Search results

  1. L

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Hii aya naona kuna nafsi tatu zimehusika ..je huyu wa tatu ni nani...naona Kuna Mungu na Jibril tu ..huyo mwengine ni nani?
  2. L

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Yaani hapo mnajaribu kulazimisha njano kuwa nyekundu ..kumbuka kuna maneno SISI na YEYE..na ukae ukikumbuka pia yuleyule aliyesema SISI ndio aliyesema YEYE ..sasa anawezaje kuwa mtu mmoja ,kwa nini asiseme MIMI??
  3. L

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Kwa hiyo mzee baba Mungu wengi wanamzungumzia Mungu mmoja. ..hahahahaaa
  4. L

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Kweli hili dogo hata mimi nimeona..hahahahaaaaaa
  5. L

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    We jamaa soma hizi herufi kubwa vizuri SISI tumekuteremshia kitabu hiki.....Kwa kumfanya Mola YEYE tu Halafu unataka kuniambia kuhusu kuapa Mungu alikuwa anaapa kwa Mungu wa mashariki na magharibi..Daah hizi imani hizi
  6. L

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Ningekuwa sijaelewa nisingetuma humu,hiyo nimetuma kwa faida yako. Na kama unaijua qurani vizuri niambie hii mistari miwili ina maana gani Surat AZ-ZUMAR 39:2 Kwa yakini ,sisi tumekuteremshia kitabu hiki,Basi muabudu Mwenyezi Mungu kwa kumfanya mola yeye tu. Surat AL MAARIJ (70) 40-41 Basi...
  7. L

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Angalieni hii youtube kwa faida yenu
  8. L

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Nashukuru kiongozi kwa kuniita zezeta najua ni jazba tu imekupanda ..ila yachunguze vizuri maandiko yenu utajifunza kitu.
  9. L

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Ninachokiona ni kwamba wengi tunacomment kwa kuweka mapenzi ya imani zetu mbele ila tungekuwa tunatumia reasoning skills tungeelewana vizuri!!
  10. L

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Hapa pagumu sana kupaelewa,anazungumzaje kwa niaba ya mwingine??
  11. L

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    We Jamaa unachekesha kweli,hiyo sura uliyoandika ya Isaya inahusiana na nini na mada inayoongelewa..Basi ungeweka na sura inayomtaja ngamia
  12. L

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Unajua unaponijibu hivyo kuhusu wakina shigongo sijui..unaonesha madhaifu makubwa sana juu ya uelewa wako wa quran..sasa hapo nielewe nn?
  13. L

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Sijaelewe jibu lako..unamaanisha kupata tabu ndio jibu?..Au kifupi hata wewe hujui kitu??
  14. L

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Napata ukakasi sana kuelewa hiyo logic yako unaposema wingi wa utukufu.Unajua maana ya Wingi?? Wingi kwa kizungu ni vitu kuanzia viwili na kwa kiarabu wingi ni kuanzia vitu vitatu.Ningeelewa zaidi kama hili jibu angelitoa mkisto kwa maana wao ndio huamini katika wingi wa utukufu (mfano nafsi...
  15. L

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Hivi kuna aliyeelewa hili jibu..au inamaanisha utukufu wa Mungu ili ukamilike unatakiwa utamkwe katika wingi??
  16. L

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Mapambo kivip mkuu
  17. L

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Naomba kuuliza wenye uelewa mzuri wa Quran ..Ndugu zetu waislamu huwa wanaamini katika Mungu mmoja tu (Allah) na tena kwa msisitizo wanasema hana mshirika.Lakini kuna baadhi ya aya katika quran Allah mwenyewe anajiwakilisha kwa kutumia Wingi..Mfano kuna aya anasema tulimuumba,tulimpulizia...
  18. L

    Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Jamani natafuta chumba maeneo ya ubungo karibu na mwendo kasi,magomeni usalama,Mikumi,au kinondoni.Chumba kiwe kikubwa na mazingira ya nyumba yawe mazuri..isiwe nyumba yenye wapangaji wanaozidi watano.Bajeti yangu ni Tshs 60,000/- Mwenye chumba ani PM
Back
Top Bottom