Search results

  1. Nipashe

    Rais Kikwete na Sakata la Wahamiaji - VIDEO CLIP

    Je, ni nini hasa Rais Jakaya Kikwete alisema? Video clip ya ITV hii hapa; Rais JK atangaza operesheni kali ya kuwasaka majambazi. - YouTube
  2. Nipashe

    Mwakyembe na ATC - Ni kitu gani anachoogopa?

    With time, mengi yatawekwa hadharani.
  3. Nipashe

    Zitto: CCM inachonganisha viongozi wa CHADEMA

    Zitto akisema hivyo basi ni ameambiwa hivyo na viongozi wa CCM kwani ana mashabiki wengi sana - wake kwa waume, wazee kwa vijana kwenye NEC (CCM) na Kamati kuu (CCM), na sio ushabiki unaoendana na wao kumtumia Zitto kuharibu chadema bali kuvutiwa tu na utendaji na utanashati wake.
  4. Nipashe

    Hivi ni kwanini hakuna waziri mkuu aliyekuja kuwa Rais wa Tanzania?

    Kilichotokea ni kwamba licha ya juhudi za Kambarage za kumweka Salim kama mgombea mwaka 1985, forces za CCM zilimshinda Mwalimu, hasa upande wa Zanzibar. Mwaka 1995 ndio alikataa wazo la kujaribiwa tena. Tunamsema sana mwalimu kwamba alikuwa dictator na mambo kama hayo lakini tunasahau kwamba...
  5. Nipashe

    Hivi ni kwanini hakuna waziri mkuu aliyekuja kuwa Rais wa Tanzania?

    Kuna hoja deep sana ya mchangaji mmoja humu kwamba ili Waziri Mkuu aweze kuwa Rais wa Tanzania, ni lazima kwanza ajiuzulu Uwaziri Mkuu kama Nyerere alivyofanya. Tafakari, chukua hatua.
  6. Nipashe

    Mwakyembe na ATC - Ni kitu gani anachoogopa?

    Suala la marubani sitini ni kwa mujibu wa taarifa zilizopo sasa kama linatokana na madudu ya GM aliyepita bwana Mataka, hilo hatujui. Vinginevyo kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya leo, Mwakyembe taarifa hii anayo na imemshtua sana lakini kaiweka kwenye mkoba wake wa kazi. Mataka alifanya madudu...
  7. Nipashe

    Raia Mwema: Zitto kuchukua maamuzi magumu...

    Kama ana mpango wa kuhama chama, itakuwa ndio mwisho wake katika mbio za urais 2015 na hata baadae, lakini katika local politics huko Kigoma na kwenye luninga wakati wa vikao vya bunge, ataendelea tu kuvuma kwani nguvu yake in local context (Kigoma) haitokani na mahusiano yake na mapenzi yake...
  8. Nipashe

    JK amteua Dr Migiro kuwa Mkuu wa OUT

    Mtamtetea sana huyu mama lakini mwisho wa siku its such a pity kwa mtu kutoka uwaziri tena wa mambo ya nje, halafu kuwa naibu katibu mkuu wa UN, only kuja kuporomoka later ba kufikia kuwa mshauri wa siasa za masuala ya nje wa chama. Ni kutokana na aibu hii ambayo ipo equally shared na mteule...
  9. Nipashe

    Mwakyembe na ATC - Ni kitu gani anachoogopa?

    2005 - 2010, nguvu zote zilitumika kumnyima uwaziri kwani hakuiva na mtandao. 2010 - 2015 suala la kumpa uwaziri likawa ni gumu kulikwepa, kwanza kutokana na afya yake ambayo ilihitaji support ya serikali ili arejee katika afya njema, hivyo kulazimika kumpa uwaziri apate benefits hizo, lakini...
  10. Nipashe

    GESI YA MTWARA: Yaliyomkuta NUNDU kumkuta MUHONGO?

    Dunia nzima, suala la nishati linahitaji uongozi wa kisiasa na hauwezi kuwa waziri wa wizara hii kutoka nchi yoyote ile duniani na ukafanikisha majukumu yako salama na kwa ufanisi bila ya kutumia siasa. Sioni future ya Muhongo katika hili, unless behind the scenes anaendesha wizara yake nyumbani...
  11. Nipashe

    Mwakyembe na ATC - Ni kitu gani anachoogopa?

    1. Kuna taarifa kwamba kuna marubani zaidi ya 60 ambao wapo nyumbani kwa miaka minne sasa na wanalipwa shillingi milioni sita kila mwezi. Hii ni sawa na zaidi ya milioni 400 kwa mwezi, zaidi ya bilioni nne kwa mwaka, karibia bilioni 20 katika kipindi cha miaka minne iliyopita. Hizi ni fedha...
  12. Nipashe

    Wassira, Ndugai, Sendeka, Kigwangala walaani uchochezi wa Mtwara! Kigwangala ataka Dr Slaa Akamatwe

    CCM ime handle suala hili kibabe sana na itawagharimu kwani wana deal na wapiga kura ndani ya demokrasia wenye machungu kutokana na ugumu wa maisha, sio wateja wa makampuni ya simu au bidhaa zinginezo. Hali hii kwa sasa ni unrecoverable, na ama kwa bahati mbaya au makusudi, suala hili limekuwa...
  13. Nipashe

    Hivi ni kwanini hakuna waziri mkuu aliyekuja kuwa Rais wa Tanzania?

    Mawaziri wakuu vilaza ni wapi hasa kwani siamini kwamba ni wote. mimi nadhani mbabaishaji alikuwa ni Sumaye na kwa kiasi fulani Kawawa (RIP). Hawa wawili waliteuliwa kwa misingi ya uwezo wao mdogo. Tukirudi kwa Sumaye, kuna hoja kwamba huyu aliwekwa pale na Nyerere ili Mkapa asiwe overshadowed...
  14. Nipashe

    Hivi ni kwanini hakuna waziri mkuu aliyekuja kuwa Rais wa Tanzania?

    Kwa maana hii, historia ya waziri mkuu wa nchi baadae kuja kuwa rais wa nchi inaweza kujirudia kwenda kwenye vitabu vya historia kwamba walikuwa ni watu wawili tu, Nyerere na Lowassa, very interesting. Kwa mujibu wa hoja ya 'father of all' hapo awali,Mawaziri wakuu huwa hawakidhi vigezo...
  15. Nipashe

    Hivi ni kwanini hakuna waziri mkuu aliyekuja kuwa Rais wa Tanzania?

    Ukiachilia Nyerere, hakuna waziri mkuu mwingine wa Tanzania ambae alifanikiwa kuja kuwa Rais wa nchi, kwa mfano Kawawa, Msuya, Salim, Warioba, Malecela, Sumaye, Sokoine, na kuna kila dalili kwamba at least kwa uchaguzi mkuu ujao 2015, CCM haitamsimamisha mgombea Urais kutokana na Mawaziri wakuu...
  16. Nipashe

    Lowassa anasafishwa!

    You are correct by content but my view was context based and therefore content was held constant.
  17. Nipashe

    Lowassa anasafishwa!

    Lowassa ni too senior kwenda kuwa balozi... At most may be kwasababu kuna mwanamtandao UN (Dr. Migiro), kwa mtazamo wangu finyu, Lowassa anaweza pewa kazi ya heshima kusimamia mambo fulani serbia huko etc lakini Lowassa mwenyewe akitaka. Otherwise ni kubanana banana humu humu tu Tanzania...
  18. Nipashe

    Lowassa anasafishwa!

    Ndio Nyambala, leo hii tarehe 23 February. Kuna tetesi kwamba sanasana ataongelea kuhusu mipango yake ya siasa na maisha kwa ujumla in the post - PM era. Also may be atatumia nafasi hii kuelezea what really happened kufikia kujiuzulu kwake. All in all, mimi kwa maoni yangu hakutaka kujiuzulu...
  19. Nipashe

    Lowassa anasafishwa!

    Kwa wale wenye access, msikose sakata hili. Atakuwa live on TVT kujieleza kwa mara ya kwanza baada ya kujiuzulu.
Back
Top Bottom