Search results

  1. B

    Dr Slaa akataa mjadala na Nape ITV badala na Kinana

    Dr. Slaa alikuwa sahihi kukataa kufanya dialogue na Nape kwani mwaliko ulikuwa wa makatibu wakuu wa vyama hivyo viwili na sivinginevyo. Nape asitake kujitafutia umaarufu kupitia kwa Dr. wa ukweli.
  2. B

    Slaa wa CHADEMA alivyopokelewa nchini Zambia

    2015 Dr. hanampinzani
  3. B

    Yaliyojiri katika Maandamano na Mkutano wa Wapinzani Jijini Dar - Feb 10, 2013

    Makamanda kaza buti watz wana imani kubwa juu yenu! niko arusha lakini nafuatilia kwa makini.
  4. B

    Urais 2015 kupitia CCM: Mangula amshukia Samwel Sitta...

    Sita hana ujanja hata jina likikatwa maake tulishaona jina likikatwa wakati wa uspika na akaendelea kuwalamba miguu mafisadi!
  5. B

    Shule za serikali zaanza kuikumbatia CHADEMA

    Kutumia dola wala haitasaidia sisiem kubakia madarakani 2015!
  6. B

    Barua Kwa Freeman Mbowe

    Dr. kugombea ni jambo zuri lakini lililobora zaidi kwa sasahivi ni kujenga chama siyo kuwazia URAIS kama nyinyiem!
  7. B

    Channel 10: Francis Godwin ateta, nusura auawe

    Mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasahivi ni zaidi ya tunavyojua na kufikiri! Ila kila jambo lina mwisho wake
  8. B

    Hukumu Rufaa ya Godbless Lema yaiva

    Tunaimani mbunge wetu Lema ataibuka kidedea safari hii pamoja na kuwa baadhi ya majaji hawana sifa!
  9. B

    Dr. Ulimboka yupo mafichoni, kuzungumza wakati wowote!

    Very interesting to be heard by Tzns
  10. B

    Mwalimu huyu alipwe bei gani?

    kaah! mleta uzi anataka kutuaminisha kuwa watu wenye uwezo mkubwa kiakili ndo wanastahili mshahara mkubwa siyo? basi kama ndivyo maprofesa ndo wangestahili kuliko wabunge! All in all u'r too biased!
  11. B

    Hii ndiyo nguvu ya umma ya CHADEMA inayowafanya CCM wasilale

    Tz ya leo nyingine kabisa, nakumbuka chaguzi za 1995,2000,2005 kila baada ya uchaguzi hakuna siasa kabisa lakini tangu tumalize uchaguzi wa 2010 mambo ndo yananoga utadhani uchaguzi ndo umekaribia,nadhani wananchi wanahasira ya kudhulumiwa!
  12. B

    Polisi waishiwa mabomu ya machozi maeneo ya Mjimwema (Kigamboni) na kukimbia!

    walishaambiwa nchi haitatawalika wakang'ag'ania!
  13. B

    Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    Habari nilizozipata kutoka Mbulu kutoka kwa rafiki yangu ambaye ni mwl. huko ni kuwa walimu katika shule nyingi wamegoma hasa wa sekondari isipokuwa walimu wa shule kongwe ya Chief Sarwatt ndo wamewaangusha wako kazini. Nasikia maafisa Elimu wamepiga mkwara lakini walimu wako ngangari.
  14. B

    Walimu wote kuanza Mgomo Jumatatu Tarehe 01/07/2012

    Huu uzi hauna ukweli kiasi fulani,japo mgomo wa walimu upo lakini siyo wa siku tano wala kwa tarehe ambazo mleta mada ametutajia. Hili suala la mgomo wa walimu nimelifuatilia kwa kiasi kikubwa tu na ni kwamba CWT imetangaza mgogoro na serikali tangu tar-8/6 na kwa taratibu za sheria waalimu...
  15. B

    Ziara ya CHADEMA mikoa ya kusini yawatesa wabunge wa CCM

    Hawataki waliolala usingizi waamshwe! kama wamewaletea maendeleo ya kweli wapiga kura wao hawana sababu ya kuwa na wasiwasi!
  16. B

    BARAZA la Mawaziri Kivuli, Kambi Rasmi ya Upinzani baada ya mabadiliko

    Baraza makini kabisa! nilivyosikia mabadiliko ya mawaziri kivuli yanakuja nilipata wasiwasi kuwa mbunge wa Mbulu (Mstapha Akonaay) atakuwepo na ingekuwa aibu sana maake jamaa ni kilaza ile mbaya kumbe hata CDM wanalifahamu hilo! CDM hakikisheni 2015 anapatikana m2 mwingine makini lasivyo jimbo...
  17. B

    Mkoa wa Simiyu, CCM kwisha!

    Hakika hakuna wakuzima moto wa cdm!
  18. B

    OGOPA Prof. MAGHEMBE MZIZI WAKE BALAA!!!!!!!!!!

    Huyu jamaa kweli hafai kuwepo kwenye safu mpya hata DC aliyejiuzulu amedai Maghembe ndo nuksi, JK bana!
  19. B

    Maandamano ya kumpokea mbunge viti maalum - Karatu

    Huyu jamaa kweli katumwa au hamnazo kabisa! wewe umeona kazi iliyofanywa na cdm ya kujenga chama jana inawanyima usingizi siyo? Binafsi nilikuwepo karatu kabla ya msafara kufika na tulipishana pale Marera nikiwa naelekea Arusha lakini hamasa niliyoiona pale karatu mjini si haba katika ujenzi wa...
Back
Top Bottom