Search results

  1. M

    Kaka na dada kufanya mapenzi ni ugonjwa?

    Huu ni upumbavu si ugonjwa wala nini,mtu wa aina hiyo anatakiwa aombewe sana
  2. M

    Aloe Vera

    Ni monica yupi ambaye,umeongea naye?
  3. M

    Aloe Vera

    Hi ram si kipanda uso.ila nitasoma katika kitabu changu nitakujibu ya tiba yake kutokana na aloevera
  4. M

    Aloe Vera

    Hi Nicas Aloe vera ya GNLD ni aina gani?Je umeshatumia aloe vera ya Forever Living Product? Nakushauri jaribu ya FLP ni pure aloe vera Karibu
  5. M

    Aloe Vera

    Hi Mandilo, Kwanza nakupa hongera kwa kuingia katika business hii.umeona mbali. Umefika mbali mno katika biashara Mandilo kwani biashara ni utashi wa Mtu si lazima ninachotaka kuelezea jinsi gani ya faida ya ALOE VERA na inasaidia nini ,na ni aloe vera ya aina gani.Huko kwenye biashara ni...
  6. M

    Aloe Vera

    Hi Jafar,Aloe vera kuna aloe vera za aina nyingi sana na hata majumbani mwetu tumepanda lakini hii ninayoongelea ni aina ya Aloe Barbadensis miller.fungua www.foreverliving.com utapata maelezo ya product nyingi za aloe vera.
  7. M

    Aloe Vera

    Nitashindwa kukupa maelezo marefu kuhusu tiba aliyo pitia ila nataka tu kukuwambia mpaka alipofikia kwangu akanieleza jinsi kichwa kinavyomuuma na hali ambazo zilishamtokea nilichukua kitabu changu cha magonjwa na tiba yake na kumpa tiba iliyokamili ya aloe vera na vidonge vyake sasa ni mzima na...
  8. M

    Aloe Vera

    ....Ni mada ya aloe vera je aloe vera kuna aina nyingi wewe unaongelea ipi?Mimi nazungumzia Aloe vera Berbandisis Wewe unajua Ipi?. >kichwa ninacho maanisha ni kile Kinauma sana mpaka anafikia kuzimia,mtu ambaye anasumbuliwa na kichwa mara kwa mara
  9. M

    Aloe Vera

    Ni Mmea Unaosaidia Matatizo Mengi,ila Ni Aloe Vera Ya Aina Gani Ambayo Inasaidia,matatizo Ya Kichwa Cha Muda Mrefu, kisukari, Cholesterol na Matatizo Mengi Ya Aina Mbali Mbali.
Back
Top Bottom