Search results

  1. M

    Madaktari na Mafamasia: Wizi wa dawa Hospitali za Serikali

    binafsi niko pamoja na wewe lkn nikuambie kitu kimoja tu hawa jamaa wanaropoka vitu bila kufanya utafiti na mwisho wake vinakua na implications mbaya kwa wataalamu ......kwa ujumla serikali kupitia msd imeamua kuachana na ununuzi wa dawa badala yake wananunua vifaa tiba japo si vingi pia...
  2. M

    Mwingulu umeua shilingi yetu unataka tukupe nchi

    Kutafuta rais msafi ndani ya ccm ni sawa na Kutafuta bikira wodi ya wazazi
  3. M

    UKAWA PAWAKA: Mazungumzo ya Siri Yakijadili Nafasi ya Urais Yanaswa!

    Pia wajumbe wengine walisikika wakisema kuwa Dr Slaa tayari amekataliwa na Watanzania mwaka 2010. Akisimamishwa kwa mara nyingine ni sawa na sisi UKAWA kudharau maamuzi ya wapiga kura yaliyofanywa 2010 ya kumkataa Dr Slaa." sema mawazo yako wewe , mjumbe wa ukawa hawezi kuwa ----- kiasi...
  4. M

    CCM njiapanda Urais 2015: Kumpitisha Lowassa au chama kumeguka

    wengine Membe, wengine Wassira na wengine Lowasa .......sielewi na sioni mtu wakuendesha nchi yetu kati ya hao
  5. M

    Baraza Kuu la UVCCM lamkataa Mizengo Kayanza Peter Pinda

    unawaogopa sana bavicha?
  6. M

    Agrey Mwanri: Ukosefu wa Dawa kwenye Vituo vya Afya ni kutokana na Dawa Kuibiwa na Watumishi

    waziri kama huyo anapotoa shutuma kama hiyo kwa watu ni dharau kubwa sana kwa watu wa idara ya dawa, pili zile dawa siku hizi zina label ya GOT kwann wasifanye ukaguzi wa mara kwa mara, in short serikali haipeleki dawa mahospitalini inaanza kutoa visingizio vya kijinga kabisa kauli kama hizo...
  7. M

    Serikali kuzuia mijadala ya katiba

    tukipigana mnasingizia watu wa magharibi kumbe ni ujinga wetu wenyewe
  8. M

    Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

    kaka cku moja nitakutafuta huwa unanifurahisha sana.....
  9. M

    Prof. Kapuya atishia kuishitaki JamiiForums...

    mbona namba ya simu aliyoikana ndo ile ile aliyoweka kwenye taarifa yake au ndo kuzeeka nn naomba mnisaidie hapo
  10. M

    Lilian Wasira ni Jembe! CHADEMA Mtumieni Vizuri

    Atiiiiiiii! kwani yeye Lillian ni wa kutoka Kilimanjaro, Arusha auuuuu? nyie ndo mnaorudisha maendeleo nyuma kufikiria kwenu kote ni udini ,ukanda,na ujinga mwingine unaofanana na huo badilikeni!
  11. M

    Rais mpagani ndio suluhisho la migogoro ya siasa inayotokana na udini

    mungu wa kweli ni yupi?acha kujiingizia kwa wanafki wenzio suala la udini linasababishwa na nyie wenyewe mnaojifanya mnachukia udini at the same time mnafanya hayo hayo,anyway dini pia ni siasa tu siku wenye influence kwenye dini ndo wale mafisadi,wauza unga na watenda maovu ya kila aina ambao...
  12. M

    Jaji Mkuu Chande yuko imara katika kuongoza mhimili wa mahakama anastahili kupongezwa

    hakuna uhuru wa mahakama nchi hii kijana tusubirini rasmu ya katiba ipite then tuone nani atakae mbuguzi jaji akitoa hukumu nzuri au mawazo yake mazuri,huyo mzee alipewa akiwa na umri mkubwa sana hawezi kuwa na jipya sana sana atajipendekeza kwa mkuu wake hana credibility ya kufanya mageuzi...
  13. M

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    namuheshimu sana Dr.kitila kwamba hawezi kuhusika kwenye maswala ya kitoto namna hiyo lkn nmeona jina lake limetajwa na Mamuya hii imekaaje jamani,mnawakatisha tamaa wa Tanzania jaribuni kuwa makini Brother Zitto kaa chini na viongozi wenzako hii picha sio nzuri na kama umekosea omba msamaha...
  14. M

    Uteuzi wa Susan Rice kama SOS ni hatari kwa Tanzania

    anauhusiano wowote na condolezza rice wa republican?
  15. M

    Sababu 5 CCM Kushinda Uchaguzi 2015

    sikuelewi kabisa mkuu hayo ni mawazo yako au umemezeshwa nn?
  16. M

    Natangaza kuchukua jimbo tarajiwa la Kahama mjini

    sina tamaa ya hela kaka,nngefanya biashara kk
  17. M

    Natangaza kuchukua jimbo tarajiwa la Kahama mjini

    Asante mkuu kwa marekebisho,lakini kuhusu swala la chama mkuu ni CDM .Matatizo nlisema nitaendelea kuyaelezea mbeleni ikiwa pamoja na mipango yangu yote
  18. M

    Natangaza kuchukua jimbo tarajiwa la Kahama mjini

    Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho hapa muhimbili, nalitamani na ninatamani sana kuwatumikia wananchi wenzangu wa kahama. Kilichonisukuma sana ni kuona rasilimali nyingi tulizonazo wana wa Kahama ni aibu maisha tunayoishi tukiendelea kutembelea barabara za vumbi ,ugumu wa maisha ukituandama...
Back
Top Bottom