We do call people like you "blood sucker/vampire". You do not have linguistic guts to rectify my writings. I'm quite confident with my grammar/syntax, semantics etc.
Mkutano wa Nyololo Iringa ulizuiwa na polisi na kufanyika kwake kukasabbisha mauaji ya Mwangosi. Kule Arusha the same. Kwa upande wa kauli ni ile ya Slaa kumhakikishia kuwa cdm itahakikisha nchi haitawaliki. Pia sms aliyoituma kwa IGP ya kumtaka aandae risasi za kutosha....... Bado?
Yaani Tenende umejaribu kufafanua jambo fulani tu ndani ya hoja yangu lakini hujatoa maoni yako juu ya nini kifanyike ili kuleta harmony kati ya cdm na dola. Kubali usikubali cdm itatakiwa kufanya kazi na dola hii hii ambayo leo inaiona haifai. Usalama hao hao ndiyo watailinda cdm. So changia...
Ha ha ha haaaaaaaa! I have noted a thing here that for the sake of reducing the number of contributers, bring the topic to discuss IN UNG'ENG'E altenatively called English. Hapo baaaaaaasi. Utaona watu meno yanavyogongana, macho yanavyokodolea screen ya pc muda mrefu. Sentensi na maneno...
Rockspider if you carefully go through my comment which is just before yours you gonna basically sumup that i'm not spinning. So far for who meanwhile i trust no politician in tz bt a little in cdm.
Pukudu, kwa kifupi kutaka kujua aina ya utawala itakayoutumia chadema kama itaingia ikulu2015 kwa kulinganisha na sura ya chama hicho ilivyo sasa. Kwa ufupi zaidi nina wasiwasi huenda chama hicho kikatumia utawala wa kidikteta. Kwanini?....Ninahisi polisi na vyombo vingine vya dola vitashindwa...
My comrade may be you neglect the fact that cdm is super opposition party in tz thus we as citizens are held responsible to mould the party to its actual face that will satisfy both the internal and external responses of the nation. Yeah we have to!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.