Search results

  1. mgashi

    Watanzania tunaandaa taifa la hovyo kuliko yote duniani

    Sina uhakika kama ww ni Mtanzania.
  2. mgashi

    Tundu Lissu: Barua ya wazi kwa Rais John Magufuli kuhusu utawala wa sheria

    Hivi we Mzee ni kitu gani hasa huwa unataka? Hueleweki ni Moto au ni Vuguvugu?
  3. mgashi

    Tundu Lissu kurejea nchini

    Msaliti ni wewe na watu wako mlotaka kumtoa Uhai Lissu
  4. mgashi

    David Kafulila ahojiwa Azam TV kuhusu kuhamia CCM

    Chadema wameshakuwa Takukuru? Au Chedema ndo mapolice siku hizi? Hao mafisadi kazi yao ni kuwajadili tu basi. Si muwakate wafunguliwe mashitaka.
  5. mgashi

    Lowassa anaudhoofisha upinzani

    Na kibaya zaid havai Gwanda na kwa nn ajione bora zaidi? Hili ni pandikizi kuuwa upinzani Mbowe shituka kaka mkubwa
  6. mgashi

    Waziri Kabudi, mpinzani wako katika majadiliano na Barrick ni Komandoo wa Jeshi

    Hivi we mzee bado unasubili teuzi? Ludi kwenye akili ysko ya kawaida. Bei yako inajulikana na njaa ni mbaya sana na pole kwa njaa inayokusumbua.
  7. mgashi

    Lissu: Serikali hii (ya Magufuli) ni ya hovyo, huyu dikteta uchwara anahitaji kupingwa na kila mwananchi

    Ww sio mzma unaangalia alichosema lisu au unaangalia point inabidi ukapimwe uelewa wako.
  8. mgashi

    Ukisoma hii article utajua kwanini Leo tena wanasema Rais kadanganywa

    Kaka Pasco wakukuelewani wachache wengi wamezoea kukalilishwa tu na ushabiki.
  9. mgashi

    Tanzania: Together we can, "freedom is coming tomorrow "

    We sio mzima mahali pako milembe. Mini ambacho unaona kwako sio cha kweri katika hii post?
  10. mgashi

    Tanzania: Together we can, "freedom is coming tomorrow "

    Umeongea maneno ya maana mola akujaalie kwa hekima zako ila kweri IPO Siku kila goti litapigwa.
  11. mgashi

    Kwa Mchezo mchafu unaosukwa, UKAWA wasishangae 2020 wakabakia na wabunge watatu (3)

    Lejea na wizi wa meya kinondoni na kila aina ya uhuni wapinzani kimya
  12. mgashi

    Tusikubali Wanasiasa Wapandikize Chuki Dhidi ya Polisi

    We Mzee jisitili ubakishe hata heshima kidogo hapa jukwaani. Hivi ni nani kakuroga? Au ndo njaa? Kumbuka teuzi zishakwisha ludia akili yako ya kufikili nnje ya boks hukuwa HV we Mzee.
  13. mgashi

    Zitto Kabwe: January Makamba ni hazina ya CCM akitumiwa vizuri

    Jamani zito anatafuta kick ya chama chake kulamba mbunge katika nafasi kumi za magufuli. inabidi asikosekane kwenye media kutwa kujipendekeza kwa maficcm
  14. mgashi

    Tabora wafunga kazi, UKAWA wabana kila kona!

    kaka wala usihangaike Mke wangu mwenyewe humwambii kituu kuhusu ccm cha muhimu ww dili na kichinjio chake 2 asikusumbue mludishie kesho jiooooon
  15. mgashi

    Tabora wafunga kazi, UKAWA wabana kila kona!

    Tbr ni noma haijahi tokea toka magez yaanze Leo ilikuwa ni sherehe ya kufa MTU. pale round about ya shure ya uyui.
  16. mgashi

    Good Friday: ACT Wazalendo kinakuhitaji wewe, ni chama chako, chama chetu

    Act hawatokuwa wamoja na chama kimejengwa kwenye usaliti hii zambi hatoikwepa ni kama kula nyama ya MTU. viongozi wake wengi ni wababaishaji tu kwahiyo wakikosa matalajio yao ni rahisi kusaliti hicho chama.
  17. mgashi

    Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    Njaa mbaya sana sasa mbona hajatuelekeza tuchague nani?
  18. mgashi

    Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

    Kupoteza muda kumjadili mtikila sisi ndo tutakuwa mataahira, mapesa ya ccm hayo ashahongagwa na Rostam na ana bei huyo mchungaji wa mashetani
Back
Top Bottom