Search results

  1. H

    Wadau nani anajua bei za haya magari Afrika Kusini?

    Nimeona ni cheaper than Japan. Ila reliability ipoje, maana nasikia Singapore hamna ukaguzi kama Japan
  2. H

    Wadau nani anajua bei za haya magari Afrika Kusini?

    Asante sana kwa ushauri, nlikuwa naangalia bei online ili nijue najiaandaa na sh ngapi ila kununua itabidi nisafiri
  3. H

    Wadau nani anajua bei za haya magari Afrika Kusini?

    Nimeangalia online naona bmw x3 2014 hadi 2016 wanauza rand 250,000 na kuendelea. Naona zipo juu kama Japan au wauzaji wa mitandaoni wanatulangua sana?
  4. H

    Akili ya BMW kwenye Magari

    Filter wapi 150K? Nanunua filter around 40K. Hata online filter za Mahle, Mann, Mayle ni around $10-12
  5. H

    Wadau nani anajua bei za haya magari Afrika Kusini?

    Mkuu nna interest na bmw x3 series ya 2014 hadi 2016 hapo. Bei zinaendaje? Makampuni gani yanayouza magari hayo yapo reliable huko. Nataka nijipange mwaka huu nije
  6. H

    Marian Schools huduma ya chakula, usafi ni ovyo sana

    Kama hupapendi muhamishe mtoto...
  7. H

    Zipi tamu na chungu za mimi kumiliki BMW X3

    Hata toyota ukitaka plug original bei ni hiyo hiyo, engine kama ni synthetic pia kwa toyota bei ni hiyo hiyo. Nna bmw e60 toka 2019 sijawahi kuwa na major breakdown ila magari ya ulaya inabidi upende kusoma na kujua tatizo la gari uzuri forums zipo kibao ila magari ya kijapani forum zimeandikwa...
  8. H

    Kwanini kamati za harusi zinaingia gharama kubwa kwa ajili ya MC?

    Mara nyingi gharama za MC hujumuisha na DJ na vyombo vyake, Na hawa hufanya kazi kwa pamoja na washaelewana, wakikutana siku ya tukio ndo zile mambo ya kupishana, MC anaongea na DJ mziki juu. Pia MC hadi wa laki kadhaa wapo usipoweza wale wa bei ghali
  9. H

    Wazee tusiuze mechi mimi leo Nimeanza kutibu Gonorrhea

    Gono, chylamidia na syphilis hazina harufu mara nyingi Bacterial vaginosis ndo zina harufu. Muhimu punguza wapenzi wengi na tumia condom
  10. H

    Mwigulu Nchemba awachana wanaohoji deni la taifa

    Kama miradi ipo wanaogopa nini ukaguzi wa deni la taifa na kuona kama deni linaendana na miradi iliyofanyika
  11. H

    Nini kimeiua Tips Lounge?

    Tips ipo kwenye makazi ya watu na wenye hela so wamepigwa pini mziki mwisho sa sita tu. Same story na Boardroom, tena pale pamefungwa kabisa
  12. H

    Observations zangu baada ya kumiliki bastola kwa miaka 10

    Umeenda lini? Mbona nlishaenda ulizia nkapewa utaratibu mgumu sana.
  13. H

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kule porn hub kuna vyumba vingi vya kuziba, ushaenda na huko?
  14. H

    The C-19 shot is a Microsoft Windows 666 mRNA Opetating System(OS),it is not a vaccine

    Je unafahamu kuna chanjo za covid zinazotumia technology zaidi ya mRNA? Ya Urusi na China. Hizo unazizungumziaje kwenye hii context yako?
  15. H

    Je, ikitokea Rais Muislam amefariki, atapewa heshima zote kama heshima anayoipata Rais asiye Muislam?

    Kwa hiyo akizikwa pia anasikia maumivu ya kukandamizwa na udongo, joto na vinginevyo kama kuliwa na wadudu? Tupe elimu zaidi hapa
  16. H

    Swali kwa Wasioamini Mungu (Atheists) juu ya udhalimu wafanyao Watu kwa watu wengine

    Swali la muhimu kabisa ni kwanini karuhusu hayo majitu makatili kufanya huo ukatili na yeye amekaa kimya tu bila kusema au kufanya chochote.
  17. H

    Mpangaji amekwenda kushitaki kisa kaibiwa

    Mkataba unasema mpangaji akiibiwa unamlipa au unarudisha kodi?
Back
Top Bottom