Search results

  1. H

    Tume ya Uchaguzi Tanzania waamua kutumia Biometrics kama Kenya.

    mbona kenya baadae waliamua kurudi analog sisi na wizi huu wa magamba tutafika kweli? kama tunacopy ya kenya ni vema tutakaanza namna ya nzuri ya kupata mwenyekiti wa tume siyo habari ya kuteuliwa na rais. Umri kigezo kikuu.
  2. H

    Picha: JK kwenye ghorofa liloloporomoka

    mkulu naona hapo kapata picha nzuri na hilo shati lake ndo cha maana hapo. kesho utasikia tume ya watu kumi Hv President hahitaji PPE like dust mask kama walivyo wengine?
  3. H

    Bungeni Hakuna First Aid (Huduma ya Kwanza)

    First Aid??? kila mbunge ana readings zake before overdue unawahi zako Apollo. Let mhe RIP
  4. H

    Ee bwana kasi ya mzee wa monduli inatisha....!

    mimi hapo ndo huwa nashindwa kuelewa yaani mtu alazimisha kuongoza watu. Nini hasa EL anataka tena kuchukua maana maana alishaseama tatizo ni uwaziri mkuu!
  5. H

    Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

    tucopy mfumo wa makaburi
  6. H

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    ivi sensa ilisema tuko wangapi na wao wako wangapi?
  7. H

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    ivi sensa ilisema tuko wangapi na wao wako wapi?
  8. H

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    RIP padre, Tunataka kauli na juhudi zilitumika katika kuwapata mashukiwa wa mauaji ya kamanda Barlow. Nakumbuka IGP alisema lazima walipize!
  9. H

    Lema apinga kuvuliwa ubunge kwa hoja 42

    Mimi sina imani na Jaji yoyote hapa TZ kama TL mtu mmoja akataja wote wale je Lema, Mnyika, Dr Slaa na makamanda wengine wakipewa nafasi ya kutaja majaji wabovu itakuaje?
  10. H

    Lowassa: Mkapa alikuza uchumi, JK punguza matumizi

    Tatizo litakuwa kwa Semunyu maana EL atamubuliza na siku zote jamaa huwa na atekwa mawazo na wageni wake studio. Muda mwingine anakoswa hata swali la maana ama anabaki kurudia rudia yaliyosemwa na mgeni wake;
  11. H

    CCM Sinza yasambaratika!

    Ushauri wa bure kwa wanamagamba, rudisheni mara moja Lema Bungeni ili mueze kupata nafasi walau ya miaka mitatu iliyobaki. Yule Jaji bado yuko hai na hajabadili namba ya simu. Nape fanya kazi hii ili upumue!
  12. H

    Hahahahhaaa, Mambo ya Olympics.

    Hivi Tanzania hatukushiriki mwaka huu? Teh teh teh kichwa cha mwendawazimu...........
  13. H

    Zana za kivita za MALAWI

    Bora hawa jamaa kwani sisi tuna silaha za kutosha kumbukeni kule Gongo la Mboto na Mbangala tulitumia kwenye watanzania wasio na hatia na hivyo ndo vikosi vikubwa.
  14. H

    Je hizi safari kwa Rais wetu hazina madhara ki-afya?

    Wakuu tukumbuke Rais wetu JK anayo historia ya kuanguka mara tatu nne hivi jukwaani na sababu zilizotolewa na idara husika kuwa ni UCHOVU. Sasa kiongozi wetu anabadilisha nguo akiwa kwenye ndege licha ya kubadilisha family yake kutoka extended kuwa single maana anayefaida mapenzi ni mama salma...
  15. H

    Jamani hii ndiyo hali hilsi!!!!!!!

    Jf, hakuna siri tupe jina na eneo sasa hivi nitatuma picha niko bado mjini maeneo ya Moil.
  16. H

    OLE Millya aondoka na sh milioni mbili za UVCCM

    Ee jamani inawezekana vipi muachie tapeli hela na uongozi kwa miaka yote hiyo? Kweli ccm kila idara mmechoka. Ombeni msaada hata Lulu.
  17. H

    Nini kitatokea nchini ili rais asitishe ziara?

    Wakuu hali nchini siyo nzuri kwani serikali iko taabani kila eneo yaani kifedha, kiutawala nk. Lakini mkuu yuko brazil anakagua mashamba ya nyanya, yaani ni ajabu haijapata tokea. Kama rais wetu aliahirisha ziara ughaibuni kwa sababu ya kifo cha kanumba anashindwa nini kurudi nyumbani kutatua...
  18. H

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    wakuu vasco anarudi lini nchini maana jana niliona wanamalizia mazungumzo na mwenyeji wake marcio maximo
  19. H

    Wassira aendelea Kulala Bungeni-Aibu

    Anafikiria namna ya kuwandanganya wananchi wa bunda kwani kuna maswali aliacha kamanda wenje kwa wanabunda kuwa babu akirudi wamuulize. Moja ya swali ni kwanini aliwambia wananchi waArumeru kuwa ccm itawapa maji huku bunda jimboni kwake tangu uhuru haijatokea.
  20. H

    Maswali kwa waziri mkuu leo bungeni, mjadala matumizi ya fedha za serekali kuendelea

    Wanajamii nimekuwa nikisikiliza na kutazama kipinda cha maswali kwa waziri mkuu lakini majibu yanayotolewa na pinda huwa hayalingani na cheo chake kwani ni ya kubabaisha sana hayana 'tamko la waziri mkuu' kama ambavyo wengi hutarajia. Waziri mkuu anaogopa nini au nani.
Back
Top Bottom