Search results

  1. M

    Mbowe asalimu amri kwa Slaa

    Freedom is so close now, time will tell keep on dreaming
  2. M

    Wakati ukombozi na ushindi unakaribia lazima vikwazo vizito vitokee - huo ndio ukombozi halisi

    JF Chadema na vyama vinavyounda ukawa wanapitia katika hali ngumu sana kwa sasa kisiasa. Nimetafakari sana nguvu kubwa inayotumika kuzima moto wa mabadiliko. Wanapambana na mishale inayotoka katika kila kona. Mfano Dr. Slaa, Lipumba, wasanii kukimbia, sasa wajumbe na viongozi NCCR wanataka...
  3. M

    Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

    Mwanakijiji, nakubaliana na wewe sana. Ni upambavu, zarau kutokuamini makamanda wetu kushika usikani na kuingiza mtu ashile uskani usijua hata dhamira yake ni nini. Bado naamini kosa kubwa mabalo UKAWA. CHADEMA watalijutia ni kumsimamisha Lowasa kuwa mgombea wa URAIS. Adhima ya Lowasa...
  4. M

    Jaji Augustino Ramadhani achukua Fomu kugombea Urais wa JMT

    JF, Majij wananatkiwa kuwa watu huru na wakutoa dira na kusima mamia haki bila kuwa na mlengo wowote wa kisiasa, kidini, eneo wala rangi. Linalofanyika sasa kwa majaji kuanza nao kujitikeza ni uthibitisho tosha kuwa kesi nyingi za za gedere zilikuwa zinzpelekwa kwa ngedere. Hata kama jaji...
  5. M

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa: Lowassa hakatwi jina

    Jf Kwa nguvu na ushawishi mkubwa alionao Mzee Lowasa ndani ya chama na nje, hata kama ni mchafu kiasi gani, na kuwa na uadilifu wa kutia shaka, hakuna mjumbe wa NEC, wala Mwenyekiti wao mwenye ubavu wa kuzuia jina lake lisipite. Kinachoendela ni kukamilisha tu utaratibu unaotakiwa kidemokrasia...
  6. M

    Edward Lowassa ni kipimo cha uadilifu ndani ya CCM

    JF Leo ilikua siku kubwa sana kwa Mweshimiwa Edward, kutangaza nia. Kwa wale mnao mjua vizuri pamoja na rafiki zake tutakubaliana na jinzi pesa ilivyo na nguvu ya kuwatia upofu watu wasio weza hata kutafakari mbele kwa mita hata kumi. nguvu kubwa iliyotumika kuandaa mkutano wa kutangaza nia...
  7. M

    Ni zipi sababu za kuahirisha zoezi la kujiandikisha kupinga kura manispa ya Dodoma

    JF, Inasikitisha sana, Tumehamasika hamasika na kupokea wito wa tume kujitokeza ili tuweze kujiandikisha kupiga kura kama sehemu yakutimiza haki zetu za msingi. Nimefika mapema kituoni leo nakukutana na tangazo kuwa zoezi limeairishwa mpaka hapo tutakapojulishwa tena. Hakuna sababu yoyote...
  8. M

    Ni zipi sababu za kuahirisha zoezi la kujiandikisha kupinga kura manispa ya Dodoma

    JF Inasikitisha sana, Tumehamasika hamasika na kupokea wito wa tume kujitokeza ili tuweze kujiandikisha kupiga kura kama sehemu yakutimiza haki zetu za msingi. Nimefika mapema kituoni leo nakukutana na tangazo kuwa zoezi limeairishwa mpaka hapo tutakapojulishwa tena. Hakuna sababu yoyote...
  9. M

    Ilani za uchaguzi vyama vinavyounda ukawa ni muhimu kufanana

    JF Tunapoelekea uchaguzi mkuu ni jambo la busara kwa vyama vinavyounda UKAWA kufkria jinsi ya kutekeleza ilani zenu pasipo mgongano wa itikadi za vyama. Nashauri kwa kuwa vyama vyote vina itikadi tofauti na mtazamo tofauti katika kuwaletea maendeleo watanzania, ni vyema katika mambo fulanifulani...
  10. M

    Pengo awalipua Maaskofu, asisitiza uamuzi wa aina ya kura ni wa mtu binafsi

    Mbona TBS na vyombo vya serikali vinawatangazi umma kuipigia kura ya ndio katiba inayopendekezwa Askofu hasemi. Wakisema maaskofu wanzake waumini wapige kura ya hapana, anasema wasi toedirective za waumini kufanya aina ya maamuzi. Kama yeye anasimamia analoliamini busi akamee vyombo vya umma...
  11. M

    Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusiana na Muswada wa Mahakama ya Kadhi

    Bravoo Maasikofo. Pale ambapo gisa nene litatawala na viongozi kuwa vipofu viongozi wa dini lazima mtuonyeshe njia ya kweli. Tunaapa kutimiza maagizo yenu asilimia mia moja na kimsingi nazidi kupata kundi kubwa la kuitosa katiba pendekezwa. Nchi haiweze kuendeshwa na fikra za kikundi kimoja...
  12. M

    CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    Achana na vurugu hizo, leo ilipofika saa nane na nusu tu maeneo mbalimbali ya taifa umeme ukakatwa, jamni lengo mzee amekua mwiba makali sana kwa ccm. Japo mzee wa watu kabeba na kuliweka taifa mbele na uchama pembeni utamaduni ambao haujazoeleka ccm.
  13. M

    Wassira: WanaCCM wanaopinga Katiba pendekezwa warudishe kadi zao

    tendo la leo CCM pamoja na wafuasi wake wamejiweka katika hali mbaya zaidi. Kutoheshimu taasi ya mwalimu yenje lengo la kuibua hisia na kuelemishana juu ya jambo muhimu kama katiba, baadala yake wanakata umeme mikoani, na kufanya vurugu kwenye mjadala. kosa kubwa, ni bora wangesikiliza yote leo...
  14. M

    Askofu Mwamasika: UKAWA sawa na muunganiko wa Walevi

    Askofu huyo ni kwakua tu anahitaji kueshimiwa. Ukiweka ufisadi wake ndani ya kanisa na nje pamoja kashafa alizo nazo personally hakustahili kuitwa askofu. Tatizo moja lalilo nalo nikufkri kuwa yeye ndio anajua mambo kuliko mtu meingine. Moja nililobaini background ya mtu ina husika sana...
  15. M

    Picha: CCM yawakutanisha President Salva Kiir na Riek Machar, watia saini mbele ya Rais Kikwete

    Ndugu JF Kazi nzuri kudimisha historia ya Tanzania kupatanisha na kuleta amani katika nchi za Africa. Swali jepesi ambalo kwa mtazamo wangu nafkria hili swala lingechukuliwa kitaifa zaidi. Rais wetu ni mwenyeki wa chama chetu, lakini pia ni kiongozi wa taifa letu. Iweje leo Taifa letu...
  16. M

    Warioba na Tume yake wajiunga na Upinzani

    Long life mzee Warioba, Nilazima mtu mwenye akili timamu kuwa na uwezo wa kuwa juu zaidi ya hisia zake za kimwili na ushabiki wa uchama na kutumia akili zaidi kuangalia maslahi halisi ya taifa kwa vizazi vijavyo. mzee ukitamka tu, watu wengi hawalali wanahangaika kupinga kauli yako, wanapanga...
  17. M

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi 27 Septemba 2014, Michango ya Wabunge - Rasimu Inayopendekezwa

    Ndugu JF, Serikali yetu kwa muda mrefu iliamua kutokuweka maswala ya dini katika katiba kwa namna yoyote ile. Ni jambo la heri maana limedumisha undugu, upendo na mshikamano mwingoni mwa watu. Kwa upande wangu niliona ni jambo jema ili kila dini kuwa na utaratibu wake njee ya sheria mama za...
  18. M

    Mhe. Sita: Umechelewa kukata tamaa, nani kakuloga?

    Nashkru CCM kumpa nafasi Mweshimwa sitta kugombea wenyekiti wa Bunge maalumu. Imetuonyesha sura zote alizo nazo mwishimiwa Sita na uwezo wake kama kiongozi alietarajiwa kuwa na u wezo wa kuongoza nchi. Kweli si kila mwenye mvi unabusa. Kiwango chake hakistahili hata kidogo kuongoza nchi...
  19. M

    Uraia pacha ndani bunge la katiba na hitimisho lake

    Wana JF Swala la urai pacha naona linashindwa kuchukuliwa kama sehemu nzuri kwa serikali kuweza kujipatia mapato. Japokuwa wajumbe wa bunge la katiba wametofautiana katika swala hili, kwa maoni na mtazamo wangu naona hili swala likiwekewa misingi mizuri bado linafaa na kuwa chanzo kizuri cha...
  20. M

    Kesho ni zamu ya Profesa Mwesiga Baregu

    Great, let wait to hear from the original source.
Back
Top Bottom