Search results

  1. Kingmairo

    Msaada, Sina Raha tena na mahusiano

    Tafuta pesa umprotect huyu demu. Ukizubaa tutakupigia meku
  2. Kingmairo

    Wote wenye mafanikio makubwa wameoa, Chunguza

    Matajiri wakubwa wa Ulimwenguni wamepeana talaka na wake zao: chukua mifano hii 1. Bill Gates 2. Jeff Bezos 3. Aliko Dangote 4. Elon Musk ana ex-wives wawili. So, fikiria hoja yako vizuri; inaweza ikawa na ukweli kwa ngazi flani ya maisha ila sio ngazi zote.
  3. Kingmairo

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Dua yako imesikika mkuu! Kafrank kamepewa kichapo cha haja
  4. Kingmairo

    Baba Nasma popote ulipo nenda Rashka Lodge usiku huu haraka sana

    Jamaa umeamua kuchomoa betri kabisa lilimpukie fundi sofa. Wee noma
  5. Kingmairo

    Hapa JF kuna mwanamke aliyekamilika kwa uzuri kama huyu?

    Unajua fasihi sana. Safi
  6. Kingmairo

    Vipele kwa watoto wachanga

    nenda kapate ushauri wa kitaalam ila kwa uzoefu naweza sema hivyo ni vile vya ngozi ya uchanga kuondoka.
  7. Kingmairo

    Pagale linauzwa haraka bei poa Dodoma mjini

    Pagale ndo kiswahili sahihi. Nyumba ambayo haijapauliwa.
  8. Kingmairo

    DAR: RC Makonda asema kibali cha kupiga muziki mwisho saa 6 usiku, Ruge azungumza

    Mkuu sie hapa wapiga domo tu. Waache watu wapambane, maana chanzo cha zuio hilo sababu yake inajulikana. Kila weekend kuna events kibao za overnight zinafanyika na hakuna biti lolote. Waache wafu wazikane, sie tubaki watazamjaji.
  9. Kingmairo

    DAR: RC Makonda asema kibali cha kupiga muziki mwisho saa 6 usiku, Ruge azungumza

    Wewe kalale bana waache wenzako watafute hela
  10. Kingmairo

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kula online live streaming hapa www.eplsite.info/stream11html Wewe na bando lako tu.
  11. Kingmairo

    Dar: Ofisi ya Mawakili ya Prime Attorney advocate zilizopo upanga, imevamiwa na Watu Wasiojulikana

    Ni nzito lakini inategemea ni size gani. Zile ndogo zinabebeka vizuri tu.
  12. Kingmairo

    Dar: Ofisi ya Mawakili ya Prime Attorney advocate zilizopo upanga, imevamiwa na Watu Wasiojulikana

    Hivi watanzania kwanini tuna akili ngumu sana kuelewa hata ujumbe mwepesi hivi. Imeandikwa kilichoabiwa ni sanduku la kuwekea nyaraka na fedha (safe box). Ni wapi mwandishi kaandika humo ndani kumewekwa fedha? Nani kawaambia mtu akiwa na safe box ofisini lazima atunze fedha humo? Acheni kukariri.
  13. Kingmairo

    Dar: Ofisi ya Mawakili ya Prime Attorney advocate zilizopo upanga, imevamiwa na Watu Wasiojulikana

    Kabati la kutunzia nyaraka na fedha. Sio lazima kuwe na fedha humo. Ofisi nyingi watu wana safe box ofisini kutunzia nyaraka za siri.
  14. Kingmairo

    Naomba hii ndoto isiwe kweli

    Mmh....wakwetu huu utabiri huu[emoji15] [emoji15]
Back
Top Bottom