Search results

  1. U

    TANZIA Professor James Shaba afariki dunia. Alifanyia postmortem mwili wa Hayati Sokoine

    He Prof Shaba, alikuwa mtu muungwana mno. Hakuwahi kuwa na majivuno ya aina yoyote, a very simple man, mpenda utani na always kicheko kipo mdomoni mwake. Pia alikuwa Mwalimu mzuri sana katika fani yake. Alikuwa na marafiki wa cadre zote hasa wahudumu ambao alipenda kutaniana nao. Nakumbuka...
  2. U

    Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

    Ni series ya kutafutana kisiasa, na bahati mbaya mtafutwaji hakugundua mapema.
  3. U

    Kama hii ni kweli, CHADEMA hatuna viongozi tuna wapenda ndululu tu

    Kabla ya siasa watu walikuwa na maisha yao mazuri tu. Na wengine wana urithi kutoka katika familia zao.
  4. U

    Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

    Ujinga mtupu, Ujinga mtupu, kwani wanaangalia vipaji au urembo binafsi? ni jukumu la BSS kumfanya mwenye kipaji akikuze na sio kumkatisha tamaa.
  5. U

    Namtafuta Mtangazaji Glory Robinson a.k.a Mtoto wa Mama Sabuni

    Ongeza na Jacob Usungu, RFA hiyo ilitisha. Crue hii imefanya niwe naifutilia Radio yao mpaka leo.
  6. U

    PhD za heshima: Msimu wa shahada za Ikulu umeanza tena

    By 1987 wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM ilitangazwa na Mzee Ali Hassan Mwinyi akiwa Rais wa JMT kuwa Mwalimu alikuwa na Degree za Heshima 18 kutoka vyuo vikuu maarufu tofuti hapa Duniani.
  7. U

    DOKEZO Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye mabweni ya UDOM

    Poleni sana, kunguni ni mdudu anayetokana na hulka za uchafu. 1. Safisha chumba vizuri. 2. Zoa uchafu na hakikisha umechoma moto ili mayai na kunguni walio katika huo uchafu wafe. 3. Hakikisha godoro lako halijatoboka au kuchanika, kama ndivyo lishone au badili cover ila hakikisha cover...
  8. U

    Natamani sana Kumjua huyu 'Mwamba' aliyebuni hizi Mbinu Mpya za 'Kuua' Vibaka / Wezi Wasumbufu Uswahilini

    Juzi Viongozi wa Kijji huko Iringa wamehukuiwa kunyongwa hadi kufa kwa kuhamasisha mauaji ya ndugu wanodhaniwa walikuwa wahalifu wazoefu hapo kijijini.
  9. U

    DOKEZO Nadai Tsh. Milioni 440 kwa Mkandarasi wa SGR. Naomba Serikali inisaidie, napigwa danadana tangu Desemba 2022

    Nami nimejiuliza swali hilo, kwa nini aendelee kuongeza deni wakati hilo dogo linawashinda? Hapo iko namna, logically its imposibble.
  10. U

    Suzan Kaganda unaenda kuwa IGP, usije kutugeuka Wananchi. Umsaidie Rais Samia kuleta mabadiliko chanya

    Jeshi la Polisi lina majukumu mengi na mazito na kwa hakika kwa mwanamke kuongoza bado sana. Kwa wapenda usawa kwa kudhani kila kitu kinawezekana jiulizeni kwa nini hujawahi kumuona WP analinda Benki au maeneo nyeti. Mapungufu katika maumbile na majukumu ni kitu cha kuzingatia .
  11. U

    Patrick Trans na Nanga Boy ni akina nani kwenye biashara ya daladala Dar?

    Amekuwa ktk biashara hiyo kwa zaidi ya miaka 20, ukiwa na nidhamu ya kazi daladala hazikupi shida
  12. U

    Traffic lights kona ya ITV zimeongeza jam

    Hata Traffic light za Pugu, ni kero tu. Hapa mahali hapajawahi kuwa na msongamano lakini sasa upo wa kutosha hasa peak hours
Back
Top Bottom