Search results

  1. Recta

    Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    Asante sana kwa article hii. Inafundisho sana. Swali langu ni moja tu, kwanini wazalendo wetu hawakuona hili ulilosema hapa? Walitaka nini hasa?
  2. Recta

    Mkimgusa Edward Lowassa mtasahaulika katika siasa za Tanzania!

    Mtu anawezaje kuamka kutoka atokako na kudai wanaccm wote wameshaamua kuwa Lowassa ni chaguo lao? Matusi gani haya? Kama kwako ameshafika bei, shauri lako. Lowassa akiwa Rais wa Tanzania itakuwa janga la kitaifa kwa miaka 10. Usisemee wengine. Jisemee mwenyewe. No research, no right to speak.
  3. Recta

    UVCCM Morogoro wampinga Malecela

    Sijui kama una uhakika wa unachokisema. Kauli kama hizi zinahitaji research.
  4. Recta

    UVCCM Morogoro wampinga Malecela

    Kama uko kwenye mawazo yangu Ben. Mtoa lawama anatumia njia ile ile iliyotumiwa kimakosa (kama anavyodai) kutoa maoni yake. Nae ni kiongozi wa taasisi hiyo hiyo. Inachekesha na kuhuzunisha sana. Nilitegemea angepeleka malalamiko yake haya kwenye hivyo vikao anavyotaka yapelekwe ili kutumia...
  5. Recta

    Mhe. Mwigulu Nchemba wafuasi wako wanapoteza matumaini

    Nakumbuka ukumbi huu uliwahi kuwa wa hoja za msingi sana. Mbona zinaanza kuwa hadimu? Nimesoma thread karibu zote hapa ni kutukanana na kukashfiana tu. Nchi hii ina matatizo kibao ambayo wengi mngeweza kuyazungumzia kuliko kutumia page zaidi ya nne (4) kumzungumzia mtu mmoja ambae hawezi hata...
  6. Recta

    Mkimgusa Edward Lowassa mtasahaulika katika siasa za Tanzania!

    Lowasa? You must be kidding me.
  7. Recta

    Hivi Kilango ni nani?

    You must be joking mams. Ushauri wa bure: Kama hujui kitu unachotaka kusema, usikiseme.
  8. Recta

    Hivi Kilango ni nani?

    This is pure nonsense. Bobuk ameandika hii akiwa anaota, hakuna explanation nyingine yoyote. Maana hakuna ukweli hata chembe katika kila mstari alioandika hapo juu.
  9. Recta

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Sidhani kuwa anaweza kuendelea kujibu haya. I knew this day was coming. Kuna wakati huwa najiuliza kwanini wanasiasa wanakuwa wabinafsi namna hii. Maana ni sawa na kukata tawi alilokalia. CDM ikiweza kuchukua hatua kwa wasaliti wa chama kama hawa, ndipo nitakapoamini kuwa ni chama mahiri na...
  10. Recta

    Mnyika mbona kimya?:Safari ya kifisadi Kigali.

    Kipato sio lazima kiwe kikubwa sana kuwa na maana. Maana ukubwa wa kitu unategemea na mtazamaji. Kipato kinaweza kuchukuliwa pia kama fursa ya kutumia tu, hata kama hakitaingia mfukoni. Madiwani wanataka kutumia pesa za umma kwenda Rwanda kwa wingi wao. Ina maana wakienda wachache au wakiagiza...
  11. Recta

    Mnyika aendelea kutekeleza ahadi zake...

    Madaraja gani yaliyojengwa Ubungo wakati wa Mnyika? Naomba ufahamu tu.
  12. Recta

    Mnyika kinara bungeni

    Sina uhakika kuwa inahitaji muda mrefu sana kutatua tatizo linalojulikana na hasa kwa kuwa alishasema analiweza. Kinachotakiwa ni kuanza kulitatua na kupima hatua kwa hatua ufanisi wake. La sivyo, itapita miaka 20 akiwa mbunge na asiwe amefanya lolote kuhakikisha matatizo yanayoahirishwa...
  13. Recta

    Mnyika mbona kimya?:Safari ya kifisadi Kigali.

    Zomba, hata mimi siamini kuwa madiwani wa Moshi wnaataka kwenda Kigali kujifunza ku-flash vyoo au kufagia. Nadhani wamebuni kautaratibu ka kuongeza kipato tu. Kama wangekuwa na nia nzuri na kuonyesha uongozi bora, wangeleta wawakilishi wawili au hata watatu kutoka Rwanda kuja kuitembelea...
  14. Recta

    Taarifa Fupi kuhusu Kazi za Maendeleo Jimboni Ubungo (AMUA)

    [SIZE=3]Hivi maji bado hayatoki Ubungo? Nilidhani ahadi hii ya maji ilikuwa ni ahadi kuu iliyotolewa na Mbunge wakati akiomba kura mwaka 2010. Naamini muda wa kuitekeleza upo. Maana inaweza kweli kumpa shida mwaka 2015 atakapoomba kura tena.
  15. Recta

    Mnyika mbona kimya?:Safari ya kifisadi Kigali.

    Nicholas, idea ni nzuri, lakini uzuri wake ni pale zinapokuwa zimetumika. Idea zisizotumika hazina madhara wala maana yoyote.
  16. Recta

    Maxence Melo [JF Founder] HEARTFELT CONGRATULATIONS to you

    Hongera sana Max, na happy birthday. Nakuombea wewe na shemeji yetu malezi bora. Namuombea mtoto akue na apate busara na mafanikio makubwa.
  17. Recta

    "Ujinai" wa Lulu katika "mauaji" ya Kanumba (R.I.P)

    Nadhani ni muhimu jeshi la polisi likafanya uchunguzi kwa uhuru na usawa. Naamini watabaini tu nini kilichotokea. Ila sioni uwezo wa Lulu kufanya mauaji kama hayo. Inaweza kuwa ni ajali tu kuwa marehemu alidondoka na kuumiza kichwa chake kwenye kitu chenye ncha kali na kupoteza maisha. Ni msiba...
  18. Recta

    Ipyana Malecela (10 years on) - RIP

    Ndugu Kaa la Mto, miaka uliyoitaja hapo juu (1983-84) Ippy alikuwa darasa la sita na la saba Oysterbay. Nadhani ulimaanisha mwaka 1993-94. Nilisoma na Ippy Oysterbay miaka ya 1978-1984. Alikuwa mcheshi, mtani na asiebagua marafiki. Alipenda kushirikiana na watu wa rika mbalimbali bila majivuno...
  19. Recta

    Kwani lazima kuoana?

    Mulama, kuoa ni jambo jema kwa jamii na kwa wawili wapendanao. Kuna halalisha na kuhakikisha kuwa, watoto watakaopatikana kwenye ndoa watapata malezi bora zaidi. Na pia kunathibitisha uwezo, na nia ya wawili kuendelea kupendana, kuvumiliana na kuheshimiana. Ndoa ni mzigo kwa wanaoingia bila...
  20. Recta

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    Kuna mambo mengi yanayotia shaka katika ujio wa hyu anaejiita mmiliki wa Dowans. Imemchukua muda mrefu (takriban miaka mitano) kugundua kuwa yeye ndie mmiliki wa Dowans, baada ya kuikana alipohojiwa miaka iliyopita Kujikanganya kwenye maelezo yake kuhusu wamiliki wa kampuni. Anasema yeye ndie...
Back
Top Bottom