Search results

  1. S

    Barua kutoka kwa mume wa Florah Mbasha kwenda kwa mchungaji Gwajima

    Hapo si ulokole ni tabia ya mtu . Pia ikumbukwe sana taarifa za mwanamke kwa wasomaji wa biblia, matukio mengi ya kuhatarisha amani yamesababishwa na mwanamke na mwanamke huyo huyo akaleta ukombozi. Na Mungu akaendelea kuwasihi wanaume wawapende wake zao lkn mwanamke aliambiwa amtii mume wake...
  2. S

    Mwanasheria Mkuu amgeuka Pinda; Awataka polisi wasitumie nguvu kubwa kudhibiti raia

    Werema si kwamba karudishiwa akili bado amekamatika na waliompa cheo kwa masharti, lkn hajui kwamba analipwa mshahara kwa mchango wa wananchi na wanyonge wasio na hatia lkn wanazidi kuwakandamiza. Wakati umefika Mnara lazima Mungu auangushe. Amemka baada ya kutambua wananchi wameamua. Siyo tu...
  3. S

    John Magufuli: Ninautamani urais!

    Ndg ifweero kweli usemavyo huyu kiutendaji yupo strong na wapo wengi ndani ya chama ni watendaji imara na thabiti lkn hawafai kuwa viongozi. Kiongozi haogopi na hawi mnafiki. Naamini kama ataondoka CCM na kubadilika kifikra ataweza kuwa Kiongozi mzuri sana kutenda na kuongoza.
  4. S

    Watanzania Wanauana Wenyewe Kwa Wenyewe Durban

    Ndg Ritz ukiamua kuwa makini taarifa zako zinatulia. Naungana na wewe Wtz huko ni wezi sana wa Laptop na Wauza Unga si w/ke wala w/me. TZ aibu yetu jamani!
  5. S

    Kiongozi CCM ahamia CHADEMA

    Mkuu unafikiri wameona hao! bado vipofu wamenunuliwa au kuahidiwa kitu watakapoharibu mabadiliko. Hawana lolote tena SASA TUWE MAKINI SANA NA MAMLUKI:Hao wameshaozoea umaskini hivyo hizo hela za muda mfupi kwao ndiyo mapumziko. Lkn nahisi hao jamaa ni wanafiki saaana. Na wataondoka wengi ni...
  6. S

    Wosia kwa secretariet ya CHADEMA, na wanachadema wote!

    Nakushauri tafuta mbinu nyingine za kuharibu azimio la kumkomboa mtz mbinafsi mkubwa unayependa ushibe na familia yako walio wengi waangamie, nakuapia HAMTAFANIKIWA. TAFUTA SANDA MJIPANGE UPYA.
  7. S

    Zitto Kabwe awalipua wazungu!

    Amesema kweli wana Jf sema amependelea. Amerika, Waarabu na hao WAASIA wote lengo kummumiza Mwafrika. Na sasa wanataka kupanda mbegu ya vita kwa kuleta uchochezi wa nchi ipi bora kwa Afrika kuliko mwenziye. Tuweni makini na tuanze kujisafisha sisi wenyewe na Tubadilike halafu tuwazuie hao...
  8. S

    CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Nikionacho mimi kaongea kinyume. Lkn tusiandikie mate.................... Na yeye ajiandae kustaafu alee familia. Ninahakika CDM kinaimarishwa sanan na manaeno yao. Ukweli unauma sana na unajenga uadui lkn Unaimarisha na kurekebisha lkn kwetu Tumekuwa kama Wanyama kwa ukweli.
  9. S

    Mwalimu Nyerere hakuwahi kuvaa vazi la CCM 'kijani na njano'?

    Yahoo! UK Mwikimbi ni kweli kabisa. Na ninaamini laana hii si tu kwa huyo aliyefanya hivyo hata kwa chama kuna laana kubwa na kama wananchi wanataka kuthibitisha utaona anguko lao na ni wenyewe kwa wenyewe. Wanatafuta Mchawi kumbe wachawi wenyewe LAANA inawatafuna.
  10. S

    MKAPA ndio kaimalizia Tanzania

    Lkn kwa asili huyu Mnyamwezi. Hivyo mizigo lawama ndiyo utamaduni wake. Anadondokewa na Nchi, na Tanzania na mbaya zaidi Muungano wkt wwt Tamko linatoka. EAC mambo si mambo. Looh! Jamani Mnyamwezi Mkere !
  11. S

    MKAPA ndio kaimalizia Tanzania

    Mnyonge na anyongwe lkn HAKI yake mpeni. Huyo jamaa amechangia 80% kuimaliza Tz, sema kwa vile hakukuwa na uhuru wa vyombo vya habari hivyo yalikuwa yakinenwa chinichini. Huyu Mkere anajaribu kukomba na yeye sbb apate fadhila japo kdg ametoka mbali na Nchi hii. Pamoja na anayoyafanya na hkk kama...
  12. S

    Siku za Shibuda ndani ya CHADEMA zahesabika

    Huo ni utoto! Watu wanahangaika na kumkomboa Mtz na si kuondoa huyo mlaaniwa. Ameshafukuzwa na Mungu asubiri majipu yake na aende kwa hao anaowategemea, yetu macho. Nasikia uchungu sana Mwanaume kama yeye kuwa kibaraka huku kwake kunateketea anasababisha laana mpk kwenye familia yake.
  13. S

    Deo Filikunjombe: Tanzania sio mali ya CCM

    Baba mtata si lazima avae gwanda anaweza kubaki CCM, lkn aendelee na wembe huohuo. Sbb akitoka watamwambia amekosa cheo lkn kiuhalisia huyu kijana ni Mwana CCM kama Mwl. Nyerere, Lkn lkn wanakuwa na akili kama samaki akiwa kwenye maji, hawakawii kuwa na kauli mbili kumbe mamluki. Usicheze na...
  14. S

    TANZIA: Mh. Jussa Mwakilishi wa Mji Mkongwe afiwa na mama yake mzazi

    Poleni wafiwa wote hiyo njia wote tutapita mbele yake nasi twafuata M/Mungu mwingi Rehema aipokee na kuiweka mahali pema Peponi. M/Mungu awape mioyo mikuu ya kuvumilia na kuomba hekima na si kukufuru. Aliyekusudia kumleta duniani amependezwa kumrudisha kwenye asili yake. Jina lake LIHIMIDIWE.
  15. S

    Kiongozi wa Juu BAVICHA amhujumu Dr Slaa

    Ndg. Jakumbumba unajua kwamba Nape ni kijana lkn ni mzee mpumbavu kimawazo ? Ukimjua na Watz wakimjua hakuna hata mmoja atajishughulisha na upumbavu alionao. Watakuja kwa njia sabab hao waliopangwa kukimaliza chama na Dr. Slaa lkn waelewe watasambaratishwa kama upepo unavyoondoa udongo juu ya ardhi.
  16. S

    Chama tawala kuwalipia wanachama waliohama kadi zao-Ni aibu mbaya, ni fikra nyembamba.

    Spike lee nakushauri kaa kimya ili umalize muda wako wa kuhongwa na kujipendekeza uishi salama. Vinginevyo utanisababisha nipigwe BAN. Nakujua kuliko unavyojijua lkn nakupa muda na kweli utalia na waliokudanganya.
  17. S

    Dr.Ulimboka kasalimu amri kwa wabaya wake?

    Ndg kwa mfano akaamua kusema yote na kuwTAJA HAO WAHUSIKA WEWE AU HILO KUNDI MNALOSHABIKIA MTAFANYA NINIß mMEFANYA NINI KWA MLIO WAONA WAKIFANYA UNYAMA KAMA HUU: MMESAIDIAJE MATATIZO YAKUWEPO SASA: ACHA USHABIKI FANYA KAZI SHUGHULIKA NA MIPANGO YAKO YA FUTURE:
  18. S

    Rufaa kumpinga Mnyika kusikilizwa Disemba 7

    Ndg. Nyabhingi, Naomba nikukosoe huyo Chemba si kanywa maji ya bendera ni dhiki na wizi ndiyo umempeleka SSM. Lakini ukweli hana mapenzi na SSM kama hutaamini subiri SSM ianguke kama utawaona. Wenye mapenzi mema na hicho chama hawawezi kuwa wauwaji na wenye matusi nafikiri mti mzuri unasjulikana...
  19. S

    nimeikuta kwenye mtandao hii kuhusu Tanzania

    Namkubalia kwa kiasi Shadya, kweli waafrika tuwe makini sana na haya mambo yanayopandwa na wachache. Hii inaweza ikawa ni hao wabaradhuli waliojaa chuki na waafrika kila siku kuwaweka chini kwa kuwagandamiza lkn hawana wema kabisa na ni wanafiki sana. Wanahofu sana iwapo Afrika tutakubali...
  20. S

    Dr Ulimboka Jamani ANAITAJI MSAADA

    Cha kushangaza waTanzania mkishapata maelezo na yote yatawasidia nini? Mangapi mmepata na mmyafanyia kazi. Hata mkilaani mnajisumbua bure mpango wa Mungu kwa mwanadamu ni kumwabudu. Hayo mengine yenu. Dr. Ulimboka nabaki palepale Usisahau kumshukuru Mungu na kumkabidhi Mungu wale wote...
Back
Top Bottom