Search results

  1. L

    Karibu jamani..

    Wapendwa wasomaji, naitwa Lennard, natoka Ujerumani na nilifanya kazi mwaka jana kwa Tanzania Renewable Energy Association. Bado nasoma gazeti ya Tanzania na minapenda kuhifadhi mawasiliano na wabongo:) Pia ningependa kurudi Dar Es Salaam kwa ajili ya internship mwaka huu! Wasalaam, Lennard
Back
Top Bottom