Search results

  1. oscaristo

    Ndoa ya CCM na CUF imejaaliwa mtoto, jina lake ni UAMSHO

    hiyo ndoa yao ndio kifo chao wote wawili, mume(CCM) na MKE (CUF)
  2. oscaristo

    Janga la Obesity limepiga hodi Tanzania .

    Hili ni tatizo kubwa kwelikweli, wengi wetu tunaamini kuwa mtu akiwa na mwili mkubwa ndio ishara ya afya bora, wazazi wengi wanawalisha watoto wao vyakula vya mafuta na protini kwa wingi sana na kupotezea vyakula vya vitamini ambavyo ndio msaada mkubwa kwa mwili wa binadamu.......
  3. oscaristo

    Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

    Jaribu kuzingatia ushauri wa wadau, mi naamini ipo siku utapost habari ya kufanikiwa kwako juu ya hili suala, kumbuka mungu humwokoa kila anayemtumaini, kuwa na imani kuwa inawezekana na ujiamini zaidi.
  4. oscaristo

    Lema for M4C, unasubiriwa kwa hamu mikoani!

    Lema ni zaidi ya kamanda kiukweli, na kama wazee wa magamba walidhani wamemshusha imekula kwao, mi naamini hili la kumpoka ubunge limemwinua si yeye tu bali chadema na tanzania nzima kwa ujumla. Ccm badala ya kujipanga wanaendelea kujipangua, na bado anguko lao lipo karibu saaaaaaana!
Back
Top Bottom