Search results

  1. B

    Mfumo wa ccm kutetea ndio unaoiangamiza

    wanateteana kuku wanaiba kwa sana tukisubiri mno watatuuua hawana utu kabisa.umeangalia hayo mabilioni kwenye ripot ya CAG?
  2. B

    Mfumo wa ccm kutetea ndio unaoiangamiza

    Nimekuwa nikifuatilia bunge la tanzania kwa muda mrefu sasa tangu zama za spika sitta hadi sasa anne makinda a.k.a bi chau.nimegundua mapungufu mangi sana,lakini moja wapo lililo kubwa zaidi ni hili la chama cha mapinduzi kuweka uzalendo pembeni na kuteteana ili kuficha maovu.Tumeona ccm na...
  3. B

    Tahadhari ya Tsunami kanda ya pwani Afrika Mashariki...

    Niko pande za mikocheni ha mitaa ta TMJ mafuriko yametawala hapapitiki na mvua bado inaendelea kunyesha kwa mbele pake kuna bajaj imezama kwenye shimo kwani barabara ilikuwa imefunikwa na maji.hatari sana watanzania. Inaonekana huu ulikuwa mkondo wa maji watu wakaublock. My fair hapafai,kuna...
Back
Top Bottom