naona mlikua nnatumia bendera ya CDM hapo ili kuwavuta watu. Wakati mwingine magamba mnatumia akili sana.
  15. M

    Mwigulu Nchemba aumbuka katika jaribio la kuhonga madiwani wa CHADEMA,taarifa zanaswa mapema

    Mwigulu acha siasa za kitoto!! au unataka kusawazisha zile 4-0 za Atown. Pole sana ndugu.
  16. M

    Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

    Ni Tanzania tu Waziri wa nishati anawatangazia wananchi kuanzia mwakani tutaanza kuuza umeme nchi za jirani wakati asilimia 87 ya wa Tz bado hawaja unganishiwa umeme na hawajui ni lini wataunganishiwa umeme.
  17. M

    Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

    Ni Tanzania tu Waziri wa nishati anawatangazia wananchi kuanzia mwakani tutaanza kuuza umeme nchi za jirani wakati asilimia 87 ya wa Tz bado hawaja unganishiwa umeme na hawajui ni lini wataunganishiwa umeme.
  18. M

    Dar es Salaam: Serikali taabani kifedha 2013/2014

    Mkuu nimeipenda sana hii . Nakupa like kubwa.
  19. M

    Askofu Pengo aionya serikali mauaji nchini, vinginevyo balaa kubwa siku zijazo

    Ni ushauri mzuri sana. Lakini utaingia kwenye sikio la kulia na kutokea sikio la kushoto la viongozi wetu.
  20. M

    Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

    Zito acha kumung'unya maneno ,hapo makamba amechemka mwambie ukweli kijana mwenzako vinginevyo nawewe hauta eleweka.
Back
Top Bottom