Search results

  1. K

    Tathmini ya Ziara (Awamu ya kwanza) ya ACT-Wazalendo: by Zitto

    zitto unajidanganya tena sana tu. wewe ni msaliti na mnafiki mkubwa. Bahati nzuri mkutano wako wa mwanza nilikuwepo na wengi walikudharau na kukuita yuda. unaponda wapinzani badala ya ccm. Hakika wewe ni pandikizi. ukipata hata kiti kimoja cha udiwani nchi nzima ntakuita mwanaume. labda waha...
  2. K

    Majibu ya Tuhuma Dhidi Yangu!

    Kwamba wewe ni graduate wa MD,MPH na MBA kweli its another silly academic ground! Bahati nzuri mimi nimesoma na wewe na ubabaishaji wako haujaanza leo hata darasani ulikuwa mbabaishaji hata kitaaluma ulikuwa unaibia mno. Mimi nakusikitikia kwa namna ulivyoanza kuwa mnafiki lakini 2015 huwezi...
  3. K

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Kuna mapigano makali yanaendelea mda uhuu kati ya waislamu na wakristu kuhusu kuchinja hapa Buseresere - Geita. Misikiti mingi imebomolewa na watu kadhaa wameshauawa. Police mpaka muda uhuu naripoti hawajafika kwa kisingizio ni wachache. Source: Mimi mwenyewe ------------ JamiiForums...
  4. K

    Kama Slaa, Migiro, Salim, Lowassa, Shein hawafai kuwa Rais; nani atatufaa 2015?

    "ukiwa popote hata bila kujitmbulisha, utamfahamu mtanzani"Hii ni kauli ya kejeli niliwahi kuambiwa na rafiki yangu mkenya. Nilipomuuliza alimaanisha nini alisema watz. tuna sifa zifuatazo: 1. tunachekacheka hata kwenye mambo ya msingi. 2. Ni wepesi kusahau masuala muhimu 3.Ni waoga sana hata...
  5. K

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    This is rubbish speech! Inatia kichefuchefu na ndo picha ya taifa linaongozwa na watu mbumbumbu. Nakubaliana na mh. Msigwa kwamba akili ndogo ndani ya taifa letu inaongoza taifa kubwa! Na huyo ni mmoja. Yupo Lukuvi, Wasira, Makinda, na wengi wapuuzi. Ndo maana niliwai kupendekeza viongozi wote...
  6. K

    Je nimkubalie?

    Sawa lakini gharama ya kuvunja ndoa ni ndogo kuliko gharama ya kuijenga.
  7. K

    Je nimkubalie?

    Okay point taken! Asante Preta.
  8. K

    Je nimkubalie?

    Hi, wanaJf! Ninaomba ushauri wenu wa haraka. Kuna demu ni mtu wa karibu sana na mpenzi wangu. Jana akaniita sehemu na kuniomba leo aje alale kwangu maana anajua mpenzi wangu amesafiri kikazi! J? nimkubalie?
  9. K

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    Ni kweli. Huwezi kujadili mapinduzi ya kidemokrasia bila kuwataja wafuatao; Zitto Kabwe, Dr. Willbrod Peter Slaa, Marehemu Chacha Wangwe na Hayati Phares Kabuye (Biharamulo magharibi). Tatizo la Zitto niliwahi kuandika na narudia kuandika, anapenda mno sifa, ni mnafiki na hana msimamo na ana...
  10. K

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    Asante umepost mada nzuri sana. Watanzania mtambue Zitto kama kibaraka wa ccm na ana sifa zifuatazo: 1.Anapenda sifa sana. 2. Kalikula rushwa tangu alivoteuliwa na baba mkwe wake kwenye kamati ya madini (Bomani) 3.Nia ya Zitto si kujenga chama bali kukibomoa kwani ushaidi upo kwamba ana...
  11. K

    Sababu ya Walimu kutokugoma yafahamika!!

    Kimsingi nahisi ni kupoteza mda kulijadili kundi la watu wasiojitambua! hawa watu ni hatari sana maana wengi pamoja na kuitwa walimu bado wamepitwa na wakati. wengi hawajui kwamba kugoma ni haki kikatiba ya mfanyakazi! watazame walimu wanavyovaa, wanavyokula, nyumba wanazoishi, hospitali...
  12. K

    Madaktari waipiga changa la macho serikali

    Ni hatari sana kuwa abiria kwenye chombo kinachoongozwa na nahodha juha! ni dhahiri kuwa nchi hii inaongozwa na wahuni! Na tatizo kuna wachangiaji wengine ukisoma thread zao unagundua mental disconnection! udaktari unasomewa tena na watu ambao si viraza kama hao majuha waliopata GPA ya 2.7 udsm...
  13. K

    Ni vigumu kuwa malaika ndani ya ccm!

    Utashangaa kusikia watz wana matumaini na baraza la mawaziri lililofanyiwa marekebisho. Utawasikia watanzania wanasifu baadhi ya mawaziri kwamba wanafanya kazi! Cha msingi, tusijidanganye kuona maendeleo yoyote kufikia 2015 maana kila mwenye kitengo anapiga dili kwa kasi kubwa maana hakuna...
  14. K

    pete za vidole vya miguuni

    wanaovaa hizo pete ni wateja wa tigo express yourself! ni mwaliko ili usiangaike, ila kama wewe ni mla kichuli pale ndo mahala pake!
  15. K

    Kikwete hajui maana ya urais!

    HAkika upofu wa viongozi na wanaccm ndo umeifikisha nchi mahala hapa ukiunganisha na unafiki! Hakuna nchi rahisi kuongoza kama Tanzania! Hii nchi rais kikatiba ana mamlaka makubwa mno. Ebu tujikumbushe yafuatayo chini ya utawala wa jk: 1.wizi mkubwa kupitia mkataba feki wa richmond ambapo kila...
  16. K

    Kikwete hajui maana ya urais!

    Tangu aingie madarakani jk ameshimdwa kuongoza nchi kwa sababu: 1.watu anaowateua wote ni washikaji hivo kila waziri na wakurugenzi wanafanya wanavotaka bila kumuogopa. 2.Amekuwa kama mzazi anayewapangia kazi watoto kazi wafanye na hachukui hatua yoyote wasipofanya. 3.Haoneshi dhamira ya...
  17. K

    Kunyaza (Kachabali): African sexual technique that triggers female orgasm in 5 minutes....

    kweli mtoa mada hujakosea. hawa viumbe mpaka uwanyaze katelero haikwepeki. ikishindikana zama chumvini.
  18. K

    ZITTO anakubalika zaidi ya Dk SLAA

    Tangu lini kichuguu na mlima vikalinganishwa? it seems humjui vizuri dr. slaa. Huwezi kuongelea balali kuikimbia nchi, lowasa kujiuzulu na baraza la mawaziri kuvunjwa pasipo kujua nani alisababisha! no research no right to speak. rudi shule huna tofauti na Nape Nnauye!
  19. K

    Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma!

    mda mwingine si vema kuposit issue ambayo ni ujinga! JF is for only people who can think properly. you have posted rubish!
  20. K

    Nape Nnauye: Madiwani wa CCM wanaoama wamekosa mvuto kwa wananchi

    Nape amepitwa na wakati na kadiri siku zinavyopit, anazidi kupoteza uwezo wake wa kufikiri.
Back
Top Bottom