Search results

  1. Madame B

    Mambo 7 Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Ugonjwa Wa Pangusa

    Ndio kipenzi. Unajua sehemu zetu za Siri ni laini Sana, kaugonjwa kadogo tu, tutahangaika nako mpaka uchi uwake Moto.
  2. Madame B

    Mambo 7 Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Ugonjwa Wa Pangusa

    ....chanzo kikubwa ni wanawake, Ila mwanaume akiubeba akaja kuniletea mie nyumbani....🤷
  3. Madame B

    Mambo 7 Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Ugonjwa Wa Pangusa

    Duh! Uchi umelika hadi nimejisikia vibaya. Wanaume mnatuletea magonjwa Kila kukicha...😁
  4. Madame B

    Ulijiunga lini JF? Uzi wako upi unaukubali?

    Enzi za Jakaya 2012 Huu ndo uzi nikiusoma huwa nacheka sana. Ila sasa nimekua sana https://www.jamiiforums.com/threads/madame-b-niko-online-niulize-swali-lolote-kunihusu-mimi-iwe-ni-mapenzi-mahusiano-na-mengineyo.1350681/
  5. Madame B

    Dube aaga rasmi Azam FC

    ... halafu mwambie nimemkumbuka sana.
  6. Madame B

    Msaada: External HDD imegoma kusoma

    Pole. Hata mimi niliazimisha akaweka kwenye computer yake, akafuta kila kitu Toka 900 Gb mpaka 0Gb. Nilichanganyikiwa sana. Ila nikaenda Samsung stole, wakai-format upya. Shida yake sasa, hakuna jina la movie hata moja lililorudi, movie zimekuja kwa mfumo wa file kama hv ila zinacheza vizuri tu...
  7. Madame B

    Kama nyama ni ilele, kwanini wanawake wengi hupenda wanaume wenye uume mkubwa?

    Hi mdogo wangu kipenzi Lamomy 🥸 Ungenipigia simu mdogo wangu, maana kuni-mention tu ningeona haitoshi. Si unanijua mie dada yako hivi ndo vitu vyangu....🤭🤭😛😛
  8. Madame B

    Kama nyama ni ilele, kwanini wanawake wengi hupenda wanaume wenye uume mkubwa?

    Ukubwa wa mwisho wa kwa unene na urefu wa uume
  9. Madame B

    Kama nyama ni ilele, kwanini wanawake wengi hupenda wanaume wenye uume mkubwa?

    Kiukweli kutoka moyoni, napenda sana mwanaume mwenye maumbile makubwa, sio kwamba nina bwawa, la hasha!, ni vile tu ninavyolililia wakati wa mizagamuo. Nimetumia tafsida maana mdomo wangu naujua mie.
  10. Madame B

    Umri gani ni wa mwisho kukaa kwa wazazi?

    Mwanaume vindevu vikichomoza tu...mwenyewe utajihisi aibu. Ila mie naweza lala kitanda kimoja na mama yangu mpaka nazeeka.
  11. Madame B

    Umri gani ni wa mwisho kukaa kwa wazazi?

    Mie wazazi wangu wangekuwa hai, mbona ningehamia na mume wangu hapo hapo kwetu
  12. Madame B

    Umri gani ni wa mwisho kukaa kwa wazazi?

    Hapo sawa ..haya nambie kipenzi, uliniita ujue
  13. Madame B

    Umri gani ni wa mwisho kukaa kwa wazazi?

    Kwema Ngoja kwanza, uko kwa wazazi au unajitegemea?
  14. Madame B

    Hatimaye nimempata!

    Huyu ni mdogo wangu kipenzi Nampenda sana...
Back
Top Bottom